Search results

 1. MgonjwaUkimwi

  Ukitega mtego usikae hapo utanaswa: fundisho

  Ile nchi ikaona njia ya kumtega jasusi wake wa zamani ni kumtungia tuhuma mbalimbali za uhaini ili azikatae na kujitetea ili impe jukumu la kuilinda dhidi ya wabaya wa bwana mkubwa. Wakatunga kwamba alitaka kupindua nchi kwa jeshi, jasusi akakaa kimya, wakatunga alikwenda kukodi jeshi nchi ya...
 2. MgonjwaUkimwi

  Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

  Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
 3. MgonjwaUkimwi

  Confusious Political Crossroad Ahead

  Everywhere in the world people tend to get tired of being under the same administration forever even if the administration delivers most of their expectations. This comes from the fact that human beings are on average curious of change irrespective of the level of uncertainty around the...
 4. MgonjwaUkimwi

  Mmawiya na majina ya ajabu kusini mwa Tz

  Afisa uhamiaji akiandikisha majina ya wamawiya mpakani mwa Mtwara na Mozambique: Afisa: Karibu Tz, niambie jina lake kamili ili nikuandikishe na kukupa ruhusa ya kuvuka mpaka kuja Tz Mmawiya: Andika Nikutoroke Afisa: polisi kamata huyu mtu rudisha msumbiji. Mmawiya: Afande nimesema...
 5. MgonjwaUkimwi

  Ili Tusonge mbele Tunahitaji Mahakama ya Wanasiasa

  Katika nchi inayotawaliwa na rushwa katika kila idara ya serikali kama ilivyo Tz sasa, uwepo wa mahakama inayofuata msingi wa sheria (kama inavyokuwa kwenye nchi zilizoendelea) unakosa maana. Mfumo wa sheria na haki unafanyakazi yake tu pale siasa zinapotenganishwa na mahakama, na pale tu...
 6. MgonjwaUkimwi

  Gwaje wa Lowassa hoi Rwangwa

  Ameanguka na kupelekwa hospitali alipokuwa akihesabu kura zake za uenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi. Hadi anaanguka inasemekana alikuwa na kura 100 dhidi ya kura 500 za mpinzani wake, Mtopa. Matokeo bado kutangazwa. Kama kawaida ya siasa za sasa za CCM, Gwaje na Mtopa wanaumgwa mkono na Lowassa na...
 7. MgonjwaUkimwi

  Kwako dada mpenzi

  Hii nimekuta kwenye madaftari yangu ya jiogorafia shule ya msingi. Nakumbuka nilikula fimbo kwa kumsabahi mwalimu kwa maandishi nikiwa nimeketi huku wenzangu wamesima. Yahusu: ombi la mapenzi Kwako dada mpenzi, salamu nyingi sana. Baada ya salamu mimi sijambo sana hofu ni kwako uliye mbali...
 8. MgonjwaUkimwi

  Bongo, mbongo, na mTz

  Wanajamvi, nisaidieni. Bongo ni wapi, mbongo ni nani na ana tofauti gani na mTz? Asante.
 9. MgonjwaUkimwi

  Wakuliwa bikra miaka 5 kabla kujamiiana na ikawa soo

  Baada ya kukaa miaka 5 bila kujamiiana wakiwa kama wachumba, ukafika ule usiku uliohalalishwa kwa Bwana harusi (ambaye alikuwa hajafanya tendo la ndoa tangu azaliwe) na Bibi harusi (bikra) kufanya tendo la ndoa. Katikati ya tendo bwana harusi akaanza kupiga kelele "kinakuja kinakuja...
 10. MgonjwaUkimwi

  Kinyozi anaporindimisha shuzi akiwa kazini

  Siku moja kinyozi alipokuwa anatoa huduma kwa mteja alipumua kwa kutumia mlango wa uani, na ili kumpumbaza mteja kinyozi akaamua achanganye wimbi la shuzi lake kwa maongezi murua kama ifuatavyo: Kinyozi: Hivi ulisema wewe asili yako ni mkoa gani? Mteja: Mkoa moja wa nyanda za juu kusini...
 11. MgonjwaUkimwi

  Baba tajiri na Mwanae

  Baba: Mwanangu, baba yako ni tajiri wa fedha, akili na busara. Kila utakacho kwangu nitakupa Mwana: Nitafurahi kama utajenga daraja kutoka Dar hadi visiwa vya Madaska Baba: Itakuwa ngumu maana nguzo za daraja katikati ya bahari ya India zitatokeza upande wa pili wa dunia na kusababisha daraja...
 12. MgonjwaUkimwi

  Tandiko Vs Godoro

  Polisi: Msee wangu tukusaidie nini Mzee: Wezi wameiba godoro Polisi: Kuna mtu waweza kumhisi hana ritandiko karibu na nyumba yako? Mzee: Ana Ritandiko ana rigodoro Polisi: Nenda mlete huyo Ana Ritandiko na Rigodoro Mzee: Siwezi kuleta rigodoro kwasababu Ana Ritandiko sasa analilalia...
 13. MgonjwaUkimwi

  Lugha ya mapenzi siku za mwanzo

  Chunga na akikisha kwamba unazijuwa lugha 10 za demu za kimapenzi katika siku za mwanzo, kwa faida na tahadhali yako. 1. Ukiona hajambi haina maana hana kijambio au shuzi. Maana yake: "subiri nikuzoee, nitakujambia shuzi la kuchukiza nzi." 2. Ukimhonga fedha siku za mwanzo, hapendi...
 14. MgonjwaUkimwi

  Mlo uliouandaa

  Karanga vijiko 4 magimbi 4 Loweka siku 3 ukitumia asali vijiko 3 kwenye Bakuli 2 zilizo laininishwa mara 2 kwa limau 2. Mlo uliouandaa unaitwa MAFISADI.
 15. MgonjwaUkimwi

  Mbona hivi?

  Mbona hivi? Jamaa aliyekatika kidole kwenye ajali anapiga kelele masaa kadhaa, aliyekatika shingo yuko kimyaaaa!! Mbona hivi? Mtu akikaa uchi bila kukusudia na huku akiwakodolea macho wanaomwangalia kwa mshangao, wanaomwangalia wanasemezana kwamba ni malaya, wakati akikaa uchi kwa makusudi...
Top Bottom