Search results

 1. JosephMagige

  Msaada: ugonjwa wa mshipa wa ngiri

  Unaweza kuikumbuka hiyo dawa mkuu
 2. JosephMagige

  Msaada: ugonjwa wa mshipa wa ngiri

  Habari zenu wana-Jf Ningependa kupata msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya asili inayoweza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ngiri bila ya upasuaji
 3. JosephMagige

  Msaada kuhusu course ya secretarial studies!

  Matokeo yangu Nina div 3 point 23 Civ-C Hist-D Geo-D Kisw-B Eng-C Chem-D Bio-C Lit in english- D B/maths F
 4. JosephMagige

  Msaada kuhusu course ya secretarial studies!

  Habari wana-JF nimehitimu kidato cha 4 mwaka jana na nimepangiwa course ya secretarial studies ningependa kufahamishwa kwa wanaoielewa zaidi fursa zake katika kuajiriwa na kujiajiri n.k ntashukuru nikipata msaada wenu wa mawazo na ushauri wowote kwangu, ahsanteni!
Top Bottom