Search results

 1. Nyakarungu

  Vijana tuliobaki benchi tujifunze kwa wanaotumbuliwa

  Wanabodi, Hakuna mwanadamu aliyekamilika kabisa hapa duniani. Hivyo nawaomba vijana wenzangu tujifunze kujikubali kwa kujikosoa na kukubali kwamba hata sisi tuliwahi kufanya makosa au madudu ambayo yalisitahili adhabu kabisa, lakini kwa sababu ya Kona tuliyofanyia madudu yetu hayo haikuwa na...
 2. Nyakarungu

  Watanzania tumheshimu Rais, hatukufunzwa hovyo hivi

  Wanabodi, Nawaomba Sana na kuwasihi Watanzania wenzangu tuitunze na kuienzi tunu yetu ya taifa inayoakisi malezi na maadili yetu ya kitanzania ambayo Ni heshima na uungwana kwa binadamu wenzetu. Hivi karibuni kuna magenge yanazuka mitandaoni yakimkosoa Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan, kwa...
 3. Nyakarungu

  Miche ya Apple inauzwa

  Wakuu nina kitalu nimesheheni miche ya miAple, nitakuuzia na kukupa somo namna ya kuipanda bei 10,000/- kila mche. Baada ya miezi 8-10 utaanza kufurahia matunda yake 0754459572 Unaruhusiwa kuja kutembelea kitalu hata kutazama tu, na ukipenda nitakupeleka shambani vigwaza uone miti tenye miezi 8...
 4. Nyakarungu

  nipe ring piston za gari

  Piston ring za Suzuki samorai G13B set moja std, main berring std, condrand berring std, over oll gasgate, 0754459572
 5. Nyakarungu

  Nahitaji piston ring za gari hii

  Piston ring za Suzuki samorai G13B set moja std, main berring std, condrand berring std, over oll gasgate, 0754459572
 6. Nyakarungu

  Nina ng'ombe wangu 30 nawauza

  Wakuu Nina ng'ombe 30, size ya Kati. Wako home mkoa WA Mara, nahitaji mteja tufanye biashara fasta. 0754459572
 7. Nyakarungu

  Nahitaji akaunt ya Insta, youtube chanel na blog,

  Zote ziwe zinabamba na viwers WA kutosha tena ziwe na uhakika WA fans hao sio WA kubumba 0754459572
 8. Nyakarungu

  Tukemee kwa imani zetu hii roho chafu ya udini inayotafutwa kuoteshwa

  UDINI. Nchi Yetu tuna watu wenye Dini tofauti kila mmoja anavyoamini, Wapo Wakristo, Waislamu, Wahindu, na wapo PIA wapagani. Ni jambo jema na la busara Sana nchi kuwapata viongozi nje ya kutazama Imani zao. Kiongozi au mtu yeyote atakayeanza kuuliza kwamba Iweje watu WA Imani yake wachache...
 9. Nyakarungu

  kijieneo cha kuchimba kisima cha maji dsm

  Wakuu kwenye eneo aniuzie linalofaa kwa kuchimba kisima cha maji ya biashara Ili niuzie wakazi, eneo lenye shida ya maji hasa0754459572
 10. Nyakarungu

  Mwenye Tv program iliyosajiliwa aje mtaji upo

  Wakuu nahitaji mtu kwenye tv program iliyosajiliwa tuingie nae makubaliano, mtaji upo, Awe amesajili tayari kipindi chake, Nipigie 0754459572
 11. Nyakarungu

  Naomba kufahamishwa kuhusu soko la mbuzi DSM

  Naomba kufahamishwa bei ya mbuzi WA size ya Kati na wakubwa, naweza kusuply zaidi ya mbuzi 200 kwa week. Nipeni bei na wateja au Madalali wa vingunguti tufanye biashara.
 12. Nyakarungu

  House4Sale Natafuta nyumba ya kununua DSM

  Wakuu natafuta nyumba ya kununua DSM ofa Yangu isizidi 30mil. 0754459572
 13. Nyakarungu

  Nyumba kali inauzwa bei 48mil

  Nyumba inauzwa Singida mjini, ina eneo zima viwanja vitatu vimeungana, iko kimpungua jirani na chuo cha uhazili kinapojengwa, ina vyumba vitatu, viwili ni self containied, ina sittng room, dining, jiko na stoo, public washrooms na kiwanja kimepandwa migomba na miti mbalimbali. Bei 48mil kamili...
 14. Nyakarungu

  Mashine ya kupasua mawe na kutengeneza kokoto

  Wakuu mwenye kujua bei Na wapi inapatikana mashine ya kutengeneza kokoto za mawe anijulishe 0754459572
 15. Nyakarungu

  mashine ya sabuni

  Wakuu mwenye kujua wapi napata mashine ya kitengeneza sabuni za unga na miche na maji anipe utaratibu wakuu au kama kuna muuzaji wa hizo mashine anipigie 0754459572
 16. Nyakarungu

  Kampuni ya auctionious au kudai

  Njia ya kusajili kampuni ya auctious kama majembe,Marcas na nyingine mwenye uzoefu ni hitaji la haraka sana 0754459572
 17. Nyakarungu

  Mkoa wa Singida, Ofsi nyingi hasa maduka makubwa ya hardware na supermaket hakuna mashine za TRA EFD

  Katika mkoa wa Singida ofisi nyingi hasa maduka makubwa ya hardware na supermaket hakuna mashine za TRA, bar kubwa sana nazo hazina mashine hizo za receipt, hii hali inadororesha mapato yenu. Je ni kweli hawana mashine hizo au wanazificha ili waibe kodi? Pia mkurugenzi anapotumia pesa za...
 18. Nyakarungu

  club mpya ya soka

  Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
 19. Nyakarungu

  Deni la gari TRA

  Wakuu nawezaje kucheki deni la gari linalodaiwa na TRA wakuu kwa simu?
 20. Nyakarungu

  ipi nzuri kufanyia biashara

  Simu au ipad ipi nzuri na kamili kwa ajili ya kufanyia biashara za mitandao ya bei rahisi isiyozidi 300,000/-
Top Bottom