Search results

 1. jesse alibalio

  Ni ushauri tu!.

  Ukiona upo ktk mahusiano yanayokufanya ulie kila siku,jiulize kama huyo uliye naye ni MPENZI au ni BOMU LA MACHOZI.
 2. jesse alibalio

  Waache waseme,usiku watalala.

  ..Eti OOOH! waache waseme usiku watalala.Kama wanaokusema ni walinzi...Itakuwaje?.
 3. jesse alibalio

  anlogia na digitali

  Japo ulimwengu unatoka ANALOGY na kuingia DIGITAL.YESU NI YULE YULE JANA,LEO NA HATA MILELE.Mambo yote na vitu vyote vitapita lakini NENO litasimama nyakati zote.Hakuna wokovu wa Analogy na Digital!.Ebu tumng'ang'anie huyu YESU.
 4. jesse alibalio

  Najua vitu 10 kuhusu wewe.

  1-Unasoma thread hii. 2-Wewe ni binadamu. 3-Huwezi kusema "P" bila kuunganisha lips zako. 4-Umejaribu kusema "P" bilaa kuunganisha lips umeshindwa. 6-Umejicheka mwenyewe. 7-Unatasabamu. 8-Hujajua kama nimeruka namba 5. 9-Umeangalia kama namba 5 ipo. 10-Unajicheka mwenyewe sababu nimekushika.
 5. jesse alibalio

  Angalia matatizo ya kukana imani

  Wakristo wawili,John na Paul walipotea jangwani.Wakawa na njaa sana.Mara ghafula wakaona Msikiti,John akasema tujiite majina ya kiislam ili yusaidiwe.John yeye akajiita Abdulmalik lakini Paul akakataa kubadili jina. Kuingia maeneo ya msikiti Imam akawapokea vizuri na kuwauliza majina yao...
 6. jesse alibalio

  Msaada:album ya ngorongoro heroes band

  Naweza kupata wapi Cd,audio cassett au video ya band ya Ngorongoro heroes-Wana sukuma push?.
 7. jesse alibalio

  Semina Ubungo PLAZZA

  Watu wakaanza kujitambulisha (1).Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa pili nasoma LAW. (2).Naitwa Stella,niko UDSM mwaka wa 3 public relation. (3).Naitwa Adella,niko Tanesco mwaka wa 4 nasoma mita.
 8. jesse alibalio

  hodi waungwana,nipokeeeni basi mwenzenu

  hodi hodi wana JF,nipokeeni mwenzenu
Top Bottom