Search results

 1. streat Anthem

  TAFAKURI YA JUMAPILI: Unatoaje madini usiyojua thamani yake

  Nakumbuka mwalimu wangu wa historia alitufundisha kuhusu 'barter trade' biashara iliyofanyika kwa kubadilishana vitu kwa vitu kulingana na thamani na uhitaji kwa muda huo. Mababu zetu walishiriki kwenye hiyo biashara,lakini biashara hiyo ilikuja kuwa na sifa za kutokuwa na usawa baada ya waarabu...
 2. streat Anthem

  Atheist wengi hawajui wanachokitafuta

  Kiukweli wanaojiita hawaamini uwepo wa Mungu hawajui wanachokitafuta.Na shida ni kwamba wanaowajibu pia hawajui wanachokijibu. . Uwepo wa Mungu upo ndani ya Mtu. Na ili Mungu awepo kwako ni lazima utimize mapenzi yake. Sasa inashangaza anatokea kiumbe anasema " Mungu hayupo" na kwa wakati huo...
 3. streat Anthem

  Ubavu uliopotea

  Naishia kwenye mashairi tu
 4. streat Anthem

  Ubavu uliopotea

  shukrani
 5. streat Anthem

  Ubavu uliopotea

  (verse 1) Ubavu wangu wa kushoto umeniachia kidonda Napitia msoto na mwili wote nimekonda Sina tena furaha zaidi ya stress nahuzuni Sina raha kama nimelala juu ya kitanda cha kunguni Ni kweli hali duni ndio yalikuwa maisha Ni wazi majaribuni ndio mrembo ulipita Hizi sumuni hazikukidhi haja...
 6. streat Anthem

  Destructive mentality inavyozidi kuharibu ubinadamu

  Ni mara nyingi jamii zetu zimekuwa zikiishi katika mifumo ambayo inazorotesha utu na ubinadamu na kufanya maisha yawe ya kinyama. Jambo la kushangaza ni kuwa watu hawana habari na mabadiliko haya na cha kushangaza zaidi hujikuta wakifurahia,kuumizwa na kushangazwa na mifumo hiyo! Mifumo hiyo...
 7. streat Anthem

  Ndoto zimewaingiza mkenge watu wengi sana.

  Kichwa cha habari hii kinaweza kukufanya ujiulize ulize lakini hali halisi ndiyo hiyo. Fikiria umeonana na mtu jinsia ke au me kwa mara ya kwanza. Mtu huyo akaanza kukuangalia sana, kila ukigeuza macho unakuta anakutazama. Kiukweli kichwani utaanza kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. Huku...
 8. streat Anthem

  Kuna umuhimu mkubwa wa kuanzishwa kwa chama cha wafanyakazi wa ndani.

  Naomba kupendekeza jambo moja ambalo sidhani kama linapewa kipaumbele sana kwenye jamii zetu. Sijui ni kwa sababu ya kupuuzia au kuona jambo hili ni dogo. Kufanya kazi za ndani ni ajira isiyo rasmi lakini ina umuhimu mkubwa katika jamii zetu. Inapunguza majukumu kuongeza muda wa kufanya mambo...
 9. streat Anthem

  Kitu cha ziada(surplus) sio kwa ajili yetu,ni kwa ajili ya wahitaji

  Surplus is not for you. Tunapotafuta na kupata, huwa ni juhudi zetu lakini ukweli ni kuwa riziki inapangwa na Mungu. Mungu anapotujalia ridhiki zetu za kila siku huwa anahakikisha zinakidhi mahitaji(necessaries). Zisipokidhi mahitaji huwa kuna walakini kwa upande wa muhusika( may be...
 10. streat Anthem

  95% ya watu duniani wameathirika na soul viruses(virusi vya nafsi)

  Soul viruses Ni dhahiri kuwa moja Kati ya janga kubwa ni uwepo wa virusi vya ukimwi(HIV) ambavyo vikiingia kwenye mfumo wa damu vinaenda kuharibu kinga ya mwili. Virusi vya ukimwi huenezwa kwa njia mbali mbali lakini njia kuu ikiwa ni ngono isiyo salama, maambukizi kutoka kwa mama...
 11. streat Anthem

  Ni upi ukweli kuhusu mikosi na nuksi ?

  Ninachoamini ni kuwa, binadamu ana nafsi ambayo ina jumuisha akili,hisia na maamuzi. Fikra na mawazo(conscious) yetu ndio sababu ya kila hali au kitu. Mikosi,laana na nuksi ni matokeo ya fikra zetu kukubali hizo Hali, so nafsi zetu kwenye sehemu ya maamuzi (will) ndio in a accept...
 12. streat Anthem

  Ni upi ukweli kuhusu mikosi na nuksi ?

  Chuki,furaha na upendo ni matokeo ya fikra.
 13. streat Anthem

  Ni upi ukweli kuhusu mikosi na nuksi ?

  As a man thinketh
 14. streat Anthem

  Nimeshangaa kuona Bajaji iliyobuniwa na Mtanzania kunyimwa vibali!

  Waziri wa viwanda, biashara na uwekezaji My Charles Mwaijage ametoa maagazo kwa SIDO na chuo cha usafirishaji NIT kuhusu bajaj iliyoundwa na mtanzania ambapo amesema kabla ya September 14 2018,iwe imerekebishwa kwa kuondolewa cm 10 iliyosababisha bajaj iyo ikose kibali cha kuingia barabarani.
 15. streat Anthem

  Nimeshangaa kuona Bajaji iliyobuniwa na Mtanzania kunyimwa vibali!

  Bro umenena kwa kweli, asilimia kubwa ya Maisha ya mwanadamu huwa anaiga,tumezaliwa hatujui kuongea,kuvaa,nk lakini tuliwaiga wakubwa zetu pepo linalo tutesa limetawala fikra kiasi kwamba hatuwezi hata kujiwazia mazuri
 16. streat Anthem

  Nimeshangaa kuona Bajaji iliyobuniwa na Mtanzania kunyimwa vibali!

  Nadhani Tanzania kwa sasa ni nchi ya mlengo wa Kati so Ujamaa bado upo,unaposema nchi za wenzetu unaongelea nchi za kibepari na ambazo tayari zimeshaendelea sana kiuchumi. Kazi ya serikali sio tu kukusanya kodi na kuhakiki ubora wa bidhaa Bali ni kuhakikisha inaweka mazingira bora kwa ajili ya...
Top Bottom