Search results

 1. kweleakwelea

  Magufuli pitisha katiba ya warioba haraka utaongoza nchi kwa kidole cha mwisho

  hellow Wananjamvi, i have been watching the Magufuli administration--- and at some point seeing him akistep down kutoka kuwa mtoa maagizo hadi kuwa mfuatiliaji - meneja. hii nadhani inamuumiza sana.. kwakuwa ni kweli nchi kila upande ni mufla bin hoi... kiujumla sytems has been...
 2. kweleakwelea

  Rais Magufuli be careful with neoclassicals Ndulu na Lipumba

  Dear Raisi wangu Magufuli, tumeiona nia yako njema na tunaikubali. cha kwanza ni uchumi,,,, naam... huwa kuna mawili hapa.....nidhamu ya kukusanya na nidhamu ya matumizi..... la pili ni kwamba negative balance ya taifa pia ni fashion fulani ambayo mataifa yanatumia....kwamba sio tu kulipa...
 3. kweleakwelea

  Magufuli asante umewaokoa watoto wetu

  Dear raisi wangu Dr Magufuli, najua una kazi nyingi sana. cha msingi wewe ni binadamu timamu na mwenye akili timamu kabisa na in principle tunakukubali. inawezekana mimi ni mwalimu. lakini wakati fulani ni mzazi. kwa kipindi kirefu mimi na wenzangu ilibidi tuwe tunatoa hela zetu mifukoni...
 4. kweleakwelea

  Hadithi ya Yona

  nakumbuka nilivyokuwa mdogo nilisoma hadithi ya Yona kwenye biblia... ya kwamba alitumwa na Mungu akawafundishe watu wa nchi nyingine NINAWI neno lake kisha wakiri na wamrudie mola wao,,,,, ya kwamba watubu maana walipitiliza kwa uovu.. yona kumbe bado anayapenda maisha....akatoroka vijana wa...
 5. kweleakwelea

  MV mapenzi meli ya wapendanao!!!

  Nimeangalia mambo yanayoendelea katika siasa nikakakumbuka kale kasongi ka mv mapenzi.... Nahodha kajitupa baharini..... maswali: - 1. Je, meli ilizama? kama haikuzama mchango wa nahodha ulikuwa upi melini? 2. Je, ni nini kilimtokea nahodha? Alafu nakumbuka wakati anajitosa huku nchi...
 6. kweleakwelea

  Kuelekea uchaguzi 2015: Kwa mara nyingine wasomi wanaliangamiza taifa

  Ba ndugu wapendwa, subhakleri waungwana... mara nyingi nimeluwa nikitafakari nafasi ya msomi katika jamii hasa kama hii yetu ya Tanzania ambayo... 1. tuliosoma ni wachache..... 2. tumesoma kwa kutumia amana za taifa na za hao wengi ambao hawajasoma..... 3. tunaaminiwa na tunasikilizwa na...
 7. kweleakwelea

  Muhongo an ideal president of our time

  mimi ni mtu ninawachunguza sana hawa jamaa.... kuhusu Profesa Muhongo....moyo wangu unamtazama hivi kutokana na mambo mbalimbali 1. ni mtu ambaye hufanya kazi na takwimu......na sio porojo. so far sijaona mgombea yeyote ambaye utendaji wake na mikakati yake inazingatia takwimu kama huyu...
 8. kweleakwelea

  MOU kila kukicha, ni Kwa faida ya nani?

  Kila kukicha mou mou mou mou. Mou ni udini mou ni udini mou ni mfumo kristo. Kama hawataki mahakama ya kadhi basi na mou ivunjwe. Isiwe kero kama ni hivyo basi na ivunjwe. Ndio .....mou mou serekali na kanisa mou....mou ivunjwe. Sijui hata kama hawa wanaoongea wanaelewa maana ya mou. Au...
 9. kweleakwelea

  Watanzania tujihadhari taifa letu litafutwa kwenye uso wa dunia

  naandika hili nikitumia mfano wa mzozo wa kuingiza magari ya watalii uwanja wa ndege Jomo Kenyatta international airport NAAMINI UCHUMI...PROFESSIONALISM NA BIASHARA SIO SIASA, UCHUMI...PROFESSIONALISM NA BIASHARA ZINA KANUNI ZAKE SIO KELELE ZA MAJUKWAANI..... WENZETU WAKENYA WANATUMIA PESA...
 10. kweleakwelea

