Search results

 1. PSEUDOPODIA

  Natafuta smart TV TCL inch 55

  Nipo Moshi, nafuta TV hiyo kwa reasonable price, iwe katika hali nzuri.
 2. PSEUDOPODIA

  Chanika kidugalo tunasherehekea Muungano tukiwa bado gizani kwa sababu za kisiasa

  Jamani sitachoka kupiga kelele kuende kuileta hii kero yetu kwenu hasa viongozi wetu. Sisi wananchi wa Chanika kitongoji cha Kidugalo hususani baadhi ya mashina ya kitongoji kero yetu kubwa ni umeme. Tulipoona mradi wa Rea umefika tulifurahi sana nae kusema hatimae Mungu amesikia kilio chetu...
 3. PSEUDOPODIA

  TANESCO kata ya Chanika mtaa wa kidugalo mnatubagua Wananchi

  Habari wakuu, Mimi leo naomba nitoe kero yangu kwa ndugu zetu wa TANESCO huku Chanika. Katika mtaa wa kidugalo tumegawanywa kwa mashina, Sasa kutokana na baadhi ya mashina hatukumpa kura mwenyekiti wetu wa mtaa wakati wa uchaguzi wa ndani, hivyo wakati TANESCO wanaleta umeme huku wakapokea...
 4. PSEUDOPODIA

  Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio mkombozi wa Taifa

  Mimi mkazi wa Songea Kitai, nilikuwa naumia sana kuona katika eneo letu ndipo yanapatikana makaa ya mawe yanayolisha karibu viwanda vyote nchini, na mengine yanasafirishwa kwenda Rwanda, Uganda, Burundi na Kenya na kuingizia nchi mamilioni ya pesa. Chakusikitisha barabara katika eneo letu ni...
 5. PSEUDOPODIA

  CHADEMA sasa si ombi tena, Tunahitaji TV moja ya kurusha Mikutano ya Tundu Lissu

  CHADEMA tumewaomba sana mtutafutie TV moja itakayokuwa inarusha mikutano ya Lissu lakini mpaka sasa bado mnasuasua, Kama TV za hapa zinaogopa kurusha mikutano ya Lissu basi nendeni Kenya, kwenye dstv yenyewe kuna channel zaidi ya tano za Kenya zinazoonekana hapa nchini. Kama tatizo ni pesa...
 6. PSEUDOPODIA

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ni Nyerere anayeishi!

  Kwanza nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kumuepusha ndugu Tundu Lisu na Kifo kilichokuwa kimepangwa na wabaya wake. Naamini kabisa Lisu hana ubavu wowote wa kupambana na risasi 16 zilizompata. Naamini Mungu alituma malaika zake wakaja kumfunika kiasi kwamba zile risasi hazikuwa na...
 7. PSEUDOPODIA

  Uchaguzi 2020 Haihitajiki Kampeni kwa Lissu kushinda urais

  Jana nilikuwa kijiwe kimoja hivi cha madalali wa nyumba na viwanja hapa Dar es Salaam. Watu walikuwa wanajadili kwa kina maswala ya usajili ya vilabu vya simba na Yanga. Ghafla mada ikabafilika ghafla baada ya mzee mmoja niliekuwa nnamfahamu ambaye ana bint yake aliyefaulu form 4 kwenda form...
Top Bottom