Search results

 1. B

  Mtu anapopoteza fahamu anakuwa wapi?

  Habar wanajukwaa. Naomba kufahamishwa Mtu akiwa kapoteza fahamu yaani kazirai ama kazimia. Je, muda huo anavyokuwa katika hali hiyo fahamu zake huwa zimeenda(zimepotelea) wapi? Shukrani.
 2. B

  Msaada wa kupata matokeo ya darasa la saba ya mwaka 2008

  Habari wakuu, Nimezunguka sana mitandaoni kutafuta matokeo ya darasa la saba mwaka 2008 lakini sijayaona Au website na necta ilikuwa bado haijaanzishwa? Tafadhali wakuu naomba msaada wenu. Natanguliza shukrani.
 3. B

  Iwafikie wakali wote wa hizi kazi(keyboard shortcut)

  Habari wakuu. Tafadhali naomba kujuzwa namna ya Ku buruza video,movie au audio iende kwenye vlc Ili icheze Kwa kutumia "keyboard shortcut key" pekee. Natanguliza shukrani.
 4. B

  Tafadhali wakuu hii chemsha bongo sina elimu nayo naomba jibu tafadhali. Wakuu.

  Ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho MSIKITINI NA KANISANI na vile vile jina la mji hilo ni jina la msanii wa BONGO MOVIE. Tafadhali wakuu wangu naomba mnisaidie. Shukrani wakuu.
Top Bottom