Search results

 1. Mr Mbaga333

  LYRICS(special threads )

  Uzi huu wakuu uwe wa kupatiana lyrics za nyimbo mbali mbali ziwe za sasa za zamani. Ziwe za muziki wa aina yoyote kikubwa lugha ieleweke kwa hadhira legwa. Mimi naanza na hii[emoji1313][emoji1313] Beverly I Need You [Intro: Frankie Beverly] I need you, ooh I need you, ooh, oh, oh [Verse...
 2. Mr Mbaga333

  Hawa Manchester United watamuacha salama huyu Ole

  Hivi msimu huu ukaisha tena Man Utd watoke kapa bila kikombe chochote watamuacha tu huyu Ole? Maana wamefukuza Moyes, Van Gal, na Mourinho japo aliwapa kikombe hawakuwa na shukrani. Hivi gana toka awe kocha pale old traford kuna kikombe kaleta? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Mr Mbaga333

  Story of Change Vijana ndio uti wa mgongo wa mipango ya kesho, Taifa liwekeze kwao

  Leo naandika kuhusu nchi yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vipi iwekeze kwa vijana wa taifa letu. Andiko litaelezea katika sehemu tatu utangulizi ambapo nitatoa maelezo kidogo juu ya historia ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Pia nitamuelezea Hayati Mwl Julius Kambarage Nyerere...
 4. Mr Mbaga333

  Story of Change Zama zinavyobadilika ndivyo kila kitu kinavyohitaji kuendelezwa pia

  Dunia inaenda kasi wala haifanani na ya miaka 200+ iliyopita. Kila taifa linajitafutia njia za kujipatia mapato na kurahisisha huduma zake kuendana na kasi ya teknolojia inakua na kutanuka kila uchwao. Bara la Afrika bado lipo nyuma kwa kiasi kiteknojia ukifananisha na mabara ya Ulaya, Amerika...
 5. Mr Mbaga333

  Tupeni maujuzi ya kukaanga chipsi

  Wakuu napenda kupata hata ka ujuzi kwenye ukangaji wa vibanzi yaani chipsi. Naomba kujua ya fuatayo:- 1. Kiloba cha ndoo 4 kinauwezo wa kutoa sahani ngapi za vibanzi(chipsi). (Hata kama unajua lwa ndoo ya lita 20 kuwa inatoa sahani ngapi tujuze hapa) 2. Upishi unahitaji vitu gani muhimu? 3...
 6. Mr Mbaga333

  Muheshimu huyo ulie naye maisha kuvumiliana tamaa zitakuponza.

  Ewe dada ewe kaka ewe kijana wa kike na wakiume acha tamaa macho hayajawahi tosheka kuona. Sikila mwanamke/mwanaume lazima uzini naye tuache tamaa. Na zinaaa haipambiki ni haramu na chukizo mbele za MUNGU. nimewaza tu. Nahisi roho mtakatifu anatenda kazi yake ndani ya nafsi yangu sasa Sent...
 7. Mr Mbaga333

  Story of Change Mfumo bora wa Uongozi unahitajika Afrika

  Habari zenu..? Andiko hili litatoa mwanga kwa uchache kama sio wingi jinsi gani nchi za bara la Afrika zinavyoweza kuwa na uongozi bora kwa marndeleo ya jamii. Andiko hili litagawanyika katika sehemu kuu nne. Kwanza, nitatoa maana na mifano iliyoelezewa na wana falsafa katika kuelezea uongozi...
 8. Mr Mbaga333

  Story of Change Jamii yetu ijifunze kitu kupitia hatua zilizotekelezwa katika kufikia maendeleo ya Bara Ulaya

  Habara za siku wa ndugu..? Napenda kuwapa haka kaandiko tena tujifunze kidogo kupitia maendeleo ya wenzetu wa bara ulaya. Andiko hili litaangazia baadhi ya mapinduzi yaliyotekelezeka kule ulaya na yakawapa maendeleo waliyoyafikia ambayo sote tuna ya husudu. Baadhi ya mapinduzi hayo ni kama...
 9. Mr Mbaga333

  Si lazima tufanye mapenzi, tunaweza kwenda nyumbani kupumzika tu

  Sio lazima tuendekeze mapenzi hata kwenda nakupumzika tu inatosha.
 10. Mr Mbaga333

  Story of Change Vyeti vya utafutaji ni kujituma, subira, uaminifu na kutokukata tamaa

  Habari zenu wana JamiiForums? Natumaini mpo wazima..? Poleni na tozo za miamala. Leo nawaletea andiko linaloelezea vyeti vya utafutaji kitaani. Yaani huku vyeti unakua navyo katika kichwa chako na tabia zako na kuishi kwako na watu wa jamii inayokuzunguka. Nitaelezea uvumilivu, uaminifu...
 11. Mr Mbaga333

  Story of Change Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

  Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Nitaanza kwa kuelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo...
 12. Mr Mbaga333

  Wahitimu wa vyuo na maisha ya utaftaji mtaani

  Habari zenu wana jamii forums hususani jukwaa hili la stories of change. Nitumaini langu nyote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Naanza kwa kuelezea maisha ya mtaani na baadhi ya fursa zenye...
 13. Mr Mbaga333

  Leo nimeambiwa mzuri pesa

  Wakuu leo nimekutana na mtoto mzuri nikaona usiwe taabu acha niongeo naye kdgo hata namba niombe ikiwezekana nitupie maneno yangu siku zijazo. Duuh nimeongea naye vzr kabsa bila tabu sasa nimeomba namba pia nikapewa bila kinyongo nkajua hii kulaini kumbe loooh ningejua. Mazee nimemcheki kwa...
 14. Mr Mbaga333

  Story of Change Mabadiliko yanayoweza kutekelezwa na kutatua changamoto mbalimbali nchini

  Mabadiliko Mabadiliko ni maboresho yanayofanyika katika kutekeleza jambo fulani ambalo lipo tayari lakini lina onesha mapungufu kiasi ya kuhitaji marekebisho. Nitaonesha maboresho yanayohitajika kwenye idara mbali mbali kama inavyofuata:- 1. Maboresho katika mfumo wa elimu nchini Elimu ndiyo...
Top Bottom