Search results

 1. Yohana Daniel

  Je, Nisahihi kwa mpangaji mwenzako kukutukana kisa kuchelewesha kulipa pesa ya maji?

  Habari za sasa ndugu zangu mimi sio mgeni ila ni mara ya kwanza kuandika katika jukwaa la Sheria. Naomba msaada wa kisheria kwa kilichonikuta mwenzenu, hapa nilipopanga kuna mita ya maji imeharibika sababu watoto wanaichezea Kinachotakiwa ni kwamba tunatakiwa tuchange kuinunua wapangaji wote...
 2. Yohana Daniel

  TAFADHALI NAOMBA KUJUA MATUMIZI NA FAIDA ZA TEMBO CARD (UNION PAY) CRDB

  Habari za saa hivi wapendwa wanajamii forum natumai wengi wetu ni wazima wa Afya Niende moja kwa moja kwenye mada husika, siku za hivi karibuni nimetoka kufungua account bank ya crdb na nilifanikiwa kufungua account ila wamenipa ATM card imeandikwa union pay. Naomba kujua matumizi ya union pay...
 3. Yohana Daniel

  PROGRAM NZURI ZA KUEDIT PICHA KWA COMPUTER

  Happy new year wapendwa wa JF natumai wote tunafurahia kuupokea mwaka Naomba kufahamu ni program gani nzuri ya computer ambayo unaweza kuedit picha nzuri ikiwa na autofocus ya ukweli Maoni yenu kwa wanaojua kama asante. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Yohana Daniel

  APP GANI NZURI YA KUJIFUNZA KIINGEREZA NA KIFARANSA KWA URAHISI ZAIDI

  Habarini za asubuhi wana JMF wenangu natumai tumeamka salama Niende moja kwa moja kwenye point naomba kufahamu app nzuri za kujifunzia kiingereza na kifaransa kwa wepesi zaidi iwe za online au za offline msaada sio kama sijui kiingereza but nataka niwe konk konk konk zaidi na pia kujua...
 5. Yohana Daniel

  APP GANI NZURI YA KUJIFUNZA KIINGEREZA NA KIFARANSA KWA URAHISI ZAIDI

  Habarini za asubuhi wana JMF wenzangu natumai tumeamka salama Niende moja kwa moja kwenye point nahitaji app nzuri ya kujifunza kiingereza na kifaransa kwa wanaozijua app nzuri iwe za online au offline naomba msaada sio kama sijui kiingereza but nataka niwe konk konk nkonki zaidi na pia french...
 6. Yohana Daniel

  Kamkopesha mkwe pesa ya ada, sasa mahusiano yameingia dosari

  Kuna rafiki yangu mmoja more than a friend alikua na mpenzi wake walipendana sana japo walianza wakiwa wadogo, walipeana ahadi nyingi sana maishani mwao mpaka wazazi wa pande mbili wote walijua mahusiano yao, bahati mbaya ama nzuri binti alikua anakaa na mama yake, kizuri ni kwamba mama yake...
 7. Yohana Daniel

  JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

  Jamani wana jamii wenzangu naomba kujua kuwa kweli computer science haina Ajira kama watu wasemavyo?, Maana nina mdogo wangu amechaguliwa hiyo course ila mkopo amepata je? Serikali inaweza kutoa mkopo kwa course isiyo na Ajira? Naomba ufafanuzi kwa wanaojua tafadhali.
 8. Yohana Daniel

  Afya kwanza

  Naomba kuuliza nini kinacho sababisha mwili kutokewa na majipu maana ninavyoongea saa hivi nina majipu mawili katika mwili wangu hivyo nilikua naomba kufahamu chanzo na tiba ya majipu?
Top Bottom