Search results

 1. Wisdom

  Food for thought! Economic growth ‘not same as economic development’

  For the past 10 years, Tanzania has been proudly announcing promising growthfigures released by the World Bank and International Monetary Fund.Statistics show that Tanzania's economy has been growingat the rate of 6-7 per cent for about a decade now.Economically speaking, 6-7 per cent is an...
 2. Wisdom

  Pau pau:

  A man went to his pastor, knelt down and began confesing tearfully: Pastor, I have sinned. Pastor : My son, what did you do, just confess what exactly you did? God Almighty will forgive you. Man: (sobbing), Pastor I committed adultery with several of the female church members. Pastor : can...
 3. Wisdom

  Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

  Huyu mama ana misimamo sana ambayo kwa wanaume huwa inakuwa vigumu sana kukubaliana nayo, sasa naomba mnijuze ana mume au amewahi kuolewa?
 4. Wisdom

  Kukatika kwa umeme kumbe sio kwetu tu!

  Naangali Supersport 3 kunatakiwa kuwe na live match kati ya Gabon na Brazil, kituko kimetokea just before kick off umeme umekatika na President ndo mgeni rasmi, ni aibu tupu yaani mpaka sasa mechi imechelewa kwa dk 15.
 5. Wisdom

  Sababu nzuri za kuingia katika ndoa !

  Marriage without stress is a possibility, divorce can be avoided. When the lord turned again the captivity of His people they became like them that dreamed, Psalms 126 vs 1.Your trial is turned to triumph. Do not bother about how it is going to happen just believe it and the zeal of the lord...
 6. Wisdom

  Sababu mbovu za kuingia katika ndoa !

  Watu wengi tumewaona kwenye ndoa wakiishi katika hali tofauti za maisha, wako wenye fedha na wasionazo, wako wenye furaha na wasio na wasionao. Yote hii huweza kuchangiwa na sababu nyingi ikiwemo wanandoa hawa kujikuta wanaingia katika ndoa wakisukumwa na sababu zilizo mbovu na zisizo na msingi...
 7. Wisdom

  Njaa kweli Balaaa!

  Huwezi amini unachokiona, jamaa kawakanyaga watototo mikono ili ashibe kwanza yeye!
 8. Wisdom

  Nimeamini kweli njaa haina baunsa!

  Jamaa kawakanyaga watoto mikono ili ashibe kwanza yeye!
 9. Wisdom

  Miaka 50 ya Uhuru: Wizara ya ardhi imepima 1% tu ya Ardhi (Aibu kubwa sana!)

  Nilikuwa namsikiliza mh Susan Kiwanga antoa takwimu Bungeni leo anasema Kwa miaka 50 iliyopita serikali imeweza kupima asilimia 1 tu ya ardhi Tanzania, Swali likaja: Je tunahitaji miaka mingapi ili kuweza kupima ardhi yote ya Tanzania?
 10. Wisdom

  Sijaelewa kabisa maana yake!

  Naomba ufafanuzi wenu tafadhali
 11. Wisdom

  Some perfect answers to some stupid questions!

  Shared through email. Credit the mail originator (not me). When people see you lying down, with your eyes closed they still ask:- Are you sleeping? A: No! I'm training to die! Imagine when you take an electronic equipment to a technician to get it fixed and he still asks you:- Need it to be...
 12. Wisdom

  Fataki na Denti

  Fataki alimpa lift dada mmoja aliyekuwa ametoka church, kwa kuwa dada alikuwa amebeba biblia fataki alijua yule dada kaokoka. ndani ya gari Fataki kila akibadili gear anamgusa mapaja yule dada, Dada akamwambia Tumia mathayo 7:7, Fataki akajua amepigwa dongo kidogo tu yle dada alifika na kushuka...
 13. Wisdom

  Mpenzi wa Zamani anaisumbua kichwa yangu!

  Jamani wana JF ninaomba msaada wenu, Kuna binti mmoja nilikuwa namdate tukiwa shule tena O level me nikiwa IV yeye II nilipomaliza tu shule mawasiliano yalikata, imepita miaka 16 toka tulioonana na kuwasiliana mara ya mwisho. Juzi kwenye sherehe za Mei mosi nilienda morogoro nikakutana naye na...
 14. Wisdom

  Mtoto aliyeibiwa yeboyebo!

  Mtoto mmoja aliibiwa yeboyebo zake akalia sana, ghafla akatokea mtu mmoja mzima akamuuliza kwanini unalia? mtoto akajibu, nimeibiwa yeboyebo zangu, yule myu mzima akamwabia nyamaza usilie mwachie Mungu, mtoto akajibu, Mungu hazitamtosha ni ndigo sana.
 15. Wisdom

  Ushirikiano

  Vijana wawili katika harakati za kutafuta kazi, waliingia kwenye quiz ya kuongea, marafiki wawili hao walikuwa wakisaidiana mambo mbalimbali ya kimaisha walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ampatie mwenzie majibu. Kwakuwa muda ulikuwa mdogo sana na watahiniwa...
 16. Wisdom

  Hivi ni kwa nini Star TV hawasomi Magazeti Jumatano?

  Wana JF naomba kujua kwa nini siku ya jumatano ambayo kuna magazeti ya Mwanahalisi na Raia Mwema huwa Star Tv hawasomo magazeti au wamekatazwa, yanasomwa kupitia redio tu, naomba mnisaidie mwenye sababu. Nimefuatilia hili suala kwa wiki nne mfululizo.
 17. Wisdom

  Naomba kutambulika rasmi ndani ya JF!

  Jamani ndugu zangu wana JF naomba mnikaribishe rasmi jamvini, nitakuwa makini na mwadilifu. Nashukuru sana!
Top Bottom