Search results

 1. BOFREE

  Nahitaji nyumba ya kupanga Dar es Salaam

  Nahitaji chumba na sebule ikiwezekana jiko na choo ndani maeneo karibu na morogoro road kuanzia Magomen mpaka kimara nyumba iwe nzuri ikiwezekana kuwe na geti sihitaji dalali madalali wanachelewesha biashara nyumba kodi laki na nusu anakwambia laki mbili na hamsini
 2. BOFREE

  Yupi Wakili wako bora kuanzia miaka ya 2000

  Mimi naanza na Peter Kibatala huyu kwangu ni Wakili bora kwa muda huu kulingana na mambo anayofanya Wengine tiririkeni
 3. BOFREE

  Nataka kufanya biashara ya vinywaji, naomba msaada wa mawazo

  Wakuu nataka kufanya biashara ya vinywaji na kuuza jumla nina mtaji mdogo siwezi kuwa distributor kwa kufuata bidhaa kiwandani hivyo natafuta muuzaji wa kuniuzia jumla na mimi niweze kuuza jumla kwa mkoa wa Dar es salaam. Au kama kuna mtu anafahamu sehemu au namna ya kununua kwa jumla kreti...
 4. BOFREE

  Mwenye mamlaka ya kukamata tax bubu ni latra au halmashauri?

  vibali vya tax hailing(uber) na private tax vinatolewa na LATRA zamani sumatra na kama haujakata ivyo vibali ndio unakua tax bubu yaana hauna vibali sasa iweje kazi ya latra wakamate halmashauri wakati halmashauri hawana mamlaka ya kumpa mtu kibali cha tax halafu eti faini 320,000 inazidi hadi...
 5. BOFREE

  Dereva wa uber au bolt anahitajika

  Anaitajika dereva mzoefu wa kuendesha magali ya mitandaoni yaani Uber na Bolt gari ipo inausajili kila kitu kiko sawa lesen ya latra (raid hailing) , card ya gari ni biashara, bima ni ya biashara gari ina CC 1490 Vigezo na masharti 1. Uwe mkazi wa karibu na maeneo haya manzese, magomeni ...
 6. BOFREE

  Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Kibangu, Dar es Salaam

  kiwanja kipo maeneo ya ubungo kibangu karibu na kwa novo size ya kiwanja ni nusu heka bei ya kiwanja ni milion 35 kiwanja kina hati moja ivyo unakatiwa nusu heka hlf hati inafuatiliwa ya kwako tu namba za simu 0710094045
 7. BOFREE

  Wapi naweza fanya diagonisis ya Gari?

  wakuu naomba msaada wa kuweza kujua garage zipi ziafanya diagonisis ya engine ya gari?
 8. BOFREE

  Wadau msaada gari inashida

  wakuu naomba msaada wa kujua tatizo ninagari yangu Toyota sienta inakula mafuta hlf bahati mbaya fuel gauge kwenye dashboard ukiweka mafuta haipandi wala kushuka inaonyeshaa bar moja tu hata uweke mafuta vipi bahati mbaya inasababisha gari kuishiwa mafuta bila kujua.
 9. BOFREE

  Haya ni madini gani

  Kwa anaeweza kufaham haya ni madini au mawe yapi naomba ufafanuzi
 10. BOFREE

  Laini za uwakala zinauzwa

  Nauza laini za uwakala zinafanya kazi vizuri na zimesajiliwa kwa alama za vidole, ukitaka kubadilisha zitumie majina yako tunabadilisha sharti uwe na TIN NAMBA pamoja na LESENI ya biashara pia utakua na mawasiliano na mimi wakati wa kuanza kuzitumia ili kama kunachangamoto utakayokutana nayo...
 11. BOFREE

  CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

  CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke yake njia hii si sahihi kwasababu zifuatazo: 1. Simu ya muhusika anaeitwa kwenye usaili ikiwa...
 12. BOFREE

  Bugando hospital siwaelewi

  Jamani ndugu zangu wa jamiiforum mimi nina mgonjwa hospitali ya Bugando anatakiwa afanyiwe uchunguzi na mashine ya CT Scan. Cha kushangaza nimeambiwa kuwa mashine ya CT Scan imeharibika ina miezi mingi haifanyi kazi. Hivi hospitali kubwa tena ya rufaa wanashindwa kununua hiyo mashine?, na cha...
 13. BOFREE

  Naomba msaada wa kufungua Ipad Iliyo ji-lock

  Nina IPAD os 711 niliinunua kwenye mnada kulikua na vitu vingi vinapigwa mnada ila tatizo ni kwamba mwanzoni nilikua naitumia vizuri. Naona mwenye nayo alitoa taarifa kwenye kampuni ya APPLE wakaifunga nikiifungua inaitaji email na pasword ili niweze kingia ndani nimeulizia wananiambia sijue...
 14. BOFREE

  Naomba ushauri

  tafathali naomba ushauri. Nataka nisome Open university degree ya education kwa kua sina uwezo wa kusoma vyuo vingine kwani sina pesa za kutosha lakini hofu niliyo nayo ni ya ajira ,nataka nijue kama wanaomaliza open university huwa wanapatiwa ajira na wizara ya elimu mojakwamoja kama wahitim wa...
 15. BOFREE

  majina ya walio chaguliwa kujiunga jordan university college haya hapa

  wana jf kwa yeyote aliye chaguliwa jordan university college kwa kuhakiki jina lake afungue attachment hiyo hapo
Top Bottom