Search results

 1. chichimizi

  Line ya Chuo inahitajika (voda)

  Kama kuna mtaalamu wa kuunganisha line ya voda iwe ya Chuo ( sihitaji mpya) Tuwasiliane......pm
 2. chichimizi

  Line ya chuo inahitajika

  Kama kuna mtaalamu wa kuunganisha line ya voda iwe ya Chuo ( sihitaji mpya) Tuwasiliane......pm
 3. chichimizi

  Msaada line ya Chuo (voda)

  Kama kuna mtaalamu wa kuunganisha line ya voda iwe ya Chuo ( sihitaji mpya) Tuwasiliane......pm
 4. chichimizi

  Kama unatatizo la kukosa mtoto (mimba hazishiki) pitia hapa.

  Habarini wakuu... Tatizo la kukosa mtoto na kutoshika kwa mimba limekua sugu miongoni mwa kina Dada wengi ( haswa wale waliowahi kutoa mimba ....ingawa si wote) Kama kuna mtu mwenye tatizo hili please nicheck PM. NB. Sitafuti mchumba wala mke mm nimeoa tayari tena kwa ndoa halali. Pia sifanyi...
 5. chichimizi

  Wanadada mnaotafuta wanaume JF mnachokitafuta mtakipata

  Habari za usiku wakuu...poleni na majukumu ya mchana kutwa. Nielekee direct kwenye hoja yangu! Nimewahi kuona ama kupitia nyuzi nyingi za wadada wanaodai kutafuta waume wa kuwaoa ( wengi wao wakiwa ni single mother) . Dada zangu muwe makini sana ktk kutafuta kwenu huyo mume vinginevyo...
 6. chichimizi

  Heshima kwako waziri wa mambo ya ndani

  “Yeye afanye tu. Kama kuna watakaoumia, ataomba radhi, watamsamehe. Wewe ulijua mbwa wa polisi anaweza kwenda kulinda kwa mtu?” Augustine Mrema.
 7. chichimizi

  Nimefanikiwa kuacha Pombe lakini nimehamia kwenye kubet online lakini bado mke wangu analalamika

  Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza imekua kero ya mda mrefu kwa baby (mke wangu) juu ya matumizi ya pombe kwangu aisee hadi ilikua kero sasa miezi miwili iliyopita mshikaji wangu ambaye ni mfanyakazi mwenzangu akanifundisha kubet aiseee akanichambulia timu zangu. Basi kidume nikatia stake 40k...
 8. chichimizi

  Suluhu ya kudumu ktk sector ya elimu nchini

  TUTAFUTE SULUHU YA KUDUMU KWA TATIZO LA WAALIMU NCHINI. Kashasha #Hadi kufikia mwaka 2014 tulikuwa na shule za msingi Tanzania 16,343.Shule hizi kwa pamoja zilikuwa na idadi ya wanafunzi zaidi ya milioni 8 hadi kufikia 2014. #Baada ya Elimu ya msingi kuwa bure udahili kwa mwaka jana...
 9. chichimizi

  Mrejesho kuhusu mke wangu week la 42, Am a new dady in town

  Shukrani sana ziwaendee wakuu humu jamvini. Mwishoni mwa wiki iliyopita nilileta Uzi wangu humu kuhusu mke kuchelewa kujifungua hadi wiki la 41 mwishoni....nilipata ushauri safi na ulionifanya moyo wangu kutulia kutoka kwa manguli wa mambo ya uzazi kupitia humu...
 10. chichimizi

  Msaada wadau wiki la 41 bado hajajifungua

  Kama heading inavyojieleza hapo juu.... Habarini wadau jamani mke wangu anaujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake nikurukaruka tu tumboni kwa mama yake. Je hapa kuna shida gani? Ushauri pls haina haja ya matusi
 11. chichimizi

  Wiki ya 41 sasa mtoto hajazaliwa

  Habarini wadau Mke wangu ana ujauzito na tarehe ya matarajio ilikua ni tarehe 1 lakini naona siku zinaenda tu mtoto wangu hazaliwi kazi yake ni kurukaruka tu tumboni kwa mama yake. Je watalamu hapa shida iko wapi?
 12. chichimizi

  Tom boy

  Kama wewe ni Tom boy njoo PM
 13. chichimizi

  Msaada wa kutambua jinsia kwa kutumia ultrasound

  Pls wadau naomba mwenye uelewa kuhusu utambuzi wa jinsia kwakutumia ultrasound
 14. chichimizi

  Natafuta mdada wa kazi za ndani

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Natafuta mfanyakazi wa NDANI pls.... Masharti 1. Awe na umri usiopungua miaka 17 na usiozidi 19 au 20. 2. Asiwe ametoka kumaliza darasa la saba mwaka huu 3.Asiwe anatoka mjini na awe tayari kutumia nauli yake mpaka kufika nilipo. Mshahara ni...
 15. chichimizi

  CWT mmekosa nguvu ya kuwatetea walimu

  CWT hawana uwezo wa kutetea walimu kamwe *Na commred Chichimizi* CWT.....ni zao la muajiri mfumo wa trade unions Tanzania ulianzia serikalini ndo maana hata kudai uhuru ulishiriki hivyo cwt ni tawi la muajiri tu kinachofanyika ni unafiki wa kawaida tu wanajua wanachokifanya, angalio nao...
 16. chichimizi

  CWT hamna uwezo wa kutetea walimu

  *CWT hawana uwezo wa kutetea walimu kamwe* *Na commred Chichimizi* CWT.....ni zao la muajiri mfumo wa trade unions Tanzania ulianzia serikalini ndo maana hata kudai uhuru ulishiriki hivyo cwt ni tawi la muajiri tu kinachofanyika ni unafiki wa kawaida tu wanajua wanachokifanya, angalio nao...
 17. chichimizi

  Huu ndio uliokua Uzi wangu kabla ya kuajiriwa.2015

  Hiii ndio ilikua post yangu kabla ya kupangiwa ajira yangu mwaka 2015. "My name is Sir Chichi, I will be with you in English and History. I need your cooperation, thenk yuu pwaa pwaaaaa." (makofi) Najua ndo nakoelekea huko! usinishangae!! sijapenda kuanza mazoezi ya kujitambulisha ila ni kwa...
 18. chichimizi

  Naomba muongozo namna ya kupima kiwanja ambacho tayari kimeshajengwa

  Habari wadau?? Kama heading inavyojieleza hapo juu najitaji msaada kwa anayefahamu hatua za kufuata ili mipime kiwanja changu ambacho tayari nimeshaweka kamjengo. Eneo ni kongowe. 20×20. Muongozo tafazali
 19. chichimizi

  Kubadilishana kituo

  Njoo Njombe Mji aje 1.Ubungo 2.kigamboni 3.chalinze 4.kibaha 5.Temeke Idara sec.... PM inahusika commred Chichimizi
 20. chichimizi

  Zingatia haya

  Kama hujiwezi basi achana na kudate na mwanamke maskini. Ewe kijana msaka tonge kama unandoto za kuwa tajiri basi zingatia hili. Unaweza ukajikuta unatumia laki 4 kwa matumizi yake na ndugu zake kwa mwezi ile hali ww unaingiza laki 6 kwa mwezi..... Najua mtasema sio wote lakini sheria ya...
Top Bottom