Search results

 1. Kevo

  Basel Accords

  Hello Wadau, Naomba msaada wa link ambayo naweza kupata the three Basel Accords. NImejaribu sana naishia kupata definitions au explanations za wikipedia. Kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana.
 2. Kevo

  Highest Paid Political Leaders in the World

  Lee Hsien Loong - Prime Minister of Singapore - Annual Salary US$ 2,856,930 Donald Tsang - CEO of Hong Kong - Annual Salary US$ 513,245 Raila Odinga - Prime Minister of Kenya - Annual Salary US$ 427,886 Barack Obama - President of United States - Annual Salary US$ 400,000 Nicholas Sarkozy -...
 3. Kevo

  Hoja;kulikokoni kwenye bei za gesi?????

  Kulioni kwenye Gesi??Huku Tanzania ikigubikwa na hoja ya uhaba wa mafuta na mgao wa umeme bei za gesi zimepanda bei tena???Hivi mamlaka husika zinafanya nini kila leo kupindisha bei gesi???Mtungi wa 15kg umetoka elfu arobaini na nne mpaka elfu arobaini na nane…. Tunaelekea wapi na huu...
 4. Kevo

  Msaada Tutani...Nani Anafanya Kazi Wizara ya Elimu na Ufundi Stadi

  Kama kuna mtu anaweza akanipa mwelekeo mzima ya kwamba nani anaweza kuchagua syllabus ya shule ya kufuata kama syllabus,ya kimataifa naomba msaada... Procedure nzima na who to choose the syllabus to be followed for and International School kama IB au UK National Curriculum.. I have done some...
 5. Kevo

  Any Tanzania In Australia

  Hello Members, I urgently require to get into contact with any Tanzanian in Australia. Will much appreciate any response! Thanks
 6. Kevo

  Tanzania na Ubalozi wa 13.5 Bilioni

  Raisi Jk hivi karibuni amezindua Ubalozi wa Tanzania huko Marekani ambao umeigharimu serikali yetu 13.5 Bilioni ikiwemo Milioni 477 za kulitunza kwa mwaka. Nchi yetu kwa sasa imekumbwa na janga kubwa la njaa na matatizo mengine makubwa to mention but a few. Membe anajigamba jengo hilo ndilo...
 7. Kevo

  Hapi Bethi Dei JF

  I was going through Michuzi'z Blog and came along a message that JamiiForums is turning three years old!! http://http://issamichuzi.blogspot.com/ Long Live JamiiForums and Congrats!!!!!!!
 8. Kevo

  Olusegun Obasanjo:Un Special Envoy for DRC Crisis

  "He will work with the leaders of the region and international community to bring about a lasting political solution," he said. "I expect all those with a stake in region's future - the Security Council, the African Union and the European Union - to support him to the fullest."Ban Ki-moon! MY...
 9. Kevo

  Karamagi Kumshtaki Slaa!

  HATIMAYE Waziri wa Nishati na Madini, Bw. Nazir Karamagi, amevunja ukimya dhidi ya tuhuma za ubadhilifu na ufisadi zilizotolewa dhidi yake na Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa, na wanasiasa wenzake wa upinzani na kutangaza kuwafikisha mahakamani ili kuthibitisha madai yao. Kadhalika, Bw...
 10. Kevo

  Abolish death penalty now!

  Death Penalty was brought about in Tanzania by the colonialists 63 years ago; Tanzania incepted it under the provisions of the Penal Code, Cap. 16 and started to enforce it as from 28th September 1945 to date; as of 2008, 133 countries around the world has abolished the death penalty in law or...
 11. Kevo

  CHADEMA wanapoandamana Kumtaka Mbowe atoe Maelezo Kuhusuiana na Kifo Cha Wangwe

  Gazeti la Uhuru Limeripoti kwamba CHADEMA wameandamana ili kumtaka Mwenyekiti wao atoe maelezo ya kutosha kuhusiana na tuhuma zinazomkabili kwamba alihusika na kifi cha Chacha Wangwe. Vilevile wamemtaka Mwenyekiti wao ajielezee kuhusiana na ufisadi unaomkabili kuhusiana na fedha za ruzuku...
 12. Kevo

  Wimbo mpya wa taifa unasikitisha!ila imba tuuuuuuu!

  LETS SING LOUD. TANZANIAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA. That is why we have a song to celebrate this.... Tanzaniaaa Tanzaniaaaa!! Nakupenda kwa moyo woooteee Nchi yangu Tanzaniaaaa Stori zako ni tamuu saanaaa!! Nilalapo nawaza Vijisentiiii Niamkapo...
 13. Kevo

  Mwakyembe,Selelii na Ole Sendeka:Tumeridhika na Hotuba Ya Pinda!

  Of all the people in the world these great fighters against CORRUPTION had the guts to stand and say wameridhishwa na hatua zilizochukuliwa na SERIKALI maana yake ni kwamba zile BLAH BLAH za PINDA za jana zimewafurahisha sana. Nilipokuwa naangalia mahojiano ya ITV na hawa watu kidogo...
 14. Kevo

  Naomba Procedure ya Registration Ya Dairy Products!

  Wakuu,tafadhalini yeyote ambaye anaweza kunisaidia procedure yote ya registration ya dairy produsts kule TBS and costs. Nimechambua laws mpaka nimechoka. Its urgent tafadhalini!
 15. Kevo

  The Geography Of A Woman!

  THE GEOGRAPHY OF A WOMAN Between 18 and 20 a woman is like Africa, half discovered,half wild, naturally beautiful with fertile deltas. Between 21 and 30 she is like Amerrica, well developed and open to trade especially for someone with cash. Between 31 and 35 she is like India, very...
 16. Kevo

  MH.Utawala Umekushinda?Tulipe Tshs100 Kwa Kipi Mlichoboresha?Kiama Chenu 2010!

  WATOTO wetu wamefanya kile ambacho sisi wazazi wao tumeshindwa, na badala yake tumeishia kufanya kile watoto hao wanachoweza kusema ni kukalia politiki tu. Watoto wetu hawa wanaosoma shule za msingi na za sekondari za Dar es Salaam wameandamana kupinga wanachoona si halali kwao. Kitu hicho...
 17. Kevo

  Mtumba:a Witness Special.

  Most people just get dressed in the morning without much thought to the clothes we put on other than whether they fit and look good. If we stop liking them then we throw them out, give them to charity shops or simply put them into recycling bins where, we hope, our discarded clothes will be...
 18. Kevo

  Uhusiano wa Freeman Mbowe na JK Nyerere

  Naomba nijitokeze kuomba ufafanuzi ama kama kuna ukweli wowote katika hili.Siku za hivi karibuni nikiwa na jamaa yangu mmoja mwenye undugu wa karibu kabisa na familia ya Mangi Mkuu wa Wachaga Marealle alitueleza jambo ambalo kidogo nilitilia shaka ya kwamba Freeman Mbowe ni mtoto wa JK Nyerere...
 19. Kevo

  Iraqis:We Like Obama.

  Obama's recent trip to the Middle East to boost his foreign policy has bore fruits.Iraqis seem to like him but remain divided on his policies. "I support Obama. I think he is the best for Iraq and for the world ... if McCain wins I will be devastated," said Mustafa Salah, an office worker in...
 20. Kevo

  After World's Cheapest Car TATO MOTORS Introduces Air Car..

  Tata Motors to introduce Air Car - Is it the next big thing? Tata Motors is taking giant strides and making history for itself. First the Landrover-Jaguar deal, then the world's cheapest car and now it is also set to introduce the car that runs on air, compressed air to be specific. With...
Top Bottom