Search results

 1. Blandes

  Uwajibikaji: Kituo cha Daladala Simu 2000 mnatia aibu

  Kituo ni kichafu sana magonjwa nje nje , Viongozi chukua hatua muone shida ni wapi ipo
 2. Blandes

  SALAMA JABIR PITIA HAPA

  Salama ulikuwa na kipindi chako cha mkasi kila jumatatu kikiwa kinapendwa na kila rika ila ghafla kimya,tunaomba urudishe mkasi tena tunakosa uhondo
 3. Blandes

  Malinzi hili uonekane shujaa

  Hakika jana yaliyojiri ktk kufunga pazia ya ligi yanauzunisha sana kwa soka letu, bila kupindisha maneno ktk mechi ya JKT Ruvu na Stand United kuna mambo ya rushwa yatakuwa yanausika kuibeba Stand. Ushauri wangu kwako rais futa hayo matokeo mechi irudiwe uwanja huru na marefa wapewe adhabu kali
 4. Blandes

  Je, Nikimrudia msichana wangu nitadharaulika?

  Nimedumu na mwanamke kwa miaka 8 katika mahusiano, najisifia sababu nimembadili tabia zake ambazo zilikuwa sio nzuri mfano kunywa pombe. Lakini kwa sasa kaanza kuniambia kwanini sitaki kumpatia hela, alafu kaanza umalaya wa chini kwa chini, message za mapenzi nimezidaka na nimeamua kumwambia...
 5. Blandes

  Dereva wa bajaji

  Wadau mi nikija wa umri wa miaka 25,ni dereva mzuri wa bajaj mwenye leseni,yeyote anaetaka dereva nko tayar kuendesha na kuleta hesabu kwa kila siku kwa uamnifu mkubwa
 6. Blandes

  Tigo jipange sawa sawa kwa hili mmeshindwa

  Wadau wa jf mtakuwa mashahidi kwa watumiaji wa INTERNET ya tigo,hakika wanaboa sana internet iko chini mpaka hata kusoma taarifa kwenye mtandao tabu tupu,nenda kwa voda muombe ushauri ili 2015 muweze kujikomboa,ni hayo tu
 7. Blandes

  Malinzi fanya haya uheshimike

  Rais wangu wa tff pole na majukumu ya kuongoza soka gumu sana lenye watu wote makocha,rais nakushauri kama unataka kufanikiwa ktk uongozi wako chukua kipaumbele kimoja kimoja,mf anza na ligi yenye uwiano sawa wa kimasirahi kwa vilabu,anzisha ligi za vijana kwa kila klabu,toa kozi za makocha...
 8. Blandes

  Hii hali kweli jamani!!!startimes

  natumia kingamuzi cha startimes huu mwaka wa pili,tokea nikinunue nimelipia mara moja tu,cha ajabu toka jana wamenifungia local chanel kuwapigia simu leo wanadai mpaka niende kuilipia ndo nitapata local chanel,hii halali???
 9. Blandes

  Sala yetu moja kwa diamond

  Nachukua nafas hii kuwaomba watanzania wote tuweke tofauti zetu na kumuombea DIAMOND PLATNUMZ apate tuzo usiku huu ya MTV
 10. Blandes

  Sasa Watanzania tuseme CCM basi!

  Hakika maisha ya mtanzania yanaendelea kuwa magumu kila kukicha, Viongozi tuliowapa mamlaka ya kutuongoza wamekuwa watu wa porojo nyingi na uongo juu,ushauri wangu kwa Watanzania zaidi vijana wenzangu tufika hatua tuseme inatosha CCM kuongoza nchi hii. Bora wakae uraiani chama kingine kichukue...
Top Bottom