Search results

 1. Emmanuel180

  Bati gani nzuri za Msouth?

  Bati gani nzuri za msouth zile zenye mgongo mpana au hizi zenye migongo kama mabati ya kawaida na gharama zake je zikoje? Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 2. Emmanuel180

  Kuna tanuru la laana lazima Watanzania tupite ndio tuokolewe

  Miongo yangu miwili na kidogo nilioishi hapa duniani inatosha kabisaa kujua nani mkweli nani muongo nani mjanja mjanja nani yupo serious nani mjinga nani ana akili nani mbishi tu wa kubisha bila hoja nani ana hoja nani fata upepo nani anachambua jambo kabla ya kuliongea. Nakumbuka niliwahi...
 3. Emmanuel180

  Mafuta ya kula shi ngapi huko kwenu?

  Mafuta ya kuka shibngapi huko kwenu sisi huku mafuta litre 5 elfu 30
 4. Emmanuel180

  Kuwa makini na wanawake

  Kuna usemi wanasema ukiwashinda wanawake umeishinda Dunia, nadhani wahenga waliona mbali sana hili hata kwenye vitabu vya Mungu inaonesha wazi wanawake ndio walikua chanzo kwenye mambo mengi ku fail. Toka kipindi cha Adam na Eva nafikiria pia ndio maana Yesu hakuwahi kua na mtume mwanamke...
 5. Emmanuel180

  Ni simu gani smartphone uliwahi kuikubali kwa sababu ya chaji na vitu vingine?

  Simu gan nzuri smartphone simu janja inatunza chaji vizuri
 6. Emmanuel180

  Ogopa sana ku-date na mwanamke ambaye hana akili

  Kiufupi mimi niliwahi kujichanganya nilitoka zangu uko chuo nikarudi kitaa si unajua tena, chuo mambo ya viwalo mwana una ng'aa mbaya sasa hom kukawa na shop moja nikaachiwa niwe naiangalia pale afu kuna kazi ya mashine kama 3 za kusaga mahindi nazo zinahitaji uangaliziaana ufisadi ulikua mwingi...
 7. Emmanuel180

  Nini huwatokea wadada wa aina hii

  Hivi wale wadada ambao ukiwatongoza wanakukataa kata kata tena anaweza hata kukuaminisha siwezi kundate na mtu kama wewe maisha yangu lakini ukiwakaushia na wewe ukaendelea na harakati zako muda wanakuja kukutafta tena afu yeye anakua serious zaidi hua kinakua kimewatokea nini maana mimi hua...
 8. Emmanuel180

  Ushirikina huku Iringa Ilula Malendi ni balaa mno

  Juzi nilikua nasafiri kuelekea iringa sehemu moja wilaya ya kilolo mji mdogo wa ilula sehemu moja inaitwa malendi Ngoja nikurudiahe nyuma kidogo uchawi wa wahehe ni level ya SGR kuna mtu mmoja anaitwa kiyeyeu kila mtu ana jua historia yake, jamaa aliwahi kusimamisha umeme uliopita juu ya kaburi...
 9. Emmanuel180

  Kila nikilalia upande wa kulia kuna muda nahisi kama kuna bomu limepigwa

  Samahani mimi mwenzenu kuna shida nimeanza kuipata ilinitokea mwaka jana mara moja na mwaka huu naona imetokea kama mara mbili inaniogopesha sana. Kila nikilalia upande wa kulia kuna muda nahisi kama kuna bom limepigwa kwa nguvu paaaaah nashtuka chaaap naamka Juzi nililala nikaaanza kuhisi like...
 10. Emmanuel180

  Hivi ni sahihi kuanzisha kanisa unapohisi una upako?

