Search results

 1. Ndalilo

  Car4Sale Toyota Hilux Double Cabin 2012 2.5L Diesel

  Wakuu, salaam Gari ya kampuni inauzwa kwakuwa imeshafikisha miaka 5, mtumiaji tangu imenunuliwa si MTANZANIA, ni MANUAL TRANSMISSION Rangi Nyeupe Mileage ni 49000km Reg ni T2..CHV Bima inaisha 2018 Haijawahi kupata ajali, kurudiwa rangi. Safari ya mbali ilienda Mtwara na Kilwa mara moja...
 2. Ndalilo

  Tazara: Wezi wapora gari kwa kutumia silaha

  Habari wadau, Muda si mrefu vijana wamefanya yao, wametumia silaha nzito ama kupora au vyovyote ilivyokuwa wamepanga kufanya. Ni pembeni kidogo ya TBC pale, hawakua na haraka wala uoga, gari iliyovamiwa ina namba za usajili T262 BKS. Nilikuwa opposite na eneo la tukio. Nimeona wakitoa...
 3. Ndalilo

  Msaada kuhusu urijali

  Habari wataalamu, Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo, imewahi kunitokea kama miaka miwili iliyopita, uume uligoma kusimama wakati wa tendo la ndoa, hali hiyo ikadumu kwa wiki mbili mfululizo. Ilikuwa nikitaka kufanya tendo hilo nailazimisha kusimama na kuidumbukiza kwa haraka ili...
 4. Ndalilo

  Kwa hili,utafanyaje?

  Salaam Waungwana, Mwanaume unamtongoza binti,kwa utashi,akili,utimamu,utahayari na uelewa wake anakukubali na kuanza mahusiano ya kimapenzi na wewe. Wote mnakuwa na furaha na mahusiano yenu na mnapanga mipango mingi ya kimaisha pamoja na kapeana ahadi za kuishi pamoja kwa ndoa. Lakini katikati...
 5. Ndalilo

  Ndoa nyingi mpya kuchelewa kujibu,tatizo ni nini?

  Habaaari zenyu bhanaaa!! Nimepata kuhudhuria sherehe za ndoa nyingi kiasi ambapo wanandoa hao ndo wanaanzisha maisha ya ndoa na si kubariki. Sasa baada ya mashughuli yote kuisha mnaona mwaka unakatika,mara wa pili,mara wa tatu bila kupata mtoto. Ukiwasikiliza madaktari bingwa wa mambo ya uzazi...
 6. Ndalilo

  Semeni na hapa sasa!

  Asilimia 65 ya wababa walioenda kwa mkemia mkuu wa gvt kufanya DNA na watoto waliodhani wao imebainika kuwa wababa hao wamebambikwa. Source: ITV Hapa nashindwa kuelewa tatizo ni nini mpaka wamama wawakosee kiasi hiki waume zao,tatizo ni uchumi au ukicheche wa wanaume? Sent from my BlackBerry...
 7. Ndalilo

  Ni kweli mwanamke akielimika..........

  Ni kawaida kwa mwanamke mwenye elimu kubwa ya darasani kiasi cha kuajiriwa kukuta ni mwajiriwa au mjasiriamali. Sasa kwakuwa ni mtafutaji,anakuwa busy na kumweka h.g amlelee mtoto. H.g ni std 4 leaver,mtoto muda mwingi yuko na h.b,ambapo akili yake inatengenezwa kihvyo, Je,jamii hiyo...
 8. Ndalilo

  Ujio mpya

  Nimekuwa mfuatiliaji wa muda mrefu wa jf,sasa nimeamua kujiunga nanyi wandugu,natumai nami nitafurahia jamii hii. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Top Bottom