Search results

 1. emma911

  Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

  Ushauri wangu,viwanja vizuri na vyenye usalama, hakuna buguza, umeme na maji na mahitaji mengine muhimu ya kijamii yanapatikana. Angazia viwanja vya kibaha,Pwani.
 2. emma911

  Natafuta mume

  Kama mama yako angeangalia sifa za mume aliyemtaka, sidhani kama ungezaliwa.
 3. emma911

  Hodi humu jamani

  Ahsante sana.
 4. emma911

  Hodi humu jamani

  Habari zenu waafrika wenzangu, mimi ni mgeni JF naomba mnipokee. Ahsante!
Top Bottom