  Jaman, Asalaam aleikhum wale waislam na Tumsifu yesu kristo kwa wale wakristo mimi swali langu ni je? Kama ni sahihi kuanzisha kanisa lako pale unapojihisi una upako wa roho mtakatifu? Kama ni Yes je siku ya hukumu tutahukumiwa kwa imani zetu au kwa imani zetu na madhehebu yetu piaa kumekua na...
 11. Emmanuel180

  Waafrika wenye akili ni wachache sana; tunaongozwa na kuzungukwa na wapumbavu

  Samahani kwa kichwa ambacho kina ukakasi kama utakua umeudhika naomba unywe maji ukae pembeni na glasi ya maji baridi upunguze hasira Bara hili la watu weusi ni kama lina laana vile inshort watu weusi kama wana laana vile achilia mbali bara hili kuna watu wa carribean countries kama cuba,haiti...
 12. Emmanuel180

  Kwanini bendera ya Tanzania hupandishwa na kushushwa kila jioni?

  Kwa nini bendera ya Tanzania hupandishwa na kushushwa kila siku? Je, huwa tunapata uhuru asubuhi na kuupoteza saa 12 jioni kila siku?
 13. Emmanuel180

  Unahisi nini kitakutokea kama ukiendelea kuwa single?

  Watu wengi wanaogopa sana kuishi bila mpenzi hasa wanawake sasa nataka kuuliza shida gani unaipata ukiwa uko single wewe mwanaume au mwanamke?
 14. Emmanuel180

  Body to body massage ikoje?

  Jaman nimekua nikisikia hizi aina za massage mara full body then four hands massage lakin hii Body to body ikoje na je ni lazima mfanye mapenzi baada ya massage au mapenzi ni sehemu ya hio masaage
 15. Emmanuel180

  Kwanini tunasema mwanamke anaekuomba hela hakupendi

  Swali!! je, mwanamke anaekuomba hela au pesa anakupenda au hakupendi, jibu linaweza kua Yes au No kutokana na mazingira Muktadha wa mahali husika Mimi nikiwa kama mchunguzi wa saikolojia huru. Bwana Emmanuel naweza kusema. Ni wazi pesa ndio kila kitu kwa asilimia kubwa ya maisha ya mwanaadamu...
 16. Emmanuel180

  Kwanini Watanzania Mikoa na Makabila mengine wasiige utaratibu wa Wachagga

  Katika maisha yangu sijawahi kuona kabila ambalo lina watu professional na watafutaji kama wachagga wakifuatiwa na wapare nimezunguka saaaaana nchi hiii kaskazini kusini mashariki na magharibi kanda za kigoma, sijaona kabila lina watu wana akili ya maisha kama chagga People Nimekaa uchaggan...
 17. Emmanuel180

  Niliponusurika kupata UKIMWI mara tatu

  Stori yangu inaanzia mbali sana kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho yanawaka mithiri ya theluji ya mlima Kilimanjaro miaka hio, 60 nyuma kabla ya mabadiliko ya hali ya...
 18. Emmanuel180

  Nilipo nusurika kupata UKIMWI mara Tatu

  Stori yangu inaanz mbali sanaaaa kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho yanawaka mithiri ya theluji ya mlima kilimanjaro miaka hiooo, 60 nyuma kabla ya mabadiliko ya...
 19. Emmanuel180

  Hawa Wastaafu, pesa za kiinua mgongo huwa wanapeleka wapi?

  Binafsi hua najiuliza sana yawezekana kutegemwa kuajiliwa au kufanya kazi za kuajiriwa hua zinakua na madhara makubwa sana Unakuta asilimia kubwa money management strategies hawana. Juzi hapa kuna mwalimu alipandishwa kua mratibu wa ELIMU sasa baada ya kustaafu akapewa kama M90+ hivi ajabu...
 20. Emmanuel180

  Hawa waliostaafu , pesa za kiinua mgongo huwa wanapeleka waapi?

  Binafsi hua najiuliza sana yawezekana kutegemwa kuajiliwa au kufanya kazi za kuajiriwa hua zinakua na madhara makubwa sana. Unakuta asilimia kubwa money management strategies hawana. Juzi hapa kuna mwalimu alipandishwa kua mratibu wa ELIMU sasa baada ya kustaafu akapewa kama M90+ hivi ajabu...
Top Bottom