Search results

 1. thA goD

  Nahitaji pikipiki usedi iwe TVS au Huoniao

  Habari wakuu.. Husika na bandiko hapo... Mimi nipo Tanga nahitaji hii pikipiki nifanyie biashara ya bodaboda....iwe full documented. Mwenye nayo tuwasiliane PM. Natanguliza shukurani.
 2. thA goD

  TOT Bonanza 2020

  Habari, Wakuu leo ilikuwa bonanza watanzania wanaotumia twitter yaani Tanzanians on Twitter. Nilifanikiwa kuhudhuria na kujifunza mambo kadha wa kadha. Kubwa katika hili Bonanza ni kuimarisha Upendo mitandaoni lakini pia kupanua wigo wa kuchangamana. Ni dhima ya post hii? Naam, nashawishika...
 3. thA goD

  Tumepotezana na ndugu yetu kwa miaka 20 sasa

  Mimi nina binamu yangu anaitwa Maulid, tena kama kuna msaada hapa, tafadhali mtusaidie. Huyu jamaa alikuwa mtulivu sana, na mambo ya kipeke yake hamwambii mtu. Alizaliwa Tanga ila kwa asili Zanzibar, aliondoka nyumbani Tanga akiwa na umri wa miaka 15 tu. Hiyo inapata mwaka 2000, aliondoka...
 4. thA goD

  Natafuta wataalamu wa ku-pimp (kuweka nakshi) viatu

  Habari wana JF Hii puma yangu imebanduka ngozi juu, sole bado inadai. Nitafurahi kupata msaada wa wapi wanarekebisha viatu yenye matatizo haya. Ni matumaini yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo hili hapa.
 5. thA goD

  Naomba ufafanuzi kuhusu haya ya Institute of Accountancy Arusha (IAA)

  Habari, Baada ya salam niende kwenye hoja iliyonileta.. Ninae anko angu hawa waliomaliza Form Four juzi kachaguliwa pale IAA kwa mwaka wa masomo 2020/2021. Sasa nina maswali mawili nahitaji msaada kwa hali na mali kutoka kwenu.. 1. Machaguo haya ni diploma au Cheti? 2. Yeye kachaguliwa BM...
 6. thA goD

  Eid hii hapa wananzengo

  Salaam! baada ya salama niende moja kwa moja kwenye mada. Ni juzi tu hii wakuu mmekula pasaka tena bila kujali hamkutualika wala nini mkawa mnajichana kivyenu vyenu. Sasa wakati wa kuwanyoa umefika, tunaomba kwa heshima na taadhima kabisa mkae majumbani kwenu, Corona ipo sawa? [emoji23] Kama...
 7. thA goD

  Very touching moment in Santiago Benabeu

  Siumii Barca Kufungwa Naumia Kumuona Messi Aliyekata Tamaa Kabisa This Is Very Touching Jamaa Anaonekana Amechoka Inafika Hatua Hata Kuongea Anashindwa Board Haielewii,Wachezaji Wenzake Hovyo Kabisaa Inauma Kwakweli Huyu Jamaa Aondoke Tu Sasa Simhitaji Tena Messi Wa Nou Camp. Sent using Jamii...
 8. thA goD

  Msiipuuzie hii kalenda wanangu

  SAVE THIS CALENDAR February 2020 S M T W T F S 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 [emoji533] [emoji381] 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 Only A Few Will Understand! [emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
 9. thA goD

  Nipe Ofa

  PS4 FIFA18. Kama haupo serious usije kabisa maana sio kila mtu anaweza afford PS4.
 10. thA goD

  NAUZA SIMU

  Ni galaxy note3 grand neo,3GB RAM, 32GB ROM,ORIGINAL CHARGER, EARPIECE. BEI:190000/=Tshs. Wahi mapema Sana tumalizane. Mawasiliano :0625697394
 11. thA goD

  Original Samsung galaxy note3 grand neo ipo kiete yoo yoo ili.

