Search results

 1. Sizinga

  Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

  Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
 2. Sizinga

  Hii ndiyo tofauti gari ya Mzungu na Mjapani

  The picture tells 1000 words...
 3. Sizinga

  Back Camera

  Habari Wakuu, nataka niweke back camera kwenye ndinga, naomba kujua fundi wanapatikana wapi kwa Dar es Salaam , na bei ya kuinstall hiyo kitu ni kiasi gani nijipange.
 4. Sizinga

  Ukomo wa Toyota Crown Sedan

  Habari kutoka mtandao wa chunichi.co.jp unaeleza kuwa gari za Sedan Toyota Crown zimefikia ukomo wa utengenezaji wake baada ya kutoa updated version ya mwaka 2021. Sababu kubwa ya kufikia ukomo wa magari haya pendwa na yenye 'high perfomance and comfortability' ni mauzo madogo katika soko la...
 5. Sizinga

  EPL Golden boot 2018/19

  Niwape pongezi za ukweli Manchester City kwa kutwaa ubingwa season hii 18/19. Hakika ushindani umekuwa mkubwa sana, Liverpool akomae na CL huenda akajipoza kule. Back to mada siku ya mwisho wa ligi naona leo wameongezeka wafungaji kutoka club 2 na kumfikia MO Salah; 1. Mohamed Salah (LIV) 22...
 6. Sizinga

  Engine Oil Seal kupasuka

  Nina gari ya Toyota Corolla 111 INA tabia ya kupasua hizo oil seal,hii ni Mara ya 3 inapasuka na kuvuja oil yote sema uzuri naistukia maana taa ya check engine inawaka nyekundu nikipaki nakufungua boneti ni balaa. Pia imeanza kutoa moshi mweupe mwingi kidogo. Sasa hivi kuipa route za mbali...
 7. Sizinga

  Kachinjwa Mchana Kweupe ~ Moshi Bar

  Aisee watu hawana huruma, kuna jamaa anayedaiwa mwizi wa bodaboda kachinjwa Mchana huu pale Moshi Bar karibu Mazizini Dsm. Ni kwamba jamaa alikamatwa maeneo ya Kigogo na madereva bodaboda, akapakizwa pikipiki watu 3 ye kawekwa katikati kaambiwa aelezee pikipiki alizoiba kaziweka wapi...
 8. Sizinga

  Anayemjua Fundi Mzuri wa Suti-Dar

  Habarini wadau. Nahitaji kushonesha suti za Harusi, nipo Dar kwa yeyote anayemjua Fundi mzuri aniwekee namba zake hapa tafadhali. Please aliye na reasonable price. Thanks
 9. Sizinga

  Chumba cha Kupanga Dodoma

  Nahitaji chumba cha kupanga Dodoma mjini kwa miezi mitatu tu, kikiwa na toilet ndani itakuwa advantage!! Jinsia ya Kiume.
 10. Sizinga

  Wanafunzi wafunga Njia Nyerere Road

  Ni maandamano makubwa ya wanafunzi wa sekondari wameanzia maeneo ya Airport, mabango yao yana ujumbe kwamba wameonewa,kuna mwekezaji kajenga ukuta mkubwa karibu na skuli yao kwahiyo ameblock njia. Sijajua ni shule gani ila wanaandamana kwenda kwa Mkurugenzi Manispaa ya Ilala.
 11. Sizinga

  Ajali daraja la Wami: Basi la Simba mtoto na lori yagongana uso kwa uso

  Nimepigiwa simu na jamaa angu anafanya kazi Wami kadai kuna ajali imetokea, watu ni wengi sana na mtandao umezidiwa,kashindwa kunibrief vizuri, Bus la Simba mtoto na Lori zimegongana uso kwa uso, dereva wa lori amefariki na majeruhi kadhaa ==== Updates ===== Basi la Simba mtoto na Lori...
 12. Sizinga

