Search results

 1. mzamifu

  Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

  Kwa hiyo na sisi tukandamize. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 2. mzamifu

  Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

  Hiyo haina shida maana sisi tuna akili, macho na masikio na kibaya na kizuri kinaeleweka Marekani ndo nini hasa. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 3. mzamifu

  Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

  Kwa wale wanafuatilia movie ya The Heires ambayo wahusika wakuu ni Romina na Kassi kwa upande mmoja na Daniela na Marga kwa upande mwingine wanaweza kuihusisha na kinachoendelea nchini. Kuna makundi mawili, moja linatetea maslahi na madaraka na lingine linatetea haki na wajibu. Kuna watu katika...
 4. mzamifu

  Kumtaja Rais kila mara hata kwa vitu vya ovyo ni aibu, tujirekebishe

  Uko sahihi. Bunge linapitisha bajeti lkini kila anasems Samia katoa hiki au kile huu ni unsfiki kwani wskisema serikali tatizo ni nini. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 5. mzamifu

  Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

  2025 wtu wengi kutoka ccm hawatapiga kura na hii inaana yake. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 6. mzamifu

  Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

  Slaa walimuita mzinzi ila sasa wanaajifanya kimfagilia. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 7. mzamifu

  Miezi mitano ya Rais Samia: Uwekezaji wakua kwa 400%. Wafikia $3bl toka $510M. Ni mara 6 zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho

  Mama kasema urais kapata kwa kudra ya Mungu ina maana Magu kaondoka kwa kdra hiyohiyo Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 8. mzamifu

  Kwanini tuna wapinzani wengi mitandaoni ila uraiani hawaonekani?

  Walio mtandaoni wana accsess ya habari na wanajua yanayotokea. Watu wengi hawana hiyo na wengi wako vijijini. Mazingira ya siasa si rafiki wengine humu ni watumishi Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 9. mzamifu

  Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

  Ungesubiri mkuu wanasheria waendelee. Chuki haishibishi sana inamegua afya ya mtu. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 10. mzamifu

  Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

  Hii ya maelezo kutoka juu ni nini hasa! Huyo mtu kutoka juu, sijui mbinguni, ni nani maana hawezi kuwa ni Mungu labda ni mzimu sijui wa nani! Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 11. mzamifu

  Napinga IGP Sirro kukutana na Vyama vya Upinzani kwasababu hana hadhi ya kuwa mpatanishi

  Mmi nafikiri wapinzani wangekutana raisi na hao kina igp wakiwepo. Baada ya hapo wapokee maelekezo na kupiga ssluti kwenda kutekeleza. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 12. mzamifu

  Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

  Hivi mkimuita mtu mkonongo ina maana gani hasa. Hivi kiuhalisia kuna kabila ambalo, to some ectent, hawana ukabila? Pamoja na hayo wasukuma wanapenda urafiki, ni marafiki kwa kweli. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 13. mzamifu

  Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

  Point muhimu. Kweli mtu mmoja maarufu kwa tangazo moja tu anaweza kuwa na impact kubwa sana. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 14. mzamifu

  Rais huwa hatangazi Utalii

  Rais pekee mwanamke Aftika, watu watataka kufahamu zaidi
 15. mzamifu

  Mtu akifikisha miaka 70 hapaswi kuwa kiongozi, akiwa kiongozi wasaidizi wake ndio huongoza

  kuongoza ni akili zaidi kuliko nguvu. wako watu wana miaka 90+ lakini akili ziko nzuri kabisa. wako vijana wana nguvu lakin akili ya kuongoza ni zero.hivyo inavary kati ya mtu na mtu. mawazo ya kugawa watu kiumri bila kuzingatia uwezo si vema sana. katiba inataja kuwa na akili timamu na si kuzeeka
 16. mzamifu

  Mbowe hawezi kushinda hii kesi. Rais Samia amsamehe bure

  Ukali wa rais si ktu wala si chochote. Kitu muhimu ni uwezo wake wa kutumia vyombo vya dola atakavyo. Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 17. mzamifu

  Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

  Waafrika tuna nguvu na tunatumia nguvu kuliko akili. Mwenye akili anaweza kumdhibiti mwenye nguvu hadi amfunge kamba asipate pa kupenyea. Sasa, ni vizuri tuone umuhimu wa kutumia akili ili kumshinda atumiaye maguvu. Tulipelekwa utumwani si kwa sanabu waliotukamata walikuwa na nguvu, la hasha...
 18. mzamifu

  #COVID19 Kama ni kweli waliochanja chanjo ya Corona hawazidi laki 4 hadi sasa basi Waziri wa Afya na Naibu wake wajiuzulu

  Binadamu kubadili rangi ya ngozi yake bila madhara ni vigumu saana. Watu wanaomfahamu hawataacha kumshanga. Kazi ni tiba yake! Imekuwa shida watu kusahau... Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 19. mzamifu

  Hadi sasa Rais Samia ndiye bora zaidi, anafanya kila kitu kwa ustadi mkubwa

  Niwe mkweli tu hii kodi ya majengo naona iko sawa na itasaodia na tena si kubwa. lakini tozo ya miamala imezidisha ugumu na imefanya watu wasite kutumia huduma hii
 20. mzamifu

  Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Askofu Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu

  Ni sawa tu maana inakuwa kama debate, mfano, kama tukisema sayansi imeleta madhara zaidi kuliko faida kila atakayekubali au kukataa atakuwa na hoja zake. katika hili kila upande una hoja lakini ukweli upo tu kwamba chanjo ni muhimu. Kibaya kwa wanaopinga ni visingizio kwa wanaowaita mabeberu eti...
Top Bottom