Search results

 1. LellozWho

  Nafikiria kuwekeza Zanzibar

  Kama nilivoandika. Nahitaji kujua FURSA
 2. LellozWho

  Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

  😂 Au nimekosea!?
 3. LellozWho

  Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

  MTAHAYO 7:7-8. mkuu ni baba yako ulomtaja Vipi wewe?!
 4. LellozWho

  Si unajua ni rahisi kumtawala masikini

  Wengi tunadhani maskini ni mtu pekee aliyekosa mahitaji muhim. Lakini ukweli ni zaidi ya hapo. Unajua hizi pia ni sifa za masikini? 1/kushindwa “kufikiria” uzalishaji mali. 2/uvivu 3/kuridhika na ulichonacho 4/kushindwa kua tofauti na wengine. 5/kushindwa kuishi mbali na mazingira hatarishi...
 5. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Mpaka hapa umeshadhihirisha imani ya uoga na ya kimasikini. Kuweka fikra bila ndugu basi hakuna linalowezekana tayari ni umasikini. Ajali zipo. Kwani wote waliopata ajali, walisaidiwa na ndugu!? Usipobadili fikra utaishi kimaskini mpaka uzao wako.
 6. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Mungu ameshanisaidia na kunionesha kua yote hayo ni sababu ya umasikini. Najua ni ngumu kubadili hii kwenye vichwa vya watanzania. Ndugu ni mzigo na ni sababu ya umasikini tukiendekeza hii tabia.
 7. LellozWho

  Muotesha mti si lazima afaidi kivuli na matunda yeye mwenyewe

  Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa. Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia. Maisha magumu mtaani. Ukweli ni kwamba Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact) Maana halisi ya heading yangu ni kwamba: Kuifanya nchi...
 8. LellozWho

  Miaka mitano ijayo 'betting' itaigharimu Tanzania kama taifa

  Najivunia kuzaliwa kabla ya mapinduzi ya teknolojia ya simu za mkononi/mitandao ya kijamii kwa ujumla. FACTS • 70% of Tanzania population ni vijana under 24yrs. • Nguvu kazi ya taifa ni vijana (40m) • Ukosefu wa ajira bado upo • Over 40m people use mobile phone • Kila kijana anataka mafanikio...
 9. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Who blessed me? And why not them!?
 10. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Forget history Maisha ya sasa yanaruhusu vipi!? kwanza hizi connection unataja sio za haki mara zote. Most likely ni kupeana priority in a shortcut way. Hoja yangu sio kupunguza upendo “NO” Sababu moja wapo ya kurudishana nyuma ni familia/ndugu kubweteka kwa kutegemea mwingine. Umenisoma!?
 11. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Ukijaribu kutazama kwa ukaribu Siri mojawapo ya mafanikio ni UBINAFSI. Hata mti uweze kwenda juu zaidi unahitaji ukate baadhi ya matawi. Kama kipato chako kinamzigo wa kuhudumia wengine na bado hakikutoshi You are a definition of “LOOSER”
 12. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Hapa pia kuna tatizo. ata imani ilisema asiyefanya kazi na asile. lengo langu ni kizazi chetu nije kurithisha mafaniko sio shida. mtegemea cha ndugu hufa maskini. kusaidia kusiwe sababu ya kisingizio cha kutofanikiwa. kuamini Mungu ni imani ya mtu. (With respect) lakiki tukitumia vibaya...
 13. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Swali langu ni kwamba wakati mimi napambana wao walikua wanafanya nini!? mana hapa naona tunapeana ulemavu na ufukara. nadhani ni vema kubadili mifumo ya maisha yetu kuiboresha mara mbili Au zaidi ya tulipotoka. leo hii siwezi ona mtoto wangu aje kusomeshwa na mtu. lengo ni kurithisha uwezo...
 14. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  You spoke my mind. nashindwa focus na plan zangu kwasababu tu ya shinikizo la kusaidia watu ambao kwa ukweli ni sababu zao zimepelekea walipo. low minded people will bring some umoja,upendo na mshikamano stuff up in here 😂 Ushauri wangu We tazama future yako Hizi zingine ziwe kwa Hayari tu.
 15. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Asante. Bado najifunza kiswahili 😎
 16. LellozWho

  Kwanini siku hizi watu wengi hupenda kusaidia watu wa nje zaidi kuliko ndugu zao?

  Kwanza kusaidia ndugu Au familia sio sheria na sio lazma. tumepeana ulemavu na kuongezeana umaskini kwa kutazama zaidi ndugu kuliko maisha yako ya baadae. kama mtu has audio ndugu Basi kuna shida pia kwa hao ndugu Wengi hawasaidiki lawama nyingi Wamejipa haki kusaidiwa binafsi sisaidii...
 17. LellozWho

  Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

  Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake. Hoja yangu ni moja. Hii ni tamaduni au ni vipi!? Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na...
Top Bottom