Search results

 1. tc_edo

  Ruben Dias awa mchezaji bora ya msimu epl 2020/2021

  Hii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias [emoji1201] Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias [emoji1201] anakua beki wa nne kuchukua tuzo hii; Nemanja Vidic (×2) 2008/2009 na 2010/2011, Vicent Kompany...
 2. tc_edo

  Mchezaji bora wa msimu EPL ni yupi kati ya hawa?

  Pichani ni washiriki wa kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa msimu EPL [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿. Kwa mtazamo wako ni nani atachukua hiyo tuzo.
 3. tc_edo

  Kikosi cha Uingereza kitakachocheza Euro 2021 chatajwa

  Hiki ndio kikosi (pichani) cha wachezaji 26 wa Uingereza [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 watakaoshiriki michuano ya Euro 2020 itakayofanyika mwaka huu 2021,11 juni hadi 11 julai 2021. Wachezaji saba waliotemwa kati ya 33 waliotajwa awali ni 1. Jesse Lingard 2. James Ward Prowse 3. Ollie Watkins 4. Mason...
 4. tc_edo

  Tetesi: Carlo Ancelotti kuwa kocha wa Real Madrid

  Agents wa Carlo Ancelotti [emoji634] kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020). SIO TETESI TENA : It's official Ancelotti amevunja mkataba na Everton na kujiunga na Real Madrid kwa mkataba wa miaka 3.
 5. tc_edo

  Rasmi: Aguero ajiunga na Barcelona

  Sergio Kun Aguero [emoji1033] amekamilisha usajili wake kujiunga na FC Barcelona baada ya kumaliza vipimo vya afya hivi leo, jumatatu 31 2021. Aguero [emoji1033] (32) amesaini mkataba wa miaka miwili ukiwa na kipengele cha kumwachia endapo timu inayomtaka au yeye mwenyewe italipa/atalipa Euro...
 6. tc_edo

  David Alaba ajiunga real Madrid

  Akiwa kaichezea Bayern Munich mechi 448, magoli 47, pasi za mwisho 35 na kubeba makombe 27, beki huyo wa kati amesaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na klabu ya Real Madrid. Alaba [emoji1037] ataondoka Bayern Munich akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba msimu huu. Alaba alijiunga na...
 7. tc_edo

  Simba SC yapokea pesa kutoka SportPesa

  SportPesa yaipatia Simba SC [emoji1241] hundi ya Shilingi million hamsini (Tsh50000000) za kitanzania kama pongezi kwa kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa Africa msimu wa 2020 /2021.
 8. tc_edo

  Manchester United kumpa Ole Gunnar Solskjaer mkataba mpya

  Baada ya kumaliza msimu (2020 /2021) bila kombe na kupoteza mchezo wa fainali, jumatano 26 mei 2021 dhidi ya Villareal; Manchester United inategemea kumwongezea Koche Ole Gunnar mkataba wa miaka mitatu na kumuunga mkono kusajili wachezaji hadi wanne. Tokea achukue majukumu ya ukocha 2019...
 9. tc_edo

  Simon Inzhagi awa kocha wa Inter Milan

  Uongozi wa Inter Milan yapata saini ya Simon Inzhagi kuwa kocha mkuu wa Inter Milan baada lazio kushindwa kuafikiana makubaliano ya mkabata mpya hivyo kuacha milango wazi kwa kocha Inzhagi. Lazio imeamalika na kuwa timu bora kwenye ligi ya italia (Serie A) tokea Simon Inzhagi achukue uongozi...
 10. tc_edo

  Kocha Massimilliano Allegri arejea Juventus

  Leo asubuhi klabu ya Juventus imefikia makubaliano ya mdomo na Kocha Massimilliano Allegri kuinoa Juventus. Muda so mrefu atasaini mkataba na klabu hio itatangaza rasmi. Andrea Pirlo rasmi ataachana na Juventus.
 11. tc_edo

