Search results

 1. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Salaam, Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea...
 2. Moderator

  Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

  Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
 3. Moderator

  TANZIA: Maxence Melo amefiwa na baba yake Mzazi

  Maxence Melo (Mkurugenzi wa Jamii Media na Mwanzilishi wa JamiiForums) amefiwa na baba yake mzazi usiku wa kuamkia leo Kijijini kwao Bukoba. Taratibu za msiba zinafanywa na zitaletwa hapa mara baada ya kukamilika. Mazishi yatafanyika Kijijini kwao Kantare, Bukoba. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya...
 4. Moderator

  Adam Nditi, Rising Star!

  YouTube - BBC South Today News
 5. Moderator

  Unsubscribing from Google Groups without a gmail account

  Wapo watu wengi wanakuwa wanalalamika kuhusiana na email zao kuunganishwa bila hiari zao kuingia kwenye hii Bidii Afrika Google Group ya rafiki zetu toka Kenya. The way forward to get your email account away from this group is simply as follows:Send a blank email from the account subscribed to...
 6. Moderator

  JK in action: Mikakati 2008/09

  Proceed by downloading the attached doc
 7. Moderator

  50 People Who Are Screwing Up Tanzania

  Baada ya Invisible kuweka kitabu cha "100 People Who Are Screwing Up America" nimekuja kugundua kuwa watu wengi walitaka tuwe na list ya walau watu 50 wanaoivuruga nchi. Tukiweza kuweka list itapendeza kuwajua wabaya wa taifa letu (walau 50). Namaanisha wale wanaolifanya taifa letu liendelee...
Top Bottom