Search results

 1. Kamende

  Enyi Wanyiramba Mbona mnatutesa?

  Mimi ni mpinzani mkubwa wa ukabila na udini. Lakini nalazimika kuhoji kuhusu ukabila wa watu wawili nchi hii ambao ni chanzo cha utekaji, ung'oaji kucha ma meno na udhalilishaji kwa demokrasia na haki za raia. Hawa ni pamoja na Mwigulu Nchemba na Ramadhani Ighondu. Sijui hawa watu kwa nini...
 2. Kamende

  CHADEMA - Mlima Mrefu Wenye Watu Wengi

  Amani iwe nanyi wanajamvi! Nimelazimika kuja na hoja yenye lengo la kuwasaidia wale wote wanaoona wanachama wa CHADEMA wakiwa kimya licha ya kusikia na kushuhudia maneno, vurugu, rafu na propaganda kadhaa zenye lengo la kukidhoofisha chama hicho. Nipende kuwajuza wote wenye kutekeleza jukumu...
 3. Kamende

  Msaada Kufungua Kesi ya Katiba

  Waheshimiwa nimelazimika kufungua kesi ya katiba ambamo ninataka kuiomba mahakama kutoa fasiri kamili kuhusu sheria ya uchaguzi na matumizi ya Fomu namba 17. Fomu hii kwa mujibu wa Election regulation 2010 ambayo imetamkwa katika kifungu cha 74 ina lengo la kumsaidia mpiga kura ambaye...
 4. Kamende

  Naomba Msaada Kufungua Kesi ya Katiba

  Waheshimiwa nimelazimika kufungua kesi ya katiba ambamo ninataka kuiomba mahakama kutoa fasiri kamili kuhusu sheria ya uchaguzi na matumizi ya Fomu namba 17. Fomu hii kwa mujibu wa Election regulation 2010 ambayo imetamkwa katika kifungu cha 74 ina lengo la kumsaidia mpiga kura ambaye...
 5. Kamende

  Hatari: Katibu Mwenezi CHADEMA Handeni Atishiwa Kuuawa

  Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya wa Handeni mkoani Tanga Ndugu Omari Gomangilo ametishiwa kuuawa na Mhe. Diwani wa kata ya Komkonga (CCM) Mhe. Ramadhani Kisatu baada ya Mwenezi huyo kutoa mchango wake katika mkutano kwamba haoni sababu ya wananchi kuchangishwa kwa ajili ya huduma za hosipitali...
 6. Kamende

  Ujamaa wa CCM Uko Wapi?

  Wakuu heshima kwenu. Ninalazimika kuhoji kwa sauti kubwa UJAMAA wa CCM uko wapi? Hoji yangu hii imetokana na ukweli kwamba CCM wanajitambulisha kama chama cha kisiasa cha kijamaa. Lakini wakati huo huo kinatekeleza siasa za kibepari ambazo zimewafanya wanyonge wengi wakibaki masikini wa...
 7. Kamende

  Tigo Inaua Kimya Kimya

  Wakuu nimeaona vema kuleta hoja hapa jukwaani kuilalamikia kampuni ya simu za mkononi kwamba inaumiza sana wateja wake kwa bei za hudama zake. Bei yao ya kupiga simu kwa sasa ndo inayoongoza nchini, Ukimhamishia mtu salio wanakukata bila huruma. Ukipiga simu na kumkosa unayempigia halafu...
 8. Kamende

  Adha ya Usafiri Dar Jioni inatatulika

  Wakuu heshima kwenu. Nimelazimika kuja na hoja ya kuitaka serikali ichukue hatua za kukusudia kuwasaidia wafanyakazi wanaotoka maofisini jioni ili wafike majumbani kwa kwa wakati. Hebu fikiria mtu anatoka Posta saa 12 jioni na kwa vyovyote atafika Kiluvya saa 4 usiku ama saa 5 on busiest days...
 9. Kamende

  Madiwnai CHADEMA Arusha wamfia Pinda

  JItihada za Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Raymond Mushi kuhakikisha muafaka unaoipendelea serekali na CCM unatetewa kwa bidii zote zimewafikisha madiwani 5 wa CHADEMA kupoteza kadi zao za uanachama. Kwa hakika habari hii ni chungu sana kwa mtu anayejali safari ya kijasiri ya kisiasa katika...
 10. Kamende

  Mgogoro Arusha - Tatizo ni Pinda

  Wajameni nimelazimika kuingia jukwaani jioni hii na kuleta msimamo wangu kwa mujibu wa mambo yanavyoendelea siku kwa siku ili yatakapotokea makubwa zaidi ifahamike wazi nani kichocheo kikuu cha matatizo yote ya Arusha. Mheshimiwa WM Pinda December mwaka jana aliiahidi CHADEMA kwamba ifikapo...
 11. Kamende

  Nani wa kuiunganisha CCM sasa?

