Search results

 1. Jackyminaj

  Wenzangu mlivuka vipi haya maumivu makali ya kuachwa?

  Ni kweli inaumiza sana lakini wewe mshukuru Mungu tu, Lipo kusudi la yote hayo kutokea.. Wapo wengi waliodhani kuwa hawatopona maumivu ya mahusiano lakini wamefanikiwa ku move on na leo wanafurahia maisha.. Hata wewe utapona, just be still, You shall overcome this..
 2. Jackyminaj

  Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

  hahahaha sasa mtu kama hiyo akikupa ef kumi sijui itakuaje
 3. Jackyminaj

  Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

  he he eti mtu uwezo anao lakini kum support girlfriend wake anaona issue jamani si hatari hii...
 4. Jackyminaj

  Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

  he he watoe tu kwa ma girlfriends zao jamani
 5. Jackyminaj

  Life as a bachelor, shouldn't be this hard

  heaven sent nakusubiri twendeeee
 6. Jackyminaj

  Mwanamke aliye tayari kuwa mama

  ha ha vigezo na masharti kuzingatiwa
 7. Jackyminaj

  Ladies, what do you wear in bed?

  he he he no.8 ndo yenyewe sasaaa..
 8. Jackyminaj

  Weekend Story: You Can't Handle The Truth

  Kastory ni katamu hakaaaa
 9. Jackyminaj

  Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

  love you toooooo bebe sent from heaven teh
 10. Jackyminaj

  Siku hizi ukiomba pesa unajibiwa "njoo uchukue"

  huwa nakupendea hapo tuuu hehehe
 11. Jackyminaj

  Hongereni sana mabinti/wanawake wa Kisukuma kwa haya

  wasukuma tumekukumbukwa leo
 12. Jackyminaj

  Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

  hahahahahaha jamaniiii wanawake sisi loh
 13. Jackyminaj

  Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

  yaaaani kulia hulii lakini cha moto unakiona aiseee
 14. Jackyminaj

  Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

  hahaha umenikumbusha kuna rafk yangu alimuweka girlfriend wake dp whatsap bwana bwana Dada yake si akamuona weeeee yalimtoka maneno hatari mwanamke gani uyo, tumbo lote hilo unapeleka wapi , cheki miguu yake atakuharibia watoto kabisaaa mbona kabaya ivo mama nae akaunga, he he mwanamke gani yani...
 15. Jackyminaj

  Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

  kuna familia zina mambo ya ajabu sanaaaa af wanawake ndo huwa tuna matatizo wanaume hawana shida eti, ndo mana tunaambiwa tuchunguze na familia za wenza wetu ili kuepuka udhalilishaji kama huo. Sipati picha naenda ukweni navoanza kunyambuliwa sasa weeeee
 16. Jackyminaj

  Mwanaume hahitaji mwanamke wa hivi

  hahahaha we Paulo hahaha
 17. Jackyminaj

  Lady Jay Dee - Ndi Ndi Ndi (Audio & Video Teaser)

  Acha chuki binafsi looh... Team Ruge utawajua tuuuu
 18. Jackyminaj

  Kuoa si jambo dogo, unatakiwa uwe umejiandaa

  Mwanaume mwenye nia ya dhati na aliyedhamiria kabisa kuoa, hivyo vitu kwake anaona kawaida tu... Af usiwatishe wakaka wa watu sio vizuri..
Top Bottom