  Simu ni used yes it is and Since I have gotten brand new one naitoa hii sio kwa kugawa freely ama kuitupa bali kuiuza kwa bei ya Wana. Simu ni 32ROM, 4ROM,betri imesimama chaji ni 12hrs (ajabu sana ila ndo ivyo ),chaja yake ipo, mteja nitamtunuku na original Iphone headset ambazo zinakita base...
 12. thA goD

  Original note3 grand neo ipo sokoni leo.

  Simu ni used yes it is and Since I have gotten brand new one naitoa hii sio kwa kugawa freely ama kuitupa bali kuiuza kwa bei ya Wana. Simu ni 32ROM, 4ROM,betri imesimama chaji ni 12hrs (ajabu sana ila ndo ivyo ),chaja yake ipo, mteja nitamtunuku na original Iphone headset ambazo zinakita base...
 13. thA goD

  Random definition of life

  #mtazamo... * Kumnunulia demu wako simu [emoji338][emoji338][emoji338] halafu mwanaume mwenzako anamnunulia vocha [emoji389][emoji389] huo ni MWINGILIANO WA MAJUKUMU. Kumlipia demu wako ada ya chuo [emoji310][emoji310]halafu mwanaume mwenzako ananlipia ada ya hostel huo ni MGONGANO WA...
 14. thA goD

  Headphone original inauzwa

  Orijino XK headphones. Beat nzuri iliyochujwa kiufanisi wa hali ya juu. Fm radio na highly magnified mic kuongelea. Long range of Bluetooth and so on. Serious buyer nichek DM. Napatikana Dar mkoani situmi so ni hivyo.
 15. thA goD

  BEHIND THE SCENE

  BEHIND THE SCENE. Watu wanapenda kuangalia movie jinsi inavyoleta raha na msisimuko lakini hawajui behind the scene nguvu kubwa kiasi gani ilitumika kukamilisha hiyo scene inayosisimua kwenye movie. Watu wanafurahi kumuona Christian Ronaldo aki-perform vizuri uwanjani na kutupia magori...
 16. thA goD

  Man fakes being deaf,dumb for 62 years to avoid listening to wife

  We have a lot to learn here as MEN and COUPLES. 62 years faking to be deaf? Sio mchezo.
 17. thA goD

  Tutarajie kumuona Professa Kabudi akigombea ubunge 2020 ili kujiimarisha rasmi kama mwanasiasa au akirudi kushika chaki?

  Mwanasheria Msomi vs Mwanasheria Msomi na Mwanasiasa. Sasa ni Tundu Antipas Lissu dhidi ya Profesa Paramaganda Kabudi katika ulingo wa siasa za kimataifa. Tundu Lissu ni mwanasheria nguli ni wakili msomi ambaye nusu ya maisha yake hadi hii leo ameyatumia kusimama mahakamani akijenga hoja mbele...
 18. thA goD

  Msaada: Nahitaji bidhaa ya 'Earphones' kwa bei ya jumla

  A.alaykum, Husika na kichwa hapo juu naomba Mwenye kujua ni wapi Naweza kupata earphones aina ya AWEI kwa bei ya jumla na zunauzwaje huko? Nataka fungua hii biashara lakin sijui wapi zinapatikana. Asante, nawasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
 19. thA goD

  Msaada wa kurepair Imei number.

  Habari, Husika na kichwa hapo juu,simu yangu galaxy note 3 imekufa Imei number mwenye ujuzi wa kunisaidia anichek kwa namba 0625697394. Nipo Kimara mwisho. Asante
 20. thA goD

  Huyu demu anataka kunifanya mtaji

  Habari wandugu, Husika na kichwa cha Habari hapo juu, Ni wiki kama tatu hivi zimepita nilikutana na pisi moja hivi nikaamua kuitongoza,siku nakutana naye alikuwa ana simu mbili,moja goroka (hivi vidogo vya button) afu nyengine ni hizi simu janja aina ya VIWA ambayo simu hii janja ilikuwa mbovu...
Top Bottom