Search results

 1. Malcom XX

  Hayati Rais Magufuli alijua kuwa maisha yake yapo hatarini?

  Nimetafakari kwa umakini sana kauli za Hayati Rais Magufuli kuhusu maisha yake, mara nyingi alisikika akisema kuwa 1. Niombeeni Watanzania. 2. Ni ni Rais wa wanyonge nimesacrifice maisha yangu kwa ajili yenu wanyonge na mtanikumbuka siku moja., Je, alifahamu kuwa kuna watu walikuwa ni hatari...
 2. Malcom XX

  Msimamo wangu: Sirudishi biashara zangu Tanzania

  Ndugu zangu mimi ni miongoni mwa watanzania wengi tulioumizwa katika awamu ya tano. Biashara zangu ziliminywa mwanza, arusha, na Dar es salaam. Maofisa wa TRA na TAKUKURU walinyanganya leseni ya biashara yangu na vile vile serikali wakarevoke account yangu kabla ya kuchukua pesa takribani...
 3. Malcom XX

  Rais Magufuli na IGP Sirro, zuieni mauaji haya

  Ndugu zangu tangu baada ya uchaguzi nchi yetu inapitia kipindi kigumu watu wanauawa kinyama mchana kweupe kwa sababu za kisiasa , kuchomeana makazi na kutekana. Kibaya zaidi wenye mamlaka wanadai hali ni shwari kabisa labda kwa sababu wanalindwa kwa mizinga na rada ndiyo maana hawaogopi...
 4. Malcom XX

  Uchaguzi 2020 CHADEMA wana faida kubwa mbili

  1: Mikoa ya kanda ya kati ni base ya Lissu kwa maana ni mtu wao wa nyumbani kisaikolojia ni ngumu kwa watu wa nyumbani kwako kukuacha kukuunga mkono, kanda hii inatarajiwa kuwa na wapiga kura milioni tatu. 2: Mikoa ya kanda ya kasikazini ni ngome ya chadema kwa maana kuwa ni makao makuu ya...
 5. Malcom XX

  Why study political science?

  Political science has gotten a bad rap. Many people wrongly assume that political science is boring and has nothing to do with them. On the contrary, government and politics affect everyone’s lives on a daily basis, and, once you’re familiar with a few basics and a few key characters, the...
 6. Malcom XX

  Akina Bob Amsterdam washaanza kumtandika za uso Lukashenko

  Watusaidie na huku kwetu tuondoe jinamizi hili
 7. Malcom XX

  Makonda ameondolewa katika mfumo ili kupisha Uchaguzi?

  Makonda ni mchafu kisiasa hasafishiki. CCM wamemzuia asiseme chochote kuhusu kampeni wakijua kabisa ataharibu mambo na ataibua yaliyolala. Suala la vyeti vyeki lilivyoshughulikiwa na mamlaka halikuwaridhisha wananchi ndani ya CCM na nje ya CCM. Ujambazi na ujangili katika Clouds fm pia...
 8. Malcom XX

  Five years of destructions, corruption, and nepotism

  In five years under this blood thirsity guy the whole country has turned into bloodshed, corruptions, nepotism and massive destruction of economy, peace and harmony. People has been killed spectacularly like Aquilina, Azory , mawazo but nothing has been done by the authorities to end such...
 9. Malcom XX

  CCM kumenoga sasa hivi chereko na nderemo

  Jionee hapa
 10. Malcom XX

  Maendeleo yaliyoletwa na CCM ni yapi?

  Maendeleo ni mabadiliko yanayoonekana kuboresha hali ya binadamu. Hali hiyo inajitokeza katika nyanja mbalimbali za maisha na kulisha mawazo mengi. Upande wa sayansi yanahusika na ongezeko la ujuzi kutokana na utafiti na mabadilishano ya matokeo yake. Upande wa historia yanahusishwa na...
 11. Malcom XX

  Uchaguzi 2020 CHADEMA wana uwezo wa kuweka mawakala wa kura vijijini?

  Naona kama mawakala wa upinzani watafanyiwa mambo haya matatu. Moja: Wanaweza kuhongwa na CCM kuuangamiza upinzani, sioni wakala aliyeko kijijini kama ana uwezo wa kukataa laki tano apindishe matokeo. Pili: Watazuiliwa kuingia vyumba vya kuhesabia kura kwa kisingizio kuwa hawana barua za...
 12. Malcom XX

  Watanzania kuweni makini sana

  Uchaguzi siyo jambo la hamasa na ushabiki kama vile ambavyo wanasiasa wanajaribu kujenga hamasa na ushabiki ili kuwatoa watu katika hoja . Uchaguzi ni jambo la kimaendeleo hivyo halipaswi kufanywa kishabiki na kwa hamasa kama linavyoanyika kwa sasa. Nianze na CCM yangu kwanini mnabeba wasanii...
 13. Malcom XX

  CCM na maendeleo ya Elimu

 14. Malcom XX

  Wanyonge wakimsubiri Mkombozi wao Lissu huko Kigoma

  CCM ndio chanzo cha umasikini kwa wananchi, Tuikatae 28 october 2020.
 15. Malcom XX

  Uchaguzi 2020 Siasa za mwaka 2020 zinanifundisha mambo mengi sana

  Moja:Uhaba wa elimu kwa wapiga kura, naona wapiga kura wanahadiwa kwa mziki na nyimbo za wasanii waliokodiwa kwa mamilioni ya fedha ili kuongeza mvuto wa wagombea, Wapiga kura nawahurumia baada ya uchaguzi kwani hakuna wa kuwakumbuka. 2: Wagombea wetu wengi empty head/hopeless they know...
 16. Malcom XX

  When will NEC hold a presidential debate?

  We need presidential debate to evaluate and assess competence and ability of our leaders, It can help rather than using singers and arts.
Top Bottom