Search results

 1. Y

  Hii Mitandao ya simu inatutakia nini wanateknolojia Tanzania?

  Ndio Zipo buddle za usiku Hallotell kuanzia saa 6 ucku mpaka 12 asubuhi , Kama alivyoeleza hapo juu ,
 2. Y

  Ni kitu gani ambacho licha ya usomi wako bado kinakusumbua?

  Hichi ndio anachotakiwa kufanya
 3. Y

  Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

  Ndio njia zote zipo, unaweza download App ya Nssf au kwenye Website yao ingia kwenye "member portal"
 4. Y

  Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

  Sio kila operation ya kijeshi lazima iwekwe public , ushaambiwa ni magaidi , hapo ujue Kuna inshu ya National security pia
 5. Y

  Huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa

  Habar mkuu, hongera kwa kufikiria kutoka katika kuajiriwa ...Ila kabla ya kukushauri zaidi naomba nikuulize 1) Unatemegmea hela yako utakayoipata kutoka mifuko ya hifadhi ya jamii ndio uitumie kuwekeza kwenye huo mradi unaoufikilia? 2) Ulishawahi kufanya kilimo Cha biashara katika scale yoyote...
 6. Y

  Kwanini jiko la mkaa ukiwa ndani linaweza kupelekea vifo

  Shukran mkuu, topic yako imenikumbusha mbali , kuongezea tu ... Carbon monoxide ina affinity 200x kubond na haemoglobin kuliko Oxgen , yaan Kama oxygen na carbon monoxide zitafika kwa pamoja haemoglobin ita prefer kubond na carbon monoxide kuliko oxygen unless concentration ya Oxgen iwe kubwa
 7. Y

  Kuna kaka anaashiria ananipenda ila hanitongozi, nifanye nini?

  Ndio ashakutongoza hivyo ...wengine ndo huwa style zetu za kutongoza , ni Kama vile unakimbiza mwizi kimya kimya atapiga kelele mwenyewe Kama wewe ulivyokuja kupiga kelele huku na huwa inafanikiwa ...sasa kama nawe umempenda endelea kumsalimia tu one day atakuita muende sehemu ndo itakuwa...
 8. Y

  Utafiti: Mahusiano / Ndoa zenye Wapenzi ambao Mwanaume ni mrefu kuliko Mwanamke hudumu kuliko wale ambao wana Kimo sawa

  itabidi waolewe na wanaume walefu ; hakuna namna[emoji16][emoji16][emoji16]
 9. Y

  Natafuta mtaalamu wa kilimo cha Greenhouse

  Morogoro sehemu gani
 10. Y

  Wanawake wa Dar, Ameniacha na maswali mengi sana huyu mwanamke...

  Alikuachia number kwenye seat ; hujasema kama ulimpatia number yako; kama sijakosea wewe ndio ulianza kumpigia baada ya kuachana ...mbona ulimtafuta ulitegemea akuambie nini labda?
 11. Y

  Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  w2is is hv ý 6666yu56u r5http zg4y3ýģģ f7uu65rrently tee
 12. Y

  Pata submersible borehole pumps

  Habar wakuu; kwa wenye uhitaji wa submersible water pumps complete set +motor ( zimetumika chini ya mwaka Mmoja) kulingana n.a. sifa orodheshwa hapa chini *Manufacture - Leo, 7.5kw , discharge 16m-cubic/hr, country of origin -China , Price 5,000,000tsh (mpya) *Manufacture...
 13. Y

  Jifunze kilimo cha nyanya

  Habar mkuu; nimepanda Assilla Dumila Morogoro ina kama week tatu sasa ...kulingana n.a. uzoefu wako wa eneo Hilo changamoto gani nitegemee upande wa ukuzaji shambani ; n.a. vipi wakati wa Uvunaji soko linaweza kuwa n.a. bei ipi SHUKRAN
 14. Y

  Watu 11 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya magari 3 eneo la Veta Dakawa

  Yap ni uzembe / mwendokasi kuanzia kwa dereva wa gari kubwa aliyeshindwa kusima baada ya gari dogo mbele yake kupunguza mwendo ghafla ye akaamua kuchepuka hapo ndo akakutana na mwenzie
 15. Y

  Watu 11 wafariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya magari 3 eneo la Veta Dakawa

  Hapo kuna ajali mbili zilizotokea mida tofauti ( tofauti ya masaa 10- 11) , * Ajari ya kwanza - ilitokea saa kumi jioni Jana tar 30/06/2016 ilihusisha gari kubwa mbili moja iliyokuwa na tank za diesel na nyingine iliyokuwa na kontena , ziligongana uso kwa uso kufuatia gari iliyokuwa na kontena...
 16. Y

  Afrika Kusini watupiana cheche za ubaguzi kwenye mitandao

  Wasukuma na wamasai wote ni jamii za wafugaji , sema tofauti ndogo ni kuwa wasukuma ni wakulima pia, na katika kumbukumbu zangu vita baina yao ilipiganwa kitambo na chanzo ni wizi wa. Mifugo baina yao , na wala sio maswala ya malisho na mifugo
 17. Y

  Simu kuisha chaji wakati inachajiwa

  Aisee, ni kweli Huawei yangu ilianza hiyo tabia then siku moja ikazima kabisa huku ikiwa connected kwenye charge na haikuwaka tena
 18. Y

  Natafuta kazi

  Uko mkoa gani
 19. Y

  Cherry Tomatoes

  Uko wapi
Top Bottom