Search results

 1. nyampanaga

  TANZIA Ahmed Makongo afariki Dunia

  Alikuwa Mwandishi Mwandamizi Radio Free Africa na Star TV. Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Oktoba baada ya kuugua kwa muda Mfupi nyumbani kwake Mjini Bunda- Mkoa wa Mara.
 2. nyampanaga

  Atua chini kwa Ungo

  Ni Geita Mjini hapa mitaa Ya Shilabela.
 3. nyampanaga

  Nafasi za kazi Pact

  1. Job Opportunity at Pact, Senior Advisor – Community Engagement & Linkages/ SBCC Senior Advisor – Community Engagement & Linkages/ SBCC At the heart of Pact is the promise of a better tomorrow. A nonprofit international development organization founded in 1971, Pact works on the ground in...
 4. nyampanaga

  Job opportunity-at-Save-The-Children.

  Job Opportunity at Save the Children Finance Assistant CHILD SAFEGUARDING: Level 2: The role holder will have access to personal data about children and/or young people as part of their work; or they will be working in a ‘regulated’ position; therefore a police check will be required. ROLE...
 5. nyampanaga

  Nafasi Ya Kazi SANDVIK

  Warehouse Operator Sandvik is a high-tech and global engineering group offering products and services that enhance customer productivity, profitability and sustainability. We hold world-leading positions in selected areas – tools and tooling systems for metal cutting; equipment and tools...
 6. nyampanaga

  Shigongo aahidi Maziwa na Asali Buchosa

  SHIGONGO APANIA KUJENGA BUCHOSA MPYA. MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametembelea miradi ya maendeleo katika Kata ya Bulyeheke na kuongea na wananchi wa kata hiyo kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kijiji cha Mbugani. Akiwa Bulyeheke ambayo ina jumla ya vijiji vinane na...
 7. nyampanaga

  Bao la Mkono: Fomu za matokeo zaongezewa kipengele kipya kinyemela

  Nimemuona Salumu Mwalimu akilalamika ITV kwamba NEC wamefanya marekebisho kwenye fomu za matokeo kwa kuongeza kipengele cha idadi ya wapiga kura walioongezeka kituoni. Wakati kawaida fomu hujazwa idadi ya kura zilizopigwa na kura zilizoharibika. Swali safari hii kutakuwa na wapiga kura...
 8. nyampanaga

  CHADEMA wamuweka Magufuli mtu kati Jijini Mwanza

  Wakati Magufuli atakuwa Kirumba Tarehe 24 akifunga Kampeni zake, Kingunge atakuwa Ilemela akifunga Kampeni. Sumaye atakuwa Nyamagana, Mikutano hiyo ni gumzo hapa mjini, Sijui kama itawezekana kwa CCM kusomba watu toka Wilaya za jirani, kwani kuna hatari ya kushindwa kuwarudisha mapema na hivyo...
 9. nyampanaga

  CCM Wametelekeza Watu Mwanza

  Wanarandaranda Viwanja Vya Furahisha Kuelekea Villa Park,chakusikitisha Wengi Ni Kina Kina Mama Na Wa Bibi,huu Ni Ukatili,kama Kuna Mwana Ccm Akisoma Huu Uzi Aujulishe Uongozi,simu Yangu Haina Uwezo Wa Ku Appload Picha,mwana Jf Aliyepo Maeneo Haya Mwenye Simu Fresh Anisaidie Kuwapiga Picha Na...
 10. nyampanaga

  Geita: Wafuasi wa CCM wavamia mkutano wa CHADEMA na kumjeruhi vibaya Askari Polisi

  Imetokea jioni ya leo kijijini Nyambogo jimbo la Geita Mjini ambapo Mgombea wa CHADEMA Rogers Luhega alikuwa na Mkutano wa Kampeni. Wakiongozwa na Balozi wao walianza kushambulia watu kwa mawe na kumlazimu askari aliyekuwepo kujaribu kuwadhibiti na kumzidi nguvu wakamjeruhi na kuharibu...
 11. nyampanaga

  Wenje aitikisa Mwanza, Mtaa wa Mabatini kazi zimesimama kwa muda

  Ni Mafuriko Hapa Uwanja Wa S/Msingi Mabatini.Picha Zinakuja.CCM double efforts inatakiwa kumtoa huyu dogo.
 12. nyampanaga

  Huu ndiyo ukweli unaofichwa juu ya Diwani Clementi Mabina aliyeuawa na wananchi Kisesa,Mwanza

  -Eneo la kilima cha Kanyama lilikuwa na mgogoro wa muda mrefu baina ya wakazi wa kitongoji hicho na mheshimiwa diwani wao juu ya umiliki na kupelekea kufunguliwa shauri mahakamani. -Wakati mahakama haijatoa hukumu juu ya nani mmliki halali kati ya diwani na wananchi, wananchi waliendelea...
 13. nyampanaga

  Kundi la wachimbaji wadogo lavamia geti kuu la mgodi wa Mwadui na kufanya uharibifu

  Wakuu wa Fikra' Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba, majira ya saa 9 mchana jana, kundi la wachimbaji wadogo maarufu kama WABESHI wapatao 80 wakiwa na silaha za mbalimbali za jadi kama manati,kombeo, sululu, mapanga, nondo na mawe, walivamia lango kuu la kuingilia mgodini hapo na...
 14. nyampanaga

  Polisi apigwa kitu kizito na kupoteza fahamu katika mapambano na wachimbaji wadogo

  Wakuu wa Fikra, Jana majira ya jioni kulitokea mapigano makali kwenye mgodi wa Almas wa Mwadui, Shinyanga kati ya Polisi na wachimbaji haramu maarufu kwa jina la WABESHI ambao walivamia eneo la mgodi huo nakuanza kuchimba mchanga wa madini kwa nguvu. Katika kadhia hiyo askari polisi mmoja...
 15. nyampanaga

  Wasanii Profesa J na Mzee Yusufu kugombea ubunge jijini Mwanza

  Wakuu wa Fikra, heshima kwenu Nime inasa hii katika pitapita zangu.Chanzo ni ufa wa mahusiano kati ya wafanya biashara ndogo ndogo(wamachinga) ambao ndiyo wapiga kura wengi na uongozi wa jiji la Mwanza umekuwa ukiongezeka kila kukicha na kufifisha matumaini ya kurirejesha jiji la Mwanza kuwa...
 16. nyampanaga

  Hodi badugu baneeeeeeeeeeeeee.....nashika. .kinehe ningile

  Naomba kukaribishwa...chakula ninacho...nimebeba mambuta,masato,mambute na mahela niliyo yapata baada kuuza mang'ombe huku kwetu Magu- Mwanza
Top Bottom