Search results

 1. Sizinga

  Tuambie hapa orodha ya ma DJ's waliofanya poa mwaka huu

  Dj LYTA... From YouTube. The best DJ of all times ni DJ kenb
 2. Sizinga

  Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

  Mi nilishawahi kuacha mzigo wa elfu 15 dukani, kurudi maduka yamefungwa, nikarudi kesho yake, mtaa naujua ila duka sasa, kila ninayemuuliza anasema hukununua hapa. Nikaona isiwe taabu, ni kanunua kdi zingine nikasepa nazo
 3. Sizinga

  Yanga bado uswahili na ubabaishaji unatusumbua

  Ulitabiri vema, nakushauri ukae pembeni mapema kama ulivyosema
 4. Sizinga

  Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

  Mpira hauhitaji janja janja bali ni uwekezaji ulioshiba, kuna tatizo pale UTO
 5. Sizinga

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  Tunatamba sana ila sioni mwanga mwema mbeleni, yani full kiza
 6. Sizinga

  Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  No believe in Arteta
 7. Sizinga

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Niliwahi kukutana na dem mmoja kwenye bus Dar Dom lile bus la mwisho la saa 11 jioni. Kumbe yule demu bhana anatafutwa na polisi mme wake kanyea kambi Kusini huko. Dem akienda Mwanza na nauli ipo nusu, nilikuja kujua baada ya kukaa nae kama siku 3 hivi room pale Dodoma, sikutumia nguvu...
 8. Sizinga

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Dah naona hukusahau vituo vya bus
 9. Sizinga

  Mpenzi wangu ana mahusiano na rafiki yangu

  Ulimkuta bikra kwani? Be men
 10. Sizinga

  Juma Jux anahitaji support yetu leo than ever

  Good song, no bif
 11. Sizinga

  Waziri Bashungwa awataka wamiliki wa redio kulipia muziki wanaopiga

  OK waweke utaratibu mzuri wa kuwalipa hao wasanii, ila nimeshangaa Waziri kutaja idadi wa redio peke yake kwa kanda ya ziwa bila kutaja na idadi ya wasanii waliopo upande huo, ni muhimu sana kupata takwimu sahihi na namna bora ya kuwapatia makusanyo hayo. N. B. Serikali isipokuwa makini kwenye...
 12. Sizinga

  Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

  Sijawahi ona wakurugenzi wanaapishwa na Rais
 13. Sizinga

  Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

  Umepotea sana bro tangu Arsenal aanze kuzingua hatutafutani kabisa🤣🤣🤣
 14. Sizinga

  Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

  Nipo sana bro majukumu tu yanaingiliana tunabaki kusoma news na sio kuchangia sana
 15. Sizinga

  Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

  😃😃 barafu ukikatiza tu Airport anakuona na mkija JF atakuambia, yule jamaa hatareee sana
 16. Sizinga

  Asante JF kwa kutunza kumbukumbu. Hii ndiyo ilikuwa post yangu ya kwanza kabisa toka nijiunge na JF tarehe 31/5/2008!

  Siku hizi naona space mbalimbali zinashika hatamu kwa mijadala mbalimbali, technolojia inakua kwa kasi sana
Top Bottom