  Zuma hasomi, wasauzi wanalalamika

  dear membs.... nimekuwa hewani nikakutana na hii article inayomhusu swahiba wetu ijacob zuma kuwa huwa hasomi.... iko hapa Zuma doesn't read - analyst | News24 Zuma doesn't read - analyst2013-09-26 16:01 President Jacob Zuma (Picture: Sapa) Multimedia · User Galleries...
 11. kweleakwelea

  Kwa hili la Rwanda tumwelewe Pinda

  hi all... nimekuwa nikipita pita leo hapa jamiiforum... nimeona watu wengi mapovu yanawatoka kumlaumu pinda kwa kauli yake ya kumtumia ujumbe mu7 kuhusu amani na rwanda... sijui kwanini imekuwa ngumu kumuelewa.....mimi nimemuelewa na nimemuunga mkono.... lakini naogopa sana ikiwa serekali...
 12. kweleakwelea

  hivi RWANDA NI TAIFA AU AINA FULANI YA WATU?

  COLLEAGUES, i have been following this on the following link; Rwanda Deploys Massively Along DRC Border > IGIHE - English Version sasa inaonyesha wazi wazi kuwa Rwanda ni zaidi ya geography... ni zaidi ya ardhi na mipaka ya kiutawala.... rwanda ni kundi fulani la watu...haijalishi kuwa wapo...
 13. kweleakwelea

  someone in kigali wrote this paper- noteworth?

  kujielimisha ni jambo jema sana.... leo nimekuwa nikisoma soma mambo ya international relation na nikaona pepa ilioandikwa na msomi wa rwanda kuhusu mvutano wa tanzania na rwanda kuhusu wahamiaji.... is it noteworth? Journal of African Conflicts and Peace Studies Volume 1 Issue 1 Peace and...
 14. kweleakwelea

  Aliyerusha bomu Kigali akamatwa na mtandao kufaahamika

  Bandugu wapendwa, Nilikuwa ninapita pita kwenye magazeti ya huku na kule mara nikaona kuwa wale wahusika wa kurusha bomu stand ya taxi tarehe 27 july wamefikishwa kwenye mikono ya sheria. Mimi bado naitafakari hii amid response....naomba na wenzangu tuitafakari tuone tunajifunza nini??? hasa...
 15. kweleakwelea

  Pale Addis Ababa, Kagame alitakiwa kusema hivi! Mu7 kaanza kurekebisha kauli

  nilidhani baada ya kikwete kutoa rai yake pale Adis ababa kuwa kagame akae na wapinzani wake kuondoa usumbufu kwa tanzania na bara letu kiujumla......kagame kwa upole angetoa rai kama ifuatavyo 1. nchi yangu ina historia ndefu hata hapa tulipofika ni mafanikio.... 2. ni kweli kuwa matatizo...
 16. kweleakwelea

  Is Kagame behind the death of the Unversity DON - Prof Munyanzinza?

  Prof munyanzinza had his life in Sokoine university....forest department...popular as NDUAYESU..... a sventh day adventist...who used to play with his guitar during fellowships....and during evening times... alisoma na bahati watz huwa si wabaguzi akapata kazi... alioa mke mzungu wakazaa...
 17. kweleakwelea

  Zanzibar nayo ifaiddike kwa mapato ya gesi!

  MPs punch holes 0n new gas draft By Beatrice Bandawe 19th May 2013 Email Print Members of Parliaments Members...
 18. kweleakwelea

  JK, haitoshi kusema vita ya kidini haina mshindi - SEREKALI LAZIMA IIBUKE MSHINDI!

  Wapo raia wa Saud Arabia wanne, Mkenya mmoja, Watanzania watano - NIPASHE Balozi wa Vatcan hapa nchini, Askofu Mkuu Francisco Padilla, akimjulia hali mmoja wa majeruhi alipotembelea katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru jana...
 19. kweleakwelea

  Jk na wanaccm kizazi cha chifu mangunga!

  ndugu wana jf..... kama mtanzania mwenye nia safi na nchi yetu na mdau wa maendeleo nimekuwa nikifuatulia kwa karibu chaguzi za CCM zilizokuwa zikifanyika kule dodoma....... na kusikia tambo za mawaziri eg john magufuli na ujenzi wa barabara...... wachilia mbali ujenzi wa kigamboni bridge na...
Top Bottom