Search results

 1. smaki

  Je, lile tukio kubwa alilotabiri askofu Gwajima ndio hili la Hamza?

  Akili ndogo zinajulikana tu, na haijawahi kushindana na akili kubwa kamwe!!. Hata uwezo wa kujiongeza tu? Ma- idealistic tunajijua, ndo tulivo!! Wajinga hutuonaga tumechanganyikiwa.
 2. smaki

  Je, lile tukio kubwa alilotabiri askofu Gwajima ndio hili la Hamza?

  nipoleke? Lo0or!! Niteseke tena?? Wewe rudisha akili sawa!! Af urudi tena... Nafute hela ili iweje?? Nani alikudanganya?
 3. smaki

  Vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo, viwekwe wazi kuwa ni nguvu ya wananchi

  Haya ona sasa mwingine huyu!!! Utawajua tu!!
 4. smaki

  Je, lile tukio kubwa alilotabiri askofu Gwajima ndio hili la Hamza?

  kinyume cha chuki ni upendo.....kwa hiyo gwajima ana kifanywa mpaka ampende?.....wewe una mpenda? Sawa Au yeye anakupenda! Ivo Mnapendana. Sasa km ni ivo mapenzi yenu yanatuhusu nini humu Jf?..
 5. smaki

  Vituo vyote vya afya vitakavyojengwa kwa pesa ya tozo, viwekwe wazi kuwa ni nguvu ya wananchi

  mataga hayatakuelewa hapa.yaani humu sijuo km wamesoma hawa tunaweza kuwa tunaongea na watu wa hovyo sana. Humu vitoto vya shule...walevi....wachungaa mbuzi
 6. smaki

  Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

  yeye siyo chuma....alisema lkn sasa hajasema ivo.. kulingana na alivoona kuna umuhimuwa kujitolea kusaidia mataga ya sirikalini.kwani kosa liko wapi?? Gwajima wa leo siyo gwajima wa jana... Hivi umesoma kweli.???
 7. smaki

  Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

  miafrica kwa roho mbaya ndo zenu.huyo kinana kaiba lkn si yuko Bongo? Ni muafrica mwenzenu. Hizo apartment zimejengwa ulaya? Kwani wao hawana mishahara?? Hata km kaiba na chama kinaenda shida iko wapi? Roho mbaya zitawaua.....mnapenda kuona wenzenu wanateseka....km nyie fursa zooote hizi bado...
 8. smaki

  Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

  Una akili sana wewe sijui una kunywa soda gani? Nyerere alifanya alichoamini tukafika tulipofika! si padogo pale!! Aliheshimiwa na wenye akili zao Dunia nzima. Nani km yeye leo hii? Kambona alitoroka maatizo yetu...angekufia hapahapa na sisi...nyerere aliwezakimbilia ulaya faster akaona ujinga...
 9. smaki

  Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

  basi kuanzia leo acha uchoyo.... jifunze kutoa ujishangae..kaoshe wagonjwa bure bila malipo....uone Mungu anatenda...
 10. smaki

  Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

  number zote hatari
 11. smaki

  Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

  Binadamu wa bongo... hamna maana kabisa. Mmelia lia wee! Hamkutaka jiwe awe Rais..... sawa Mungu kamuondoa lkn bado mnalia tuuuuu!! Mara tozo Mara mama sijui kala nini... Hivi mtuambie mnataka nini?? Mridhike??? Msiposema sasa!! atakuja rugumya hatari...nasema mimi mnastahili. sometimes...
 12. smaki

  Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

  haswaaaaa lkn km ukitaka iwe kazi itakuwa...
 13. smaki

  Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

  Hii number saba ni wewe mwenyewe una mfikiria vibaya wengine wako ivo ivo tu!! Unataka mtu awe km unavotaka no!!! wewe ndo mwenye gubu... Kwa nini usimfundishe
 14. smaki

  Ulishawahi kuwa na marafiki wa aina hii?

  umaskini unakusumbua rafiki kopesha tu..mpe mpaka akome ubishi watu tunawajengea migorofa.tunawasomesha.tunawapa kazi watu km hao.migari...mpaka watoto wao tunaishi nao kwa gharama zetu!! Ajabu sasa sijawahi pungukiwa zaidi nasonga mbele mbaya. mmoja ninae hapa washington namsomesha bureee...
 15. smaki

  Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

  Si afadhali hao hapo juu!! Umewahi kuyana na mupenzi wa morogoro??? Yaani yule anatamani akutoe sadaka kwa misukule ya kwao.... Mpenzi jackie marere huyu bana yeye anakutafutia majambazi kabisaa eitha wakufanye nyuma au ufe.upotee!! Amesha achwa mara kibao na hsoni taabu kiolewa tena.. na...
 16. smaki

  Askofu Gwajima na Jerry Silaa wasimamishwa Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

  Ni tishio kwa chama tawala. Sasa kwa nini watishwe na mtu ambae walimpa ulaji?? Lkn gwajima amekasirika kuondolewa cha cha upinzani kwa ghiriba za kupewa uwaziri baadae barozi wa japani...kitu ambacho hakukipata km walivo kubaliana hata fununu ya lini atapewa...sasa iki kimemfanya akasirikie...
 17. smaki

  Hivi huyu jamaa ni kweli hataki kwenda majuu au majuu hawamualiki?

  Mweee!! Uongo! Na kujilisha upepo.ndo mnavodanganyana ivo!! Majuu ni majuu tu!! Usilinganishe na ka oysterbay kako hako. Wee unajua kula tu? Elimu kwa wapendwa je?? Usalama wako?? Sera za nchi?? Hali ya hewa? Mazingira ni salama au si salama. Uvumilivu... bongo mnauana Vibaka kila kona.ukipita...
 18. smaki

  Wakenya hivi mnaelewa maana ya "Kutia kidole"?

  Kiswahili ni matusi tupu.tukiache basi!! Chukua binti angu katembee!! Bustanini!! Hili Akitamka muhindi mswahili utakaa chini.... Tia dole eti ni tusi....? Neno mgwate mwimye ao!! Kwa kijita watakuua....lkn manake nyoosheni paleee....
Top Bottom