Search results

 1. Najiona Mimi

  HESLB Kuappeal

  Kwa wale wenye uzoefu katika suala la kuappeal emu tusaidiane. Mimi mbona nikijaribu kulogin kwenye account yang inakubal kuloig lakin haioneshi distribution ya mkopo wangu. Maana nilipata mkopo ila nataka niappeal ili waniongezee maana naona mkopo hautoshi isitoshe nna mzaz moja ambaye ni...
 2. Najiona Mimi

  MSAADA:Namna ya kun’garisha viatu vya aina hii

  Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia. Then nikaona niwe navifuta tu na maji kidogo kwenye kitambaa napo naona havin’gai vinafifia. Wenye ujuzi wa viatu vya ngozi hii...
 3. Najiona Mimi

  Wale wataalamu wa kuchanganya perfume/body spray

  Kwa wale wataalam wa kuchanganya hayo manukato na kupata harufu ambayo ni nzuri haikeri na inakaa muda mrefu, embu tupeni formula mchanganyiko upi ni best kwa maoni yako?
Top Bottom