Search results

 1. Nyalotsi

  Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

  Demu anavuta Hadi sigara ni mke huyo? Acheni kuwa na Imani na visivyowezekana
 2. Nyalotsi

  Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

  Boda boda anapompeleka mwanamke mke wa mtu kwenye mchepuko wake lazima ampe na yeye ili Siri isijulikane. Hata watoto wa shule Wanafaidi Sana Hawa jamaa.
 3. Nyalotsi

  Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

  Naye anawala kimasihara wengi. Wanaume wengi wanalea watoto wa mwaka. Yaani mkeo akishaanza kutafuta watoto kwa waganga wa jadi jua utalea watoto wa waganga
 4. Nyalotsi

  Baba yangu anamuita mke wangu “wewe”; inaleta mtafaruku

  Kwa Nini ulioa wakati huna uwezo wa kuitunza familia? Au ndio unasikilizia mchongo wa kurithi mzee akifa?
 5. Nyalotsi

  Kuombwa talaka gerezani

  Mbona naye anatuambia mbowe gaidi? Au kwa sababu kalipiza upande wa pili?
 6. Nyalotsi

  Ndoa yangu inateketea

  Hakuna ndoa hapa. Ulioa wale walitakiwa kuwa makahaba
 7. Nyalotsi

  Ukweli ambao mafeminist wengi hawa uzungumzii.

  Ukiona mwanamke ni feminist ujue haridhishwi/ ni mpweke Sana. Akiipata ile huduma kisawa sawa anajutia kuwalaumu wanaume
 8. Nyalotsi

  Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 9. Nyalotsi

  Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

  Kama kwa mumeo unataka watoto tu Bora usiolewe
 10. Nyalotsi

  Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

  Haya ndio yaliyopo kichwani mwako Ila unajaribu kumpandikizia mtoa mada.
 11. Nyalotsi

  Mgogoro wa ndoa: Tuanze kuwajengea nyumba wazazi wa nani?

  Mwanaume mjinga sana. Mwanaume Ana wajibu wa kutunza familia yake. Mke wangu sijawahi kumuuliza mshahara wake. Natoa pesa ya kila kitu na kukamilisha majukumu yote Kama baba. Pesa yake Kama akiamua kuileta kwenye familia sawa. Akiamua kuwapa ndugu zake atajijua mwenyewe. Lakini hatakiwi...
 12. Nyalotsi

  Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

  Mwanaume mwenye mke zaidi ya mmoja anaongeza zaidi utafutaji kuliko mwenye mke mmoja. Mind you, anayetakiwa kuoa mke zaidi ya mmoja ni mwenye uwezo. Hivyo ataongeza uwezo zaidi. Mke kuwa mmoja haimfanyi kupata vingi kwa kuwa yuko peke yake. Mwanaume atatafuta kulingana na familia iliyopo...
 13. Nyalotsi

  Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

  Mind you anakupa kila kitu ambacho unahitaji na wewe unamfurahia. Ukimvuruga utakuja kulalamika hapa kuwa mumeo hatimizi majukumu
 14. Nyalotsi

  Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

  Huu ndio ukweli wenyewe Hata miaka ya watu kuoa mitala Kuna waliokuwa wanaoa mmoja. Uwezo wao ulikuwa mdogo.
 15. Nyalotsi

  Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

  Shida umeweka kichwani kwako image ya kibaya Ila vizuri umeviona ni kawaida. Ninaamini ulikokuwa unaishi kulikuwa pia na wazee wenye wake wengi waliofanikiwa. Lakini unataka kutuaminisha kuwa mitala ni mibaya kwa familia moja tu!!
 16. Nyalotsi

  Hii imekaaje wanawake wenzangu? Eti the early you accept polygam is better!

  Watu wanajitahidi kuandika nadharia zaidi kuliko uhalisia. Hao wazungu ndoa za mke mmoja zingekuwa Bora wasingegeukia kwenye ushoga na usagaji. Na tunasahau ni kuwa wazungu wamerahisisha sheria zao za ndoa na kuwa serial polygamist Yaani anaoa huyu anampa talaka baada ya muda anaoa mwingine. Hii...
 17. Nyalotsi

  Ameamua kunikubalia baada ya kuzalishwa

  Dah!! Msenge, Manina
 18. Nyalotsi

  I missed my wife baada ya kuachana

  My foot!! Yaani amuombe msamaha mwanamke mzinzi!! Mpaka umfumanie mwanamke jua ameshakudharau. Na akaamua kuondoka kabisa. Ukimrudia atakuua.
Top Bottom