  Zinedine Zidane ang’atuka Real Madrid kwa mara ya pili

  Kocha wa Los Blancos (Real Madrid) ameamua kuachana na timu hiyo rasmi baada ya kuwa na tetesi za muda mrefu. Klabu ya Real Madrid itatoa taarifa rasmi kuhusu kuondoka kwa Zidane. Zidane msimu huu katoka kapa katika michuano yote aliyoshiriki. Hii ni mara ya pili kocha huyo anaondoka real madrid.
 12. tc_edo

  Kocha Antonio Conte aachana na Inter Milan

  Haijatimia mwezi tokea Kocha Antonio Conte (51) achukue ubingwa wa Serie A. Huu ulikua msimu wake wa pili kuifundisha timu hiyo iliyo chukua ubingwa kwa mara ya kwanza tokea 2010. Kuwepo kwa tetesi za kutoelewana kati ya club na kocha kuhusu kuuzwa wachezaji na mishahara kupunguzwa ndio huenda...
 13. tc_edo

  Gin Wijnaldum kutimkia Barcelona

  FC Barcelona wamefikia makubaliano ya mdomo na agent wa WIJNALDUM na ataitumikia timu hiyo mpka 2024. Siku zijazo atasaini mkataba wake na maongezi yanaendelea kuona namna gani atapunguziwa mshahara wake. Bayern na PSG zilikua zinamtaka mchezaji huyo.
 14. tc_edo

  Ozan Kabak kuondoka Liverpool

  Liverpool imefikia muafaka wa kutokumsajili Ozan Kabak aliepo kwa mkopo kutoka Schalke 04. Beki huyo alisajiliwa kwa mkopo kipindi Liverpool ilipokua na majeruhi wa takriban beki zake zote za kati. Schakle 04 inampango wa kumuuza tena kwenye vilabu vya Ujerumani au Uingereza. Liverpool imuamua...
 15. tc_edo

  Erling Haaland: Mchezaji bora wa mwaka Bundesliga

  Erling Haaland ampiku Robert Lewandowski katika tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwenye bundesliga. Ingawaje Lewandowski kuwa na msimu mzuri kwa kuvunja record ya Gerd Muller (magoli 41 kwa msimu) na kuwa kinara wa magoli Bundesliga haijatosheleza kupata tuzo hiyo. Haaland amefunga magoli 27...
 16. tc_edo

  Luka Modric aongeza kandarasi ya mwaka mmoja Real Madrid

  Kiungo wa kati Luka Modric raia wa Croatia [emoji1082] aongeza mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu yake ya Real Madrid mpka (2021/2022) hii itamfanya kuichezea timu hio misimu 10. Modric kacheza mechi 391 kiujumla na kashika nafasi ya tano katika wachezaji bora wa msimu huu LaLiga akiwa...
 17. tc_edo

  Manchester City kugharamia usafiri wa mashabiki wao watakaohudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto

  Tajiri na mmiliki wa klabu ya Manchester City, Sheikh Mansour asema atagharamia gharama zote za usafiri kwa mashabiki wake watakao hudhuria fainali za UEFA huko jijini Porto, Ureno tarehe 29 mei 2021. "Pep na timu nzima wamekua na msimu mzuri kabisa na wao kufika kwenye fainali ya UEFA hasa...
 18. tc_edo

  Benzema aitwa tena Ufaransa

  Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena kwa video ya mapenzi miaka mitano iliyopita. Kocha Didier Deschamps...
 19. tc_edo

  Benzema aitwa tena time ya Taifa

  Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai mchezaji mwenzake Mathieu Valbuena kwa video ya mapenzi miaka mitano iliyopita. Kocha Didier Deschamps...
 20. tc_edo

  Borussia dortmund bingwa wa dfb pokal

  RB leipzig, timu ambayo ipo na msimu mzuri kabisa (2020/2021) na ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi kuu nchini Ujerumani (BUNDESLIGA) imeambulia kipigo cha goli 4-1 kwenye fainali ya DFB POKAL kutoka kwa mahasimu wao Borussia Dortmund iliyopigwa jijini Berlin, Ujerumani. Jadon Sancho...
Top Bottom