Search results

  1. migors

    Msaada kuhusu tofauti hii ya namba za pikipiki

    Habari za weekend wana JF Nilikuwa nahitaji pikipiki iliyotumika mwezi uliopita, nikamuagiza jamaa yangu anitafutie maana yeye yupo DSM na mm nipo mkoan. Akanitaarifu Kuwa amepata na akaniambia bei nikamtumia akamalizana na tajiri( mwenye pikipiki). Ikabidi aniagizie kweli nikaipata na iko...
  2. migors

    Msaada: Course ya Civil And Irrigation Engineering

    Naomba msaada kwa anayeifahamu kozi ya Civil and Irrigation Engineering inayotolewa Arusha tech. Je, ina utofauti gani na Civil Engineering na katika ajira ikoje?
Top Bottom