Search results

 1. good96

  Msaada muungurumo wa hii fridge ndogo shida ni nini?

  Wakuu habari naomba niweze kufahamishwa huu muungurumo unasababiswa na tatizo gani. Ni ki fridge kidogo cha Mr UK na huwa linawaka na kuzima automatic lakini siku za karibuni lilipata shida ya kutokupooza nikapeleka kwa fundi akaniambia ni gesi imeisha akajaza gesi na tangu hapo ukiliwasha...
 2. good96

  Msaada: Kati ya Samsung s8 na Nokia 6.1 ipi ni bora zaidi

  Habari ya weekend wakuu, Samahani naombeni mnisaidie kidogo. Nataka kubadilisha kifaa cha mawasililiano na lengo langu ni kati ya Samsung s8 au Nokia 6.1. Kwa wataalam naombeni ushauri ipi kati ya hizo itafaa zaidi. Matumizi yangu ni ya kawaida kabisa si mtumiaji wa games ni kwa ajili ya...
 3. good96

  Kutokuwa na Ajira, nini sababu Kwa Vijana Wa kitanzania

  Habarini wakuu Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada, nimekua nikijiuliza Kwa muda mrefu nini hasa ni chanzo ama sababu Kuu ya kuwepo/kuongezeka Kwa tatizo la Vijana wasio na ajira mtaani. 1)Je ni Mfumo Wetu wa elimu unatufanya kujenga Vijana tegemezi? au 2)Ni uoga wa kuthubutu kujiajiri na...
 4. good96

  Wangapi wanamfuatilia huyu mwanasiasa kijana.

  Wakuu wangapi tunamfahamu na kufuatilia siasa na mijadala ya kijana huyu machachari ndani ya south Africa Parliament.
Top Bottom