Search results

 1. Rural Swagga

  Good Old Days

  Hakika nimeimiss JF ya kuanzia mwaka 2012 kurudi nyuma...Ni mtizamo wangu(my opinion)JF now days kuna members wanazingua sana..mtu anaaanzisha hata uzi wa kipuuzi na unapata airtime ya maana tu..JF ya kipindi hicho hata ku-comment mtu unawaza sana.... sembuse kuanzisha uzi.
 2. Rural Swagga

  Baba Mchagga Mama Mdigo

  Baba yangu ni Mchagga wa Old Moshi Kilimanjaro Mama yangu ni Mdigo wa Maramba Tanga...Walibahatika kufunga ndoa Jijini Dar es Salaam mwaka 1985...Nimezaliwa Hospitali moja maarufu ya umma hapa Dar miaka ya mwishoni mwa 80/late 80's.... Swali langu sasa ili kuanzia leo nijitambue...JE MIMI NI...
 3. Rural Swagga

  Kesho ndio tunaenda kuufahamu unafiki wa baadhi ya watanzania

  Timu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia. Hapa nilipo niko na Waburundi,Wazimbambwe,Waganda,Wakenya,WaSouthAfrica wenyewe bila kusahau Nigerians....Jamaa hawaongelei negative kuhusu timu zao za...
 4. Rural Swagga

  Very Interesting

 5. Rural Swagga

  Nimecheka Sana..............

  http://youtu.be/ezNduQlf_nA
 6. Rural Swagga

  Top Ten: Most dangerous Cities across the World

  Some cities are very famous for its unique architecture, some for its skyscrapers, some for its culture and nightlife, and some are for its scenic and natural beauty. But here, we are not going to represent such cities, but instead we are going to represent some of the most dangerous cities...
 7. Rural Swagga

  Fact

 8. Rural Swagga

  Awesome Story Must Read. . . .

  Husband comes home drunk and breaks some crockery, vomits and falls down on the floor... Wife pulls him up and cleans everything. Next day wen he gets up he expects her to be really angry wid him.... He prays that they shouldd not have a fight.. He finds a note near the table... "Honey..your...
 9. Rural Swagga

  Hali Ya Barabarani Tokea Dar hadi Arusha

  Habari za Jioni ndugu zangu Watanganyika. Kesho nina mpango wa ku-drive toka dar kuelekea Arusha,kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwa wingi ningependa kupata updates za njia ilivyo kwa sasa...Wahenga walisema heri kinga kuliko Tiba
 10. Rural Swagga

  Ngurumoi Moja Matata Sana......

  Waheshimiwa niko maeneo ya Mwenge Petrol Station (PUMA) Imegonga Ngurumo moja mpaka ninavyoandika hapa saa hii bado ubongo haujakaa sawa....Nimezaliwa Dar, Nimekulia Dar, Nafanya kazi Dar sijawahi kusikia ngurumo ya radi kubwa kama hii ya leo
 11. Rural Swagga

  Happy Birthday To Me

  25 Nov 2013...Mwaka wa 3 JF as a verified user/member.. pamoja na vurugu zote sijawahi pigwa BAN... Invisible eeeeh piga mm BAN hata ya Cku mbili for d sake of my Birthday. NAWAPENDA SANA SANA WANA JF
 12. Rural Swagga

  Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

  Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.
 13. Rural Swagga

  Unconditional Love of a Dog

  This is a precious video of a young boy with down syndrome and a dog who is determined to make friends with him. This is a really beautiful demonstration of God's unconditional love for us despite us turning him away many times. Have a blessed long weekend mazee. [FULL] Dog Determined To Make...
 14. Rural Swagga

  Mmmmh..!!taifa langu

  TAIFA LANGU *Taifa ambalo mabinti zake wakimuona mzungu wanadhan ana hela *Taifa ambalo ukiongea kingereza unaonekana umesoma sana *Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we ni mjanja hata kama vocha unaweka jerojero *Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu na mapolice *Taifa ambalo mtu kwao hawana...
 15. Rural Swagga

  AY Ahojiwa BBC - Focus on Africa

  AY Tanzanian Finest Interview at BBC World News 2013 06 14 18 52 40 - YouTube
 16. Rural Swagga

  Tahadhari:kama wewe ni mtanzania mzalendo/unaipenda nchi yako usitazama hapa

  mimi huwa nikianza kufikiria rasilimali tulizonazo,Madini(tanzanite,gold,almasi,rubby nk),Gesi,Mbuga yani vitu vingi sanaaa. Wakuu huwa nalia ndani kwa ndani. Tatizo ni nini haswa????
 17. Rural Swagga

  BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI

  BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha "...
 18. Rural Swagga

  Mwaka Wa 20 Sijaugua Malaria

  Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
Top Bottom