Search results

 1. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi kiongozi
 2. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Sasa mm sipo huko kwa kila mtu[emoji1787]
 3. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Mlimani hakuna sound Bar za jbl nimetafuta sana zipo za Lg,sony na panasonic
 4. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Naweza nikawa nna hiyo hela na nikauziwa kitu kisicho bora,lengo la kuuliza ushauri hapa ni kununua kitu kilicho bora kwa thamani halisi ya pesa
 5. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Sound Bar ya watts 700 inaenda hadi Tshs laki tisa mlimani ilhali hometheatre ya watts 1000 ni Tshs laki nane na Hi-fi ya watts 600 inakwenda Tshs laki 9 mlimanj
 6. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Bei zake zimechangamka
 7. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Zinauzwaje na nazipatia wapi?
 8. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Sound Bar nzuri ya Watt ngapi boss
 9. Llio 002

  Wataalamu wa Home theatre naomba msaada wenu

  Lile hitaji langu la kununua mziki kwa matumizi ya ndani bado sijafanikiwa,najaribu kuzurura zurura mitandaoni kukusanya taharifa leo nimejaribu kuingia Amazon nikakutana na Home theatre moja nimeweka picha yake hapo chini Bei yake ni Tshs 781,000/= hadi inanifikia mikononi mwangu. Je...
 10. Llio 002

  Ushauri: kati ya LG Hifi system na LG Home theatre ipi nzuri kwa matumizi ya nyumbani?

  Muda mwingi naangalia tamthilia,mpira na kusikiliza na kuangalia video za miziki
 11. Llio 002

  Ushauri: kati ya LG Hifi system na LG Home theatre ipi nzuri kwa matumizi ya nyumbani?

  Pintec sub woofer[emoji1787][emoji1787] acha kumdharau mwenzio...
 12. Llio 002

  Ushauri: kati ya LG Hifi system na LG Home theatre ipi nzuri kwa matumizi ya nyumbani?

  Naombeni ushauri wataalamu... nina machaguo mawili nataka kununua Lg x boom sound system ya watts 950 au Lg home theatre ya watts 1000 kati ya option hizo mbili mnanishauri nichukuwe ipi kwa matumizi ya nyumbani tu? Lg x boom sound system ni Tshs 900,000 na Lg home theatre ni Tshs 850,000 Bei...
 13. Llio 002

  Pump kwa ajili ya surface/horizontal water supply

  Tafuta pedrolo itakusaidia
 14. Llio 002

  Oppo Reno 5 wadau mna mtazamo gani juu ya hii simu.

  Wataalamu wa technologia kuna simu inaitwa Oppo Reno 5 ninetokea kuipenda sana japo.sijawahi kutumia simu za aina ya Oppo. Kwa muda huu natumia Samsung galaxy a50 lengo langu nataka nipate simu itakayokuwa bora zaidi ya hii nnayo itumia ndio nikatokea kuiona hiyo Oppo. Naombeni mnisaidia jee...
 15. Llio 002

  Utaalamu wa visima

  Mita 30,40 hadi 50
Top Bottom