Search results

  1. YinYang

    Uteuzi: Papa Fransisko amteua Padre Lazarus Vitalis Msimbe kuwa Askofu wa Jimbo la Morogoro

    Padre Lazarus Vitalis Msimbe ameteuliwa kuwa Askofu Mpya wa Jimbo katoliki Morogoro. Uteuzi huo umefanywa na Papa Fransisko na kutolewa taarifa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Mei 31, 2021 Lazarus Msimbe alizaliwa Desemba 27, 1963 Homboza, Morogoro na alipata upadrisho Juni 21...
Top Bottom