Search results

 1. Njemba Soro.

  Nimsaidieje ndugu yangu huyu?

  Habari za muda..... Nipo moshi kwa ajili ya sikukuu hizi ila kuna jambo nimeona niombe ushauri hapa na najua kuna watakaojifunza kitu hasa vijana. Kuna rafiki yangu wa utotoni, shule ya msingi, sekondari na mpaka pilikapilika za maisha tulianza wote. Tulianza na biashara ya magadi, tunatoka...
 2. Njemba Soro.

  Zahera jana alivaa kipensi... kwani CAF wanaruhusu?

  Huyu kocha wa Yanga Ndugu Mwinyi Zahera jana kavaa kipensi wakati alishafungiwa mechi tatu za ligi na TFF. Jana kocha wa Pyramid alivaa kwa heshima sana, na hata Patrick Ausems wa Simba ni kocha anayejiheshimu.... SASA HUYU ZAHERA ADABU GANI KUVAA BOXER AISEE..... Mbona anashindwa kuwa...
 3. Njemba Soro.

  Tshitshimbi goli lake litafutwa..... alipewa kadi mbili za njano.

  Hii mechi yanga kafungwa hata mezani.... Nahodha wao shishimbi amepata kadi mbili za njano na alipaswa kutolewa lakini hakutoka. GOLI LAZIMA LIFUTWE LILE.
 4. Njemba Soro.

  Diamond jiongezee ulinzi, una maadui wengi

  Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza...
 5. Njemba Soro.

  Yanga inafungwa 2 na Mbao leo, Jumapili mnapigwa 6 na Pyramid

  Kwa kuwa mmeamua kuloga badala ya kucheza mpira leo vyuramid lazima mfungwe na Mbao FC Tupo tunasubiri mtu afungwe tatu bila na Jumapili ni sita bila.
 6. Njemba Soro.

  Efm mnayumba, Mmepoteza nuru

  Hiki kituo cha kurushia matangazo kutoka pale Kawe sasa ni rasmi kinayumba. Naona sasa wamemwajiri baba Kigan na Lulu kakosa ajira rasmi na hii ni baada ya bwana Maulidi kuondoka. WAMEPUYANGA RASMI.
 7. Njemba Soro.

  Watanzania wengi ni makauzu kwa nini?

  Hivi watu wa hii nchi mbona ni makauzu na mabandidu sana? Kwa style hii ya kukutana na kila mtu amenuna tutafikia lengo kweli? JANA NIMEKUTANA NA MAKAUZU WENGINE WAMEPAKIZA SPIKA KWENYE GARI ETI WANAHAMASISHA MAKAUZU WAKAJIANDIKISHE. Huu ukauzu ni lini mtaacha aisee?
 8. Njemba Soro.

  Aina za kupiga deki na madekio.

  1-Taja aina za deki. 20% 2- Taja aina za madekio. 75% 3-Uliwahi kupiga deki? 5%
 9. Njemba Soro.

  Magufuli ni kama anaogopa kushindwa 2020?

  Kwenye ziara za karibuni Raisi amekuwa anachomekea CCM HOYEEEE.... ,,, viongozi waandamizi nao wanasema hivyo hivyo. Juzi akiwa Mtama aliwaita madiwani wawili wa CHADEMA bila sababu za msingi na akawahoji maswali ya kiaina pale. KWANI JAMAA ANAHOFIA NINI WAKATI HAKUNA KAMPENI?
 10. Njemba Soro.

  Tuliowahi kukimbia majibu ya vipimo hospitali tukutane hapa./////

  Nakumbuka ilikuwa mara ya kwanza kabisa kwenda hospitali tangu nijitambue. Nilienda kwa sababu ya maleria lakini wakalazimisha nipime UKIMWI. Kwa kuwa sikujua nimepima ukimwi sikuwa na wasiwasi, lakini kuna jamaa na mke wake wakatoka wanagombana nikagundua hapa nasubiri majibu ya ngoma...
 11. Njemba Soro.

  David Molinga ataisaidia Yanga kimataifa. Ni mzoefu sana

  Kwa namna moja au nyingine huyu Molinga kwa umri wa miaka 19 alionao, na uzoefu alionao anapokuwa mbele ya goli. Hakika hao piramidi wajipange. Kwa ule mwili na nguvu lazima aisaidie klabu kongwe.
 12. Njemba Soro.

  Kuna mtu kanitukana mimi ni MKIMBIZI.

  hIVI mbona masikini wa Tanzaniza mnajionz bora sana aisee?? Leo mahali nipo na wkubwa halafu mtanzania karopoka eti mimi siyo mtanzania...... NANI KAWALOGA NYIE WATANZANIA?
 13. Njemba Soro.

  TBC: Wamasai na Wahadzabe ni kivutio cha Watalii?

  Hivi kweli televisheni ya Taifa mnashindwa kwenda hata Mabwepande kupiga picha wale nyoka, hata hapo Saadani kupiga picha wale Tembo? Eti mnasema Wamasai na Wahadzabe ndio kivutio kweli? Hivi hamuoni aibu? Kwani nyie TBC Safari Chaneli mnatumia flash? Mbona hamna jipya nyie? Huu uzembe...
 14. Njemba Soro.

  Askofu Ruwaichi: Natamani watanzania wote wangepatiwa huduma kama niliyopatiwa mimi!

  Ameyasema hayo leo baada ya kuruhusiwa kutoka wodi ya wagonjwa maalumu ICU. Mungu amjaalie afya njema askofu wetu. NADHANI SERIKALI PENDWA IMEMUELEWA HUYU ASKOFU.
 15. Njemba Soro.

  Mashoga ni wengi kiasi hiki Dar?

  Jana jioni nimetoka kwenye mishemishe nikapita hapa wazo kiwandani, nikaagiza ugali. Wakati nasubiri nikaagiza maji makubwa ya kilimanjaro, pembeni walikuwa jamaa wawili wanakunywa beer. Aisee sikuamini kama jamaa ni mashoga maana walikuwa wamelewa halafu wanabadilishana mate kama mazezeta...
 16. Njemba Soro.

  Nilinusurika kufa kwenye kilimo cha umwagiliaji

  Habari.... Ilikuwa mwaka fulani msimu wa kilimo mvua ikaacha kunyesha. Sasa plan B ili mazao yasikauke ni kutumia mifereji inayotoa maji mtoni. Mwenyekiti wa kijiji akaleta utaratibu wa kihuni na kupendelea zamu za kumwagilia. USIKU NIKAWA NAENDA KUJIFUNGULIA MAJI BILA RUHUSA. Aisee siku...
 17. Njemba Soro.

  Dar es Salaam ni Mkoa wenye wazawa washamba kuliko Mikoa yote Tanzania...

  Habari, Kazi kubwa ya hawa wazaliwa wa dar ni vigodoro, kucheza drafi na bao, na kutembea barabarani na ngoma wakikusanya hela za kigodoro. HAWAPENDI SHULE, WALA KAZI. Wanamiliki maeneo makubwa lakini wanauza na kubaki masikini na kisha kuhamia maporini, sasa wamejazana kibaha na bagamoyo...
 18. Njemba Soro.

  Wachungaji walokole nashauri muache tