Search results

 1. Cantalisia

  JF Arusha Members hakika ni zaidi ya nilivowadhania............

  Habari zenu wapendwa, Hakika ninayo furaha ya pekee sana kuwashukuru JF Members wa Arusha kwa mapokezi yao,ukarimu na upendo waliounyesha kwangu,kwakweli ilikua nizaidi ya vile nilivodhania maana watu waliacha shuhulizao na familia zao majumban na kujitokeza sehem iliyokuwa imeandaliwa kwa...
 2. Cantalisia

  Hellow wana Arusha ndio Nimehamia...

  Mambo vipi wapendwa baada ya kimya kingi nimerudi tena safari hii nimeibukua huku mji wa kitalaii Arusha, kwaherini wapendwa wangu wa Dar Es Salaam hasa baba yangu Mtambuzi tutaonana nikija kutembea, hope wadau wa Arusha you will be there for me.
 3. Cantalisia

  I missed you jaman!!!!!

  Niliwamiss jaman lol! Nashukuru mungu kwa kiwezesha kuwa nanyi tena! I love you all!!!
 4. Cantalisia

  Msaada tafadhalin kwa anayejua km huu ni ugonjwa au ni tatizo gani!!!!!

  Habari zenu wapendwa, Jaman nina wifi yangu hapa amepatwa nna hali ya ajabu amenishirikisha ila na mie mshamba kwa hili hata siielewi kitu nimeamua kuliwahisha humu ili mtuusaidie! Ameolewa mwezi januari na hakuwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango na wakawa wanafanya siku zote bila kuepuka...
 5. Cantalisia

  Am back again!

  Hellow wapendwa wangu,Kwa uweza wa mungu nimerudi tena baada ya kutoonekana kwa mda,niliwamiss kupita kiasi!Baba yangu Mtambuzi,Mme wangu kipenzi Rejao,mashem wangu wote,mawifi,maswaiba zangu wote na wanajf wote hasa hapa chitcha!i love u all!
 6. Cantalisia

  Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

  Habari zenu wapendwa, Kuna mkaka ni mkazi wa dar ila anafanya kazi mgodini huko mwanza huku anakuja kila baada ya miezi miwili,Alikutana na mdada huko mwanza Mdada anafanya kazi huku dar kule alienda kikazi,wakapeana kontakt, na mawasiliano yakaendelea na wakawa wapenzi. Kwa kipindi cha miezi...
 7. Cantalisia

  Msaada tafadhali,binti kagundua mme mtarajiwa anaigiza ulokole, kumbe .......!

  Habari zenu wapendwa,,kuna binti flan nampa jina la Jen,huyu jen na familia yao yote ni walokole,jen elimu yake ni ya form four na ana miaka 20 kwa sasa,wazazi wake ni wakulima tu na wana elimu ya darasa la saba na yeye ndio mtoto wa kwanza ana wadogo zake wawili. Mwezi wa pili mwaka huu...
 8. Cantalisia

  Mhhh! types of coffee!

  A teacher in the class; Teacher;which crops do we export to europe and brings income? 1st Boy:Coffee Teacher:goog,how many types of coffee do we have in africa? The same boy:Two types Teacher;Very good,which ones are those?i want an answer from a different person,he picks an absent minded boy...
 9. Cantalisia

  Mzee Mtambuzi wa Jf amepata ajali asubuhi hii.

  Habari za asubuhi wadau,napenda kuwajulisha kuwa Baba yetu Mzee Mtambuzi amepata ajali asubuhi ya saa kumi na mbili leo ya kugongwa na gari daladala T.837 AUK na wakati akivuka barabara maeneo ya Tabata mawenzi ambapo daladala hilo lilingia kushoto gafla likiovertake daladala lingine kuwahi...
 10. Cantalisia

  Nomben ushauri tumsaidie huyu dada.

  Habari zenu wapendwa,kuna met wangu hapa oficn ana tatizo ambalo hata yeye mwenyewe haelewi ni tatizo gani,ni mtu ambaye relation zinamsumbua sana,amekuwa akitendwa mara kwa mara kwa ni mtu mwenye hasira na wivu sn,japo huwa akipenda anapenda kweli na wala huwa hatoki nje ya uhusiano anapokuwa...
 11. Cantalisia

  Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

  Habari zenu wadau,leo nimekuwa na asubuhi mbaya sana na hata itapelekea kuifanya siku yangu nzima ya leo kuwa mbaya,nikiwa njian nakuja kazini asubuhi kutokea mwenge kuja posta,nashukuru nilipata siti sio ya dirishan,gari ilikuwa imejaa sana watu wengi walikuwa wamesimama,pembeni yangu...
 12. Cantalisia

  Mjukuu noumer!

  Kuna mmama moja hajaolewa ila anaishi na ndugu zake na kajukuu kake ka miaka minne,yule mama hua anenda nako kwa mabwana zake,siku ya siku akapanga miadi na bwana ya kukutana saa mbili ucku,jion ile wakiwa wanakula chakula na watu wengine walikuwepo mjukuu kaangalia saa alafu kamuuliza bibi...
 13. Cantalisia

  Imekaaje kwa wababa/wakaka wanaojifunga vitenge/kanga wanapokuwa nyumban!

  Hari zenu wakuu, hii ishu mwenzenu inanipa tabu kidogo yani nashindwa kuzoea na kutoishangaa,kuna mbaba mtu mzima tu mwenye familia yani akirudi tu kutoka kazin au akiwa kwake mda wote anakuwa amefunga kitenge au kanga,anatoka nayo na kukaa kibarazani,huwa namshangaa sana anaweza akatoka mpaka...
 14. Cantalisia

  Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.

  Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu nikawaeleza situation nzima,kesho yake wakaonana nae wakataka kujua kwanza 7bu za yeye kunifanya vile...
 15. Cantalisia

  Ni haki kwa binti kumtia adabu mama wa bf wake?

  Habari zenu wadau,mwenzenu hili limenipa utata kidogo,kuna kaka fulan amepanga nyumba ya jiran na ninapoishi huyu jamaa ni mtoto pekee kwa baba na mama yake ila baba alishafariki,mama yake nae anaishi mtaa wa jirani na anapoishi mwanae, huyu mama siku zote alishapanga mwanae akitaka kuoa basi...
 16. Cantalisia

  Wa ukweli anapokutanishwa na kazi ya nje.......

  Habari zenu wapendwa,hiki kisa kimemtokea clacment wangu wa kike jana, yeye ana boyfriend wake wa siku nyingi tu tangu chuon, ila ana katabia kakumchanganya na vimeo vyake(kazi za nje), bf wake alisafiri kikazi tangu jtatu na alimwambia anarudi kesho jmoc, bishost kama kawa jana akapata kazi ya...
 17. Cantalisia

  Madokta hii ni kansa au..........

  Nina binamu yangu msichana anasumbuliwa na tatizo la kupasuka ulimi,tangu limeanza mpaka sasa ni miaka mitatu,tatizo lilianza baada ya kutumia vidonge vya maleria vya SP wakati ule vinatumika vikamsababishia reaction ikiwepo kuvimba mpaka mdomo,akaenda hospitali akapata matibau na kupona baada...
 18. Cantalisia

  Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

  Huyu jamaa alikuwa mpnz wangu kwa miaka 2, mwaka jana mwezi wa pili akawa amebadilika analewa sn tukawa tunagombana hatimae tukaachana mwezi wa 4 kila mtu akawa na maisha yake, yeye akapata mchumba akaoa, na mie nikawa nadate na mtu kumbe ananifatilia akafuta yule mtu wangu sikujua alimwambia...
 19. Cantalisia

  Wataalam naomba msaada njaa haiishi.

  Najitahidi kula na ninashiba but baada ya mda mchache kama lisaa tu njaa inaniuma vibaya nimeenda hospitali nikapewa dawa za minyoo na nikashauriwa niwe natumia kila baada ya miezi miwili but still nakua na njaa na sipati nafuu nakula tofauti na wanadamu wengine.
 20. Cantalisia

  Hodi jf

  Habari zenu wakuu,nimesoma sn post za humu na zimeniponya maradhi yangu,nimeamua kuhamia rasmi,naomba kuwakilisha.
Top Bottom