Search results

 1. E

  Msaada: Hivi waliozushiwa sio raia wa Tanzania walishitakiwa??

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wakati wa kuteua wagombea wa udiwani kule Tunduma kuna wagombea wa vyama vya upinzania hasa Chadema na ACT Wazalendo waliotangazwa na idara ya uhamiaji kuwa sio raia wa Tanzania. Jambo hilo likatumika kama kigezo cha kuwaengua kwenye kugombea na CCM...
 2. E

  Mengi anaendelea kugawa mamilioni

  Baada ya Januari kupata mshindi wa milioni 10 ambaye ni FREDRICK SHAYO, na wa Februari kuwa VIVIANA MULOKOZI, sasa anasubiriwa mshindi wa Machi.
 3. E

  Eneo la Oyster Bay Police kuwa jiji la kisasa angalia renders

  Hivi ndivyo eneo la Oyster Bay polisi ya sasa litakavyoonekana baada ya uendelezaji kukamilika, sijui mwaka gani. Haya tusubiri tuone.
 4. E

  Kweli dunia inaelekea mwisho, Mungu wetu tuhurumie

  Jana mida ya saa 4 kasoro usiku nikiwa na simu yangu naendelea kufuatilia bunge. Nilitokea Kijitonyama nikapitia Shekilango na nilipita mitaa ya Sinza barabara ya Mori nilitokea Mori kuelekea Lufungira, kwa wakazi wa Dar es Salaam wanajua maeneo hayo ni maarufu kwa biashara ya ukahaba. Na kwa...
 5. E

  Kiwanja kinauzwa Mbagala Maji Matitu

  Wakuu nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa ft 50 x 50 eneo la Mbagala Maji Matitu. Kiwanja kipo umbali wa 1.3km kutoka barabara ya lami inayoelekea Mbande na Chamazi ambayo kwa sasa inapanuliwa. Pia kimezungukwa na nyumba, umeme upo, maji yapo nyumba ya pili tu na eneo linafikika kwa gari...
 6. E

  Mzee Reginald Mengi hatari

  Hivi huyu Mzee ana umri gani? Hebu mcheki vitu vyake Kumbe ni baba wawili wa uzeeni eee!!
 7. E

  Katiba Mpya: Kauli nzito za wazee

  KAULI NZITO ZA WAZEE "Katiba inavunjwa, Rais anachekacheka tu". Mzee Joseph Butiku. "Siku hizi hakuna UCHAGUZI, kuna minada tu, mtu yeyote mwenye pesa siku hizi anaweza kununua uongozi". Jaji Joseph Warioba. "Ni bora kukubali mabadiliko wakati wanaoyadai ni wachache kuliko kusubiri wawe...
 8. E

  Dar es Salaam bado saaana

  Jamani hii ndiyo Dar es Salaam barabara ya Uhuru maeneo ya shule ya Uhuru na Biti Titi maeneo ya Akiba.
 9. E

  Ajali Buguruni karibu na Matumbi

  Wakuu nimepita hapa Buguruni kuelekea Ubungo karibu na daraja la Matumbi kuna ajali bodaboda na gari walikuwa wakielekea Bugurni inaonekani bodaboda na dereva wake wameshika moto. Mungu amwepushe na mauti Dereva wa bodaboda jamani.
 10. E

  Hivi Jerry Silaa anafanya nini kama Dar iko hivi?

  Hapa ni Posta mpya katikati ya jiji kabisa, jirani na Holiday Inn na inapojengwa Mzizima Towers (35fls).
 11. E

  CCM nchi imewashinda hebu jionee Dar city centre

  Huu ni Mtaa wa Mkunguni, Kariakoo karibu na Lumbumba Street
 12. E

  VVU vyaweza kuonekana ndani wiki 1?

  Naoma madr mnisaidie. Hivi inawezekana mtu kupima VVU ndani ya wiki 1 na kugundulika kuathirika au kuwa na uhakika kwamba yuko salama? Hii ni kutokana na mtoto aliyebakwa kuonekana kwamba hajaathirika wakati alipimwa ndani ya wiki hiyohiyo aliyobakwa. Naomba msaada.
 13. E

  Bagamoyo mpya

  Dar es Salaam. Mradi wa Bandari ya Mbegani – Bagamoyo, mkoani Pwani ndiyo mradi mkubwa wa uwekezaji nchini utakaoifanya wilaya hiyo kuwa na mwonekano mpya. Aidha, kukamilika kwa mradi huo kunatarajiwa kuliingizia taifa kiasi kikubwa cha fedha na...
 14. E

  Naomba anayejua cv za wajumbe hawa wa tume ya mabadiliko ya katiba aweke humu

  Hii nimeipata kwa jirani, wakuu hebu tuijadili: TUME YA MABADILIKO YA KATIBA1. Jaji Joseph Sinde Warioba - Mwenyekiti 2. Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani - Makamu Mwenyekiti. Wajumbe kutoka Tanzania - Bara 1. Profesa Mwesiga L. Baregu 2. Ndugu Riziki Shahari Mngwali 3. Dr...
 15. E

  Msigwa: Kikwete aliingizwa chaka

  Hii inatoka kwa Kamanda Msigwa: Katika taarifa yake mzee Warioba alituelezea mambo kumi yaliyochangiwa zaidi na wananchi 1. Haki za binadamu 2.muungano. 3.huduma za jamii 4.urais wa jamhuri ya muungano 5. Mfuko wa tawala za Mikoa na serikali za mitaa 6.vyombo vya utoaji haki. .7.raslimali za...
 16. E

  Nahitaji nyumba ya kupanga

  Iwe na vyumba 3-4 sebule included yaweza kuwa upande au nyumba peke yake fensi pia muhimu lakini sio lazima. Maeneo ya Tabata.
 17. E

  Top 100 universities in Africa

  Katika vyuo 100 bora Afrika kwa mwaka huu 2013 University of Dar es Salaam wamechukua nafasi ya 6 na kuanzia hapo mpaka namba 98 kuna Hubert Kariuki Memorial na hakuna chuo kingine cha Tanzania.Kwanza, naomba anayejua anisaidie kujua hii ranking inaangalia vigezo gani?Pili, je vyuo vyetu sio...
 18. E

  The Citizen You Can't Be Serious!! Nyie ni Gazeti Makini!!

  Ndugu wanaJF, Nimesikitishwa na kushangazwa na habari iliyochapishwa na kupewa uzito mkubwa sana (lead story) na gazeti la The Citizen toleo la jumapili tarehe 07-04-2013 iliyo na kichwa kifuatacho: "Where on earth is Kakobe? Local church anxious as ‘healer' bishop skips town". Katika...
 19. E

  Kuhusu Babu wa Loliondo, mawaziri wa Kenya wako makini, ona

  Hebu tazama hapa: Loliondo Jitters - YouTube Mama Mugo, Waziri wa Afya wa Kenya anasema huyo ni mganga na sio mhubiri wa dini, wakati mawaziri wa kwetu walienda kupanga foleni kunywa maji eti ni dawa!!!!
 20. E

  Kitila Mkumbo: Je, Tanzania ina mtaala wa elimu

  Je, Tanzania tuna mtaala wa elimu? Kitila Mkumbo WIKI ya kwanza ya Bunge la 10 lililoanza Januari 29, mwaka 2013 lilitawaliwa na hoja mbili binafsi kuhusu elimu. Hoja ya kwanza ni ile iliyowasilishwa na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, kuhusu kuanzishwa kwa mfuko maalumu wa elimu...
Top Bottom