Search results

 1. T

  Kiwanja kinauzwa mivumoni,kinondoni dar es salaam

  Kipo center kabisa mita 50 kutoka barabara kuu, kinafaa kwa biashara na makazi, ukubwa mita 25 kwa 40,umeme upo huitaji hata kuweka nguzo, bei milioni 25 mazungumzo yapo. 0713078036, 0712485586
 2. T

  Nyumba ya inapangishwa mbezi makonde.

  Nyumba inapatkana mbezi makonde, ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo cha ndan(public toilet), iko kwenye shared compound, car parking kubwa. Kodi kwa mwezi ni Tsh 200,000 kwa miez 12. Anaehitaj ani pm kwa mwongozo zaidi.
 3. T

  Subaru forester inauzwa

  Bandugu nauza mkoko wangu Subaru Forester ya mwaka 2001, colour silver, cc 2000, ina turbo, mileage 126000. Bei ya kuuzia 10m pungufu huongei. Picha nimeshindwa kuziweka. Anayehitaji aniPM tuarrange deal.
 4. T

  Wanahitajika wabia wa kuchimba madini Geita

  Wadau kuna eneo linalomilikiwa na mtu binafsi liko Ngamatatate Geita Mkoani Mwanza ambalo limegundulika kuwa na madini ya dhahabu na hii ni kutokana na utafiti uliofanyika katika kipindi cha nyuma katika eneo hilo. Eneo hili linapakana kwa karibu kabisa na mgodi wa GGM( Geita Gold Mine). Mmiliki...
 5. T

  Kiwanja Kinauzwa

  Wadau Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa mita 20 kwa 30. Kiko maeneo ya Moshi bar kwa mkolemba jirani na Kanyigo bar. Umeme na maji yanapatikana hapo hapo. Bei 9m. Real buyers mni PM.
 6. T

  Toyota spacio

  Wadau nahitaji toyota spacio ya mwaka 2002 na kuendelea. Km zisizozd 100000. Bajet yangu milion 7 tu.
 7. T

  Natafuta nyumba ya kupanga - Dar

  Wadau mwenzenu nimepewa notice natakiwa nimpishe mwenye mali yake so right now am looking nyumba ya kupanga yenye vyumba 2 vya kulala, sebule, choo na jiko ndani kwa ndani na pia iwe na fence na parking ya gari 1. Budget yangu ni 200,000 kwa mwezi. Maeneo kuanzia Mbezi Africana kuja hadi...
 8. T

  Yard ya magari inatakiwa.

  Wadau inahitajika Yard ya kuuzia magari( car show room) yenye uwezo wa kuhifadhi magari yasiyopungua 200. Pia iwe pembeni ya main roads ili bidhaa zionekane kiurahisi kwa watu wanaotumia barabara hiyo. Wenye kujua sehemu hiyo kama nilivyoeleza naombeni msaada wenu ikiwa ni pamoja na mchango wa...
Top Bottom