  Kama Ligi Kuu ya Uingereza ingekuwa darasa

  Nimeikuta kuleee..Nikasema ngoja niitupie wadau waione na huku!!! KAMA LIGI KUU YA UINGEREZA INGEKUWA DARASA LA SHULE YA SEKONDARI.... 1.Liverpool ni mwanafunzi ane jisifia na kuona ana akili kwa kuwa babu yake alifaulu kwa division one japo yeye anapata zero. 2.Manchester city ni mwanafunzi...
 13. Sizinga

  Matumizi ya mbegu za mbarika (mnyonyo) kiafya

  Mnyonyo ni mbegu zinazotokana na mti wa Mbarika. Sasa mwenye kujua zaidi atuhabarishe, manake hizi mbegu mi nasikia ni zaidi ya dawa!! Kwa niliyoyasikia hasa toka kwa wazee wa zamani ni haya, naomba kujua ufafanuzi kwa mwenye kufahamu zaidi manake inaweza kusaidia wengi: - Kwanza inatumika...
 14. Sizinga

  Msaada-Nimekamata Mwizi

  Last month nimepoteza simu-Sumsung, sasa niliifnyia tracking system. Leo kitu kimejibu nimetumiwa namba ya simu anayotumia na IMEI namba yake.(Nilivyosearch nikaona na jina lake anaitwa SALEHE CHUWA anatumia mtandao wa tigo) Baada ya kufikiri way to do nikaamua kumpigia simu baada ya...
 15. Sizinga

  Aibu, Hii kitu inapatikana Arusha tu

  Na maisha yanasonga kama kawa...near A to Z....
 16. Sizinga

  Ajali-Fransis Cheka

  Nipo hapa stand round about ya Arusha karibu na huu uwanja wa Shiekh Abeid...kuna bonge la ajali limetokea. Subaru nyekundu ya dem flan kavuka bila kuangalia taa kakutana na gari ingine. Zimechukuana kwa bahati mbaya wapita njia wa pembeni alikuwa Cheka bondia na kocha wake, wamesombwa vibaya na...
 17. Sizinga

  Jide anazidi kukata mzizi wa Fitna-Cloudz Media

  Jide aliamua kutoa wosia wake leo kupitia blog yake, uusome hapa: Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo mengi, magumu na mepesi Na bado naendelea ku experience mambo magumu zaidi kadri ninavyozidi kuwa...
 18. Sizinga

  Huu ni Ugonjwa(wadada) ama?

  Naomba #MODS msiiweke hii srdi kwenye JF Doctor, iache hapahapa ipate michango ya wadada,wakaka na madaktari. Nina rafiki yangu wa kike yaani anateseka sana akiaanza kuumwa. Sasa tangu anisumulie story yake nimejaribu kumpa ushauri lakini ningependa kujua hii ni kitu gani haswa. Infact huyu...
 19. Sizinga

  Ukweli wa Pesa Upo Wapi-"Nani Mtani JEMBE"

  Jamani mi napata Kizungumkuti kujua hili Fumbo..."Nime-google" sijaambulia kitu!! Reference za watu hapa Jamvini ni "Head-ache"..kipi ni kipi? Nani kapata pesa ndefu kati ya Simba mshindi au Yangu mzibua vizibo????????????? Kuna mchambuzi mmoja alifika mbali zaidi akasema...Nanukuu..."...
 20. Sizinga

  Hivi Arusha tatizo ni nini?

  Juzi jumapili nimeshuhudia kitu cha ajabu sana!! Huku maeneo ya Sombetini-Ngusero Juzi Jumapili kulikuwa busy sana na mambo ya Ndoa-Sherehe!! Mi nilikuwa town nimeenda zangu kuangalia Mpira, nikarudi kama mida ya saa 3 usiku hivi, sasa wakati tunarudi kwa daladala pale maeneo ya sombetini kuna...
Top Bottom