  Walianza kwa kunakili sera la ELIMU (kuifanya Dodoma kuwa Education Capital)
 12. Kamende

  Ulinzi wa ajabu Central Police kwa ajili ya Mbowe; asafirishwa kwa ndege ya JWTZ kwenda Arusha!

  Haijawahi tokea Central kukawa na ulinzi kama huu. Kituo kikuu kimezingirwa na askari wa kutuliza ghasia wengi sana ambao wote wamejitanda vizuri sare za kivita na bunduki mikononi mwao. Hakuna ruhusa ya mtu yoyote kuingia ndani ya kituo. Viongozi wa CHADEMA wamehoji kuhusu namna Mbowe...
 13. Kamende

  Dr. Slaa Azushiwa Kifo

  Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia. Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari...
 14. Kamende

  Wenzetu wana marais sisi tuna Kikwete

  Wakuu Amani iwe kwenu. Nimelazimika kuandika ukweli huu kwamba huko duniani ( katika nchi nyinginezo) wana marais ambao wananchi wao wakikumbwa na dhahama wanawajulia hali na kuwafikia mara moja. Wenzetu hao wana marais ambao maofisa wa serikali wakiboronga wanawajibishwa mara moja. Wenzetu...
 15. Kamende

  Mkakati wa kummaliza mh. Lema wagundulika

  ..Taarifa za uhakika tulizo nazo ni kwamba kuna mkakati maalum wa kumbambikizia kesi ya madawa ya kulevya Mhe. Godbless Lema mbunge wa jimbo la Arusha Mjini. Katika mkakati huo watu wasiojulikana watamwingiza mke wa Mhe. Lema katika biashara bila kujijua na hatimaye kumfikisha...
 16. Kamende

  Elections 2010 Ndesamburo Kuchafuliwa na Vyombo vya Habari

  ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua Ndesamburo kwa siku 2 zilizobakia. Kikosi hicho tayari kimeshatengeza na kupeleka makala na habari...
 17. Kamende

  Elections 2010 Ndesambburo Kuchafuliwa na Vyombo vya Habari

  ZIkiwa zimebaki siku 2 uchaguzi mkuu ufanyike kikosi cha wandishi wa habari waandamizi wakiongozwa na wakongwe kutokea DSM wamepelekwa mjini Moshi kwa lengo la kutengeneza habari za kumchafua Ndesamburo kwa siku 2 zilizobakia. Kikosi hicho tayari kimeshatengeza na kupeleka makala na habari...
 18. Kamende

  Elections 2010 CCM Kuharibu Uchaguzi 2010

  Wakuu habari za jioni NInawaletea habari zilizotua kwenye meza yangu kutoka kwenye source ya ndani kabisa ya CCM anayehusishwa mipango muhimu lakini asiyependa kutekelezwa kwa hila hizo za Chama Cha Mafisadi. CCM wameorodhesha mikoa ambayo hawawezi kushinda na tayari wamekwishapeleka vijana wa...
 19. Kamende

  Elections 2010 CHADEMA Yasambaza vifaa vya kufundishia Mawakala nchi nzima

  Waheshimiwa nina furaha kubwa moyoni baada ya kuleta hapa jamvini maelezo ya vifaa vya kusaidia katika kuwaandaa kikamilifu mawakala ili waweze kulinda kura kwa umakini. Mtakumbuka kuwa niliomba msaada wa kuingiza video hiyo humu jamvini baada ya kuiconvert kuwa VCD. Tayari CHADEMA wamebadili...
 20. Kamende

  Elections 2010 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Moshi Mjini asitisha Mkutano wa CHADEMA

  Kwa wale wanaoujua mji wa Moshi wataweza kufuatilia kirahisi sana namna ambavyo uamuzi huu uluvyofanyika bila kufuata ukweli wa kisheria wala kimazingira. Kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi Mgombea Mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya CCM Dr. Ghalib Bilal alikuwa awe mjini Moshi kesho tr...
Top Bottom