Search results

 1. M

  Waafrika ni wanafiki sana

  Waafrika ni wanafiki sana na ndio maana wakoloni walitutawala kirahisi na kituuza utumwani. Yanayotikea Belarus leo, viongozi wengi wa nchi jirani wanakemea na kutaka uchaguzi huru na haki ufanyike na maamuzi ya wananchi walio wengi yaheshimiwe. Tuje hapa Afrika bara la wanafiki, kiongozi...
 2. M

  Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii

  https://www.inquirer./health/coronavirus/coronavirus-covid19-cardiac-arrest-irregular-heart-rhythm-penn-medicine-20200622.html
 3. M

  Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

  Toeni data za COVID19 , dunia nzima inafanya hivyo kwa nini sisi???
 4. M

  Hadi sasa wageni 182 wamegunduliwa na Corona kupitia mpaka wa Tanzania na Kenya. Visa vyafikia 963

  Kama hivi vipimo vya Covid19 vya Kenya huko Namamga vinasema kweli, basi hali ya maambukizi hapa Tanzania ni mbaya sana kuliko tunavyoaminishwa.
 5. M

  Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

  Weka data hapa kuonyesha yamepungua, mmepima wangapi? Wamekufa wangapi? wamepona wangap? Bila hizi data hiyo ni illusion tu.
 6. M

  Hivi ndivyo Katiba ya CHADEMA inavyosema kuhusu Wabunge wake kuchangia chama

  Huyu kijana kumbe mpumbavu wakati anagombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA hakusoma katiba? Sasa analia lia nini?
 7. M

  Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

  I think it is much better if he stays quite than opening his mouth
 8. M

  Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki (EAC) wafanya kikao kujadili Corona. Rais Magufuli na Nkurunziza hawakushiriki

  Wanasema ana asili ya Burundi ndio maana tunafanana nao kila kitu.
 9. M

  Is President Magufuli an isolationist?

  Alipataje hiyo PhD???? Rip Ben Saanane
 10. M

  Kenya yaongeza Masharti katika mipaka yake na Tanzania, huvuki bila kupata Majibu ya Vipimo vya Corona

  Hata mimi nakubaliana na wewe lakini tumefunga shule na vyuo tuakacha mabaa, madisco na makanisa does this make sense?
 11. M

  Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

  Kweli sasa nimeamini kuna tofauti kati ya P.....e ya bongo na TAKATAKA
 12. M

  Mbunge wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare achaguliwa kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni

  Pascal, Kabla bunge hili la sasa halijafungwa au hata likifungwa naomba uandike maoni yako kuhusu hili bunge na speaker wake. Bila kua biased.
 13. M

  Serikali inaomba wananchi kuchangia fedha za kupambana na COVID-19?!

  Nakumbuka za wahanga wa tetemeko Bukoba. SICHANGI KAMWE
 14. M

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020

  It is a probability, Spanish Flu ilika two years
 15. M

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020

  Nawaza tu! 1. Kama hali ya Corona ikiendelea hivi with social distancing, kutakua na shamra shamra za kampeini nchi nzima? 2. Hali ikiendelea hivi wanachi watajitokeza kupiga kura? 3. Gonjwa hili likiendelea mpaka uchanguzi KUTAKUA NA WAANGALIZI WA KIMATAIFA WATAKAO KUJA NCHINI? Na kama...
Top Bottom