Search results

 1. Dumelambegu

  Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

  Kipindi recorded hakina mvuto.
 2. Dumelambegu

  Willibrod Slaa amkacha Tido Mhando

  Babu anayekula mihogo huwa ananifurahisha anavyoshika kipaza sauti.
 3. Dumelambegu

  Dkt.Magufuli aibukia Njombe aungana na Filipokunjombe ujenzi barabara za Liganga

  Naona mmekazana kumnadi MSEMA CHOCHOTE Kimpumu Magufuli.
 4. Dumelambegu

  Kama ni zamu ya Zanzibar basi ni balozi Seif Idd

  Hakika nchi hii ina wenyewe.
 5. Dumelambegu

  CCT yamkosoa Rais Kikwete kwa kuharibu mchakato wa katiba

  CCT imechelewa sana kutoa tamko hili ingawa of course ujumbe umefika.
 6. Dumelambegu

  Dkt. Magufuli:Jembe la Watanzania latua Mkoani Ruvuma

  Magufuli ni MSEMA HOVYO, MLOPOKQJI, MPENDA SIFA, MWENYE MAJIVUNO NA KIBULI, ASIYEFIKIRI KABLA YA KUTENDA, MUUZA NYUMBA ZA SERIKALI, n.k. Aache kuuota urais. Kwa tabia yake ya kuwadharau wananchi, hakuna rais mwingine tena ajaye anayeweza kumpatia hata uenyekiti wa kijiji. Kama wana Chato...
 7. Dumelambegu

  Tatafakari juu ya Tamko la Prof. Mwandosya

  Mbali ya kuwa ccm, generally, mwandosya hafai kuwa rais hata mkuu wa wilaya.
 8. Dumelambegu

  Tatafakari juu ya Tamko la Prof. Mwandosya

  Naungana na wewe kwamba nchi imeongozwa hovyo hovyo mpaka watu kama akina mwandosya nao wanauota urais. Huyu waziri asiye na wizara maalum hana lolote na ana kiburi na nyodo sana. Yeye ndiye aliyeivuruga DAWASCO kwa maslahi yake binafsi. Alimwondoa CEO mchapakazi Bw. Kaaya kwa maslahi yake tu...
 9. Dumelambegu

  Majina 403 ya wauza unga yaanikwa: Ni Watanzania waliokamatwa ughaibuni

  Aisee, kweli hii ni dini ya AMANI. Nasikia wakati mwingine waumini wanajifunza karate kwenye nyumba za ibada.
 10. Dumelambegu

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  Kichwa cha thread kinavutia as if ukifungua utakutana na scale kumbe ni utumbo tu tena wa kiti moto. Pppptuuuu!!!
 11. Dumelambegu

  World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

  Quarter Final: Brazil 2: Colombia 1 German 1: France 0 Agentina 1: Belgium 0 Netherlands 2: Costa Rica 1 Semi Final: German 1 : Brazil 3 Netherlands 2 : Agentina 0 Final: Netherlands 1 : Brazil 1 Penalty...
 12. Dumelambegu

  World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

  Watu wengi wamekuwa wakiidharau Brazil lakini wao wanaendelea kuchanja mbuga. Sasa wanaisifu Ujerumani lakini mwisho wa siku watashangaa mkoloni anaangushwa pwaaaaa!!!
 13. Dumelambegu

  World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

  Na ikitokea hivyo, Brazil watanyanyua ndoo kiulaiiiniiii.
 14. Dumelambegu

  Poleni Sana Wabunge wa Upinzani kwa Kazi Nzito Bungeni. Bila Shaka Mungu Atawalipa

  Wajumbe, Kama kuna jambo linalonisononesha sana ninapotazama mwenendo wa Bunge letu ni namna hoja nzuri za wabunge wa upinzani zinavyotupwa na kiti tena kwa kejeli ya hali ya juu na kuungwa mkono na wabunge wa chama tawala. Wakati mwingine nimekuwa nikifikiri kwamba ningekuwa mimi huenda...
 15. Dumelambegu

  Spika na baadhi ya mawaziri watekwa na matajiri,Mwigulu acharuka amvaa spika "misamaha ya kodi"

  Well said. Uchaguzi unapokaribia kauli za kutetea wanyonge ndipo hujitokeza. Sijui kama mwigulu ana moral authority ya kuwatetea wanyonge wa nchi hii!!!
 16. Dumelambegu

  Maswi: Zitto na Kafulila ni washenz* na wala rushwa...! Asisitiza Kafulila ni 'tumbili'

  Maswi is confident and I tend to believe him. Unajua mtu asiye na agenda ya siri hapepesi macho anapoongea kuhusu jambo fulani and this is what Maswi does. Kafulila na Zitto wamekanyaga moto.
 17. Dumelambegu

  Spika na baadhi ya mawaziri watekwa na matajiri,Mwigulu acharuka amvaa spika "misamaha ya kodi"

  Hii story ukiisoma "between the lines" utagundua kuwa imelenga kumnadi mwigulu. Zipo taarifa kuwa mwigulu nae anauwinda uRAIS na Kangi Lugola aliongea hivyo bungeni bila kupepesa macho. Kadri tunavyousogelea mwaka 2015 ndivyo maandiko ya namna hii yatakavyoendelea kushamiri. Mwigulu siyo...
 18. Dumelambegu

  Prof. Maghembe anagawa fedha kama njugu huko Mwanga

  Ni upumbavu na ujinga kwa Great Thinker kujadili tetesi zisizo na miguu wala kichwa.
 19. Dumelambegu

  Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

  Ndiyo kazi ya uvuvuzela jamani. Msimlaumu sana Nepi.
Top Bottom