Search results

 1. Ginner

  Story of Change The game of Pray, Motivators: Jini mla watu katika ujasiriamali wa kiafrika

  Kwa kipindi cha hivi karibuni, tatizo la ajira limepelekea mlengo wa ujasiriamali kuwa ndio habari ya mjini. Tumesikia maneno ya hamasa kwa vijana kuingia kwenye shughuli za kijasiriamali toka kwa watu mbali mbali ikiwemo wanasiasa, watumishi wa serikalini pamoja na taasisi zisizo za kiserikali...
 2. Ginner

  INAUZWA Incubator Mashine ya mayai 5280 inauzwa

  Uwezo: 5280 kwa wakati mmoja. Muda wa matumizi: mwaka mmoja. Condition: mint Bei: 3.7m Location: Dar es Salaam. Sababu za kuuza: Mimiliki amehamishwa kikazi Mawasiliano: 0755815174
 3. Ginner

  Nahitaji Canter 3.5 tones ya kukodisha Dar es Salaam

  ******************
 4. Ginner

  Inahitajika Mitsubish Canter 3.5 tons ya kukodisha

  *********************
 5. Ginner

  Nahitaji business parter in Agri business

  Habari, sitaandika details nyingi ila tunaweza tukawasiliana kwa maelezo Zaidi kupitia namba ya simu ntakayoiacha hapa. ki msingi natafuta partner wa kufanya nae biashara, na katika partnership hii kila entity itasimama kwa kujitegemea ila ni katika value chain ya bidhaa iyo iyo. Tunajihusisha...
 6. Ginner

  USHUHUDA: Kuku wa kienyeji (Pure) - Biashara kichaa isiyo na tija

  Kumekuwa na upotoshaji kwa baadhi wa watu wanaojiita wataalamu wa ujasiriamali, hasa wanaofanya shughuli za ufugaji kwa maandiko ya whatsapp bila kuwa na hata kuku mmoja bandani. Nimesukumwa kuandika bandiko hili hapa kutokana na jumbe mbali mbali za uufugaji wa kimtandao unaoshawishi vijana...
 7. Ginner

  Toyota Hilux double cabin 2.8 ,

  Nauza Toyota hilux, 2.8. Inatumia 2.8 liters 3L diesel engine. Iko katika hali nzuri na iarecords nzuri za service. iko Tegeta Dar es salaam.rangi imebadilishwa toka nyeupe na kuwa grey. Bei ni Shilingibza kitanzania milioni 13 kwa mawasiliano piga 0755815174
 8. Ginner

  vifaranga bora zaidi wa kuku Chotara

  Shamba lenu la ufugaji na uuzaji wa vifaranga chotara tumerudi tena kuwaletea vifaranga bora zaidi wa kuku chotara. Kuku wetu ni wazuri sana, wanahimili magonjwa, watagaji wazuri wastani wa mayai 300 kwa mwaka, na hifikia mpaka kilo 3.5 za uzito. Tunapatikana Bahari beach. Bei ya box la...
 9. Ginner

  Nahitaji mayai ya kuku chotara

  Nahitaji mayai kiasi cha tray 45 kwa wiki za kuku chotara aina ya black austtalorps, white australorps, susex, rhode island red etc... Napatikana Tegeta Bahari beach Kwa mwenye nayo tuwasiliane kupitia nambari 0755815174
 10. Ginner

  Nahitaji Suzuki Carry, yenye body ya freezer

  Husika na kichwa cha habari hapo juu... Hajitaji ka suzuki carry au aina yoyote inayofanana nayo kwa gharama ya mil 5. Iwe na body lenye fridge, na inayotembea. Kama inamatatizo madogo madogo tunaweza kujadiliana ila isiwe na deni kubwa la kodi. Tuwasiliane kwa kutumia nambari 0755815174...
 11. Ginner

  Kuku bora chotara wa Backyard

  Kampuni ya Backyard ni wazalishaji bora wa kuku wa kienyeji na chotara hapa nchini. tunao kuku wazuri wenye record nzuri ya utagaji pia na uzito wa juu ndani ya muda mfupi. kuku wetu ni mchanganyiko wa Black australorps, wanao taga wastani wa mayai 309 kwa mwaka kwa uzao wa kwanza, na wastani...
 12. Ginner

  Nauza engine Toyota 5L

  Ni engine ya Toyota Prado, inafunga kwenye hiace, surf, hilux etc. 3000CC Diesel engine, Electronic fuel injection. Haina turbo Na iko very efficient kwenye matumizi ya mafuta. Haijawahi kushushwa, ilibadilishwa valve Tu. Bei ni 4.5 mil. Iko tegeta Dar es salaam. 0755815174
 13. Ginner

  nahitaji SUZUKI CARRY yenye body ya Freezer

  Iwe katika hali nzuri, plate number kwanzia C, ikiwa D itakuwa Safi zaidi. Isiwe inadaiwa road licence. Budget Ni mil 5. Napatikana Dar es Salaam. 0755815184
 14. Ginner

  nauza generator

  Ni kutoka India, kampuni ya DUBAO. Max power Ni 3.2 kv. Ina wire winding ya cooper. Miezi mitatu yangu inunuliwe. Liko Tegeta.bei Ni 500,000. Kwa mawasiliano 0755815174
 15. Ginner

  natafuta wachapishaji wa mifuko ya plastic

  Husika na kichwa cha habari hapo juu, natafuta wachapishaji wa mifuko ya plastic kama ile ya mikate lenye lebo pamoja na description ya bidhaa. Tafadhali anaefahamu naomba anipe mwongozo. 0755815174
 16. Ginner

  vifaranga bora vya kuku wa kienyeji kwa bei nafuu

  Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu. Vifaranga wetu wa siku moja huuzwa kwa shilingi 1500, na bei hupungua mpaka shilingi 1300 kwa mteja wa zaidi ya vifaranga 500...
 17. Ginner

  vifaranga bora wa kuku wa kienyeji kwa bei nafuu

  Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu. Vifaranga wetu wa siku moja huuzwa kwa shilingi 1500, na bei hupungua mpaka shilingi 1300 kwa mteja wa zaidi ya vifaranga 500...
 18. Ginner

  Vifaranga bora wa kienyeji kwa bei nafuu

  Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu. Vifaranga wetu wa siku moja huuzwa kwa shilingi 1500, na bei hupungua mpaka shilingi 1300 kwa mteja wa zaidi ya vifaranga 500...
 19. Ginner

  Nahitaji Commercial deep freezer

  Niko dar es salaam, nahitaji deep freezer kwaajili ya biashara. Liwe kubwa na lenye mlango wa kioo.. 0755815174
 20. Ginner

  Nauza Pikipiki za kubebea mizigo (Guta)

  Nauza pikipiki za toyo maalumu kwa ajili ya kubebea mizigo. Zipo mbili Moja ina engine ya cc200. Inakwenda kwa mil 2.5mil Na nyingine ina engine ya cc 250..hii inatumia radiator. Ina nguvu sana inakwenda kwa 3 mil Zipo kwenye hali nzuri. Zilikuwa zinatumika kushambazia cocacola toka...
Top Bottom