Search results

 1. Ignorant

  Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

  Thamani ya gari lako ni 17M? Je ndiyo gharama halisi uliyonunulia gari? Mie nimeangalia bei za kuitoa Japan CIF ni kama 7M na makadirio ya ushuru wa TRA ni 7M ambayo inaleta jumla ya 14M. Je la kwako uliliagiza nje? Kama ndiyo, ushuru ulilipa bei gani? Nifahamishe ili nisije liagiza nikashindwa...
 2. Ignorant

  Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

  Ilikutesa vipi hasa? Funguka tafadhali kwani wengine tunaona kama 4WD yenye bei nafuu kidogo
 3. Ignorant

  The graduate who advertised his CV at the railway station finally gets a job

  Ni kweli kwamba hiyo idea haiwezi kufanya kazi bongo, hata hivyo dhumuni la makala si kwamba watu wakopi alichokifanya Alfred, bali ni kuonyesha ubunifu unaweza kukupa mafanikio. Alfredi mwenyewe anasema wenye kusaka kazi watafute njia ya kuwasiliana ana kwa ana na waajiri, pengine kwa bongo si...
 4. Ignorant

  Hii gari itanigharimu shilingi ngapi mpaka kuitoa bandarini?

  kwa magari ya bei rahisi angalia hapa Japanese Used Cars | BE FORWARD. Hapa unaweza kuonesha kwamba gari linakuja Tanzania ktk bandari ya Dar es Salaam na utapewa CIF (gharama ya kulifikisha gari lako bandarini Dar es Salaam. NB: sina uhusiano na beforward na wala sifaidiki kipesa kwa kuwataja...
 5. Ignorant

  King'amuzi cha zuku

  nimekwenda kwa agent wao na kupewa maelezo kuwa TBC1 na ITV hazipatikani ingawa wanadai unatakiwa kuzipata. Tafadhali kwa wale wanaotumia tupeni uzoefu
 6. Ignorant

  Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

  @ CTU - biashara gani inafanywa bilia maafikiano? Utatumaje mzigo bila ya kukubaliana pesa? Si mambo ya kuuziana mbuzi katika gunia. Kwa dunia ya sasa, nani anaweza tuma mzigo then akudai pesa baadae?
 7. Ignorant

  Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

  @ Saq - Mashine zinazohitajika kwa kuanzia ni kama zifuatazo, (ingawa itategemea hasa mtaji ulionao na aina ya huduma unazotarajia kutoa) 1. Dry cleaning machine - 16kg kwa kuanzia inatosha kwa population ya watu 40,000 2. iIroning table - aspiration with boiler (height adjustable) 3. Stain...
 8. Ignorant

  Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

  Ahsante Maskini Jeuri, Ngoja nipitie nione bei zao zinakwendaje. Natambua kua kutakua na gharama za usafiri pamoja na ushuru. Shukrani, Ignorant
 9. Ignorant

  QN; Gharama Halisi za Kuimport Gari Nchini

  Nenda gari yangu dot com na tatizo lako litakwisha. Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com
 10. Ignorant

  QN; Gharama Halisi za Kuimport Gari Nchini

  Nenda gari yangu dot com na tatizo lako litakwisha. Welcome to GariYangu.com - GariYangu.Com
 11. Ignorant

  Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

  Natazamia kufungua biashara ya kufua nguo kwa hiyo nahitaji mashine kwa kazi hiyo. Tafadhali naomba mwenye kujua bei zake na mahali kwa kuzipata anipe taarifa. Mashine ni kama zifuatazo 1. Dry cleaning machine (16kg) 2. Packaging Machine 3. Ironing table - aspiration with boiler...
 12. Ignorant

  Vitabu vya mafanikio

  Ahsante Radio Producer... Nadhani kuna haja ya kupata waandishi kama hawa wa hapa kwetu ambao pengine tungeandika masuala haya kwa kiswahili. Nina imani kwamba watu wengi ambao hawafahamu lugha ya kiingereza wanakosa uhondo huu. Ukipita katika maduka yetu ya vitabu unakuta vitabu vya mitaala ya...
 13. Ignorant

  Kupata mtaji: Njia za kitalaam

  Ni kweli unahitaji kuandika business plan na mambo ya usajili ila mabenk hayatoi pesa kwa wanaoanza moja (start-ups). Ni rahisi pia kusema unaanza kwanza pale ulipo ndipo watu wakuone na kuamini kwamba wewe ni mjasiriamali lakini kuna biashara zingine lazima upate msaada wa nje ili uanze. Ndiyo...
 14. Ignorant

  Natafuta MKOPO

  Mie natafuta mkopo kwa wafanyakazi .... net ni kama 3.5M kwa mwezi ila mwajiri hasaidii wafanyakazi kuomba mikopo bank (kusaini MOU)... Nitashukuru kama kuna mtu atatoa taarifa ni wapi wanatoa mikopo kama hyo...
 15. Ignorant

  Natafuta MKOPO

  Ni kweli CRDB wanatoa mikopo kwa wafanyakazi ila si rahisi kama ilivyoandikwa hapa. Inampasa mwajiri wako kusaini mkataba au MOU na CRDB ili uweze kuanza kukopeshwa kama mfanyakazi. Mie mwenyewe nishawahi jaribu kuomba mkopo kama huo mwaka huu (2011) hata hivyo sikufanikiwa kwakua mwajiri...
 16. Ignorant

  Uzoefu wa kufanya manunuzi kivuko.com

  Nimekutana na website ya kuuza bidhaa kwa njia ya mtandao ya hapa Tanzania inaitwa kivuko. Tanzania Online Shopping gateway. Kwa yeyote ambae amewahi kufanya manunuzi tafadhali atueleze uzoefu wake. Ikijumuisha urahisi au ugumu wa kufanya malipo, muda wa kusubiri bidhaa, nk Ahsante
 17. Ignorant

  HP kufungua kiwanda Tanzania

  Hayo maongezi yalikua rasmi au ni porojo za kupitisha muda wakati wa chai? Kuna mambo watu wanaongea wakati wa chai ili kupitisha muda tu. Kwa umeme huu wa mgao haingii akilini kabisa kua HP watashawishiwa kuweka kiwanda chao hapa. Wazungu wasivyojua kutofautisha waafrika, pengine walidhani...
 18. Ignorant

  Msaada: Jinsi ya kununua vitabu Amazon

  Wanajamii naomba kwa mwenye kufahamu jinsi ya kununua ingependa kununua vitu kutoka Amazon hasa vitabu na movie. Hata hivyo nina account ya kawaida katika benki za CRDB (tembo kadi) na NBC. Nimejaribu kuangalia mtandao wa amazon na kukuta maelezo yafuatayo Amazon.com accepts American Express...
 19. Ignorant

  Michuzi vipi? Mbona toka uamie dot com ni kwikwi tupu

  hata mie nimekutana na hili tatizo. Juzi juzi tu alituarifu kua anataka kufanya mabadiliko katika blog yake na kwenda dot com. Inawezekana kua tatizo linasababishwa na hayo mabadiliko.....
Top Bottom