Search results

 1. LE GAGNANT

  Kwanini nchi zilizotawaliwa na Wazungu ni masikini sana?

  Kwa sasa India ina uchumi mzuri kuzipita baadhi ya nchi za ulaya magharibi. Na sasa imeweza kurusha satellite anga za mbali.
 2. LE GAGNANT

  It' Official! Volkswagen is the world's largest car maker!

  Hapana. DAF ni kampuni ya Uholanzi. DAF Trucks NV is a Dutch truck manufacturing company and a division of Paccar. Its headquarters and main plant are in Eindhoven the Netherlands.
 3. LE GAGNANT

  Kanali Lubinga amrithi Migiro Ukatibu wa NEC CCM

  Kwani huyu kastaafu?
 4. LE GAGNANT

  Magufuli, unayajua ya Hazina na Msajili wake mpya?

  Du! Kumbe mkubwa wa nchi aliusoma na kuufanyia kazi huu uzi.
 5. LE GAGNANT

  Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

  AK 47 haziruhusiwi kumilikishwa mtu binafsi. Ni Wanajeshi, Polisi na Askari wengine wa Dola wanatumia. Mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki bunduki kubwa jamii ya Rifle na Bastola.
 6. LE GAGNANT

  Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

  Mabere Makubi, Simon Kabendera, Audax Mutiganzi.
 7. LE GAGNANT

  Kwanini wanajeshi hawakatwi Kodi?

  Wanakatwa kodi kwenye mishahara yao. Ila posho ya chakula haikatwi.
 8. LE GAGNANT

  Kwanini Kinyesi cha wanyama hutumika kama Mbolea wakati binadamu ndio anayekula vizuri zaidi?

  Miaka ya nyuma gereza la Morogoro walikuwa wanastawisha mchicha mnono kwa kutumia kinyesi cha wafungwa. Tena ilikuwa karibu na barabara kuuu iendayo town centre.
 9. LE GAGNANT

  Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

  Daslam ikinyesha masaa mawili tu magari hayatembei.
 10. LE GAGNANT

  Mkuu wa Mkoa wa Tanga alazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili

  Kweli. Huo ndio mwelekeo.
 11. LE GAGNANT

  Kilichonikuta na mi Bombardier yenu sipandi tena!!!

  Ah! hiyo kweli ni Bomba-Dear!
 12. LE GAGNANT

  Rais Magufuli mbona kapunguza Spidi?

  Majipu yameisha au yamepona yenyewe.
 13. LE GAGNANT

  Maneno ya Inocent Mugy kuhusu simu bandia zilizozimwa

  Kama imeshindwa kuzima simu feki basi hata mtambo wenyewe ni feki.
Top Bottom