Search results

 1. Lasthope

  RAI - Nguvu ya Hoja?

  Anzisheni tu mgomo wa kutonunua RAI, kwisha habari yeke
 2. Lasthope

  Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

  Mi sina uhakika na chochote, i believe everything is possible as long as i am still alive though i pray that i wont cheat kwenye ndoa yangu. Pia hebu tuangalie angle ingine, naona maoni ya baadhi ya watu reason yao kubwa ya kutocheat ni ukimwi, vipi kama ukimwi usingekuwepo, ingekuwa tofauti...
 3. Lasthope

  Big Brother Africa III

  And to imagine she did all that not for love but for the money and yet she is the first one to go and face the society, ooh, i pity her
 4. Lasthope

  Tendwa kumchukulia hatua Mtikila

  siasa za bongo, yani zinachoosha mi nafikiri hakuna hata haja ya kupanga msitari mrefu siku nzima eti napiga kura ili kuwasaidia wezi wakaibe, ni mtazamo tu, hii bongo ustaarabu bado sana.
 5. Lasthope

  Don't get married

  very good, at least the son is free to marry now huh
 6. Lasthope

  WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

  Si mi nakwambia the whole issue imekaa kimipasho mipasho tu, i duno wots wrong with us
 7. Lasthope

  Tumuombee apone na kurudi salama nyumbani!

  First lady, taratibu hata kama kaenda kubadilisha damu whats the big deal? halafu you dont have any right ya kujua anaumwa nini, ugonjwa ni private matter ya mgonjwa na daktari na ikibi sana basi familia. sas wewe unataka kujua ili iweje? we muombee tu apone
 8. Lasthope

  WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

  Huyu sofia simba mbona ana tabia za kishangingi hivi< mi nakuabaliana yeye ndo ajiuzulu coz alitakiwa awe na heshima japo kidogo kutokana na nafasi aliyonayo ila tabia za kitaarab taarab, uswahili bin mtupu ndo anaonyesha. Ndo maana wanawake tunadharaulika kila siku na kuonekana tuna upeo mdogo...
 9. Lasthope

  vipigo CCM! Jamani vipi?

  Jamani ndani ya hiyo UWT kuna majungu ya kufa mtu. Hawa wamama msiwaone wamezeeka hivyo, wana matatizo hawa, kweli vyeo hivi vinawafanya wawe kama wendawazimu.
 10. Lasthope

  Sheria ya ajira kwa wazalendo inasemaje?

  Hao uhamiaji unakosema tukatoe taarifa ndo wanakopewa work permit hata office assistants sasa huoni kama ntakuwa napoeza muda wangu? Kama wanashindwa kusema no in justification kwamba tanzania hatujachoka kiasi cha kushindwa kuprovide office assistant, huoni nchi ina ugonjwa mkubwa sana?
 11. Lasthope

  Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

  Ni kada wa ccm naye huyo, so waswahili wanasema naye ni mule mule
 12. Lasthope

  Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

  We masatu tuambie basi muungwana ana watoto wangapi wa nje? lowasa je, karamagi, na.............
 13. Lasthope

  Mtoto kuuma/ kusaga meno usiku

  I just love this forum
 14. Lasthope

  Sheria ya ajira kwa wazalendo inasemaje?

  Jamani hii ishu ni serious sana, tena nakushukuru sana we uliye anzisha mada hii, yaani napofanya kazi mimi robo tatu ya wafanyakazi wote ni wakenya.wabongo ni macleaners na housekeepers kasoro wachache wetu ambao hatufiki hata kumi. yaani hadi ofisi assistant wanawatoa kenya, working permit za...
 15. Lasthope

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Du hii nchi inakoelekea siko kabisa. ni kama kichwa cha mwendawazimu. Ila kwa mtaji huu na mtikila kwenda kuropoka haya huko tarime kwenye kampeni jimbo la tarime chadema walisahau, hii inatisha sana, yani imekaa vibaya.
 16. Lasthope

  Baba na mwana..!

  hapo ni kwao au vipi? mbona mdingi yuko shwari tu, pamba hizo zinamfaa tu
 17. Lasthope

  Salma kikwete na mafuta ya Papa!

  Jamani naye si mtu tu kama walivyo wenfgine, naye ana belief zake kama binadamu mwingine yeyote, lakini je ndo kusema alikosa mtu wa kumfatia hayo mafuta hata aende mwenyewe usiku mkubwa au ni uzushi tu?
 18. Lasthope

  Umezaliwa lini

  mh, am september in love with another sturbon type.......january, kazi ipo hapa naima Ukiweka two sturbon people, you know what disaster that marriage will be
 19. Lasthope

  Swali gumu hili hapa!

  Kwa kuongezea tu hapo kwa Haika, Bikira siku hizi zipo hata za artificial, sasa chaguo ni lake.
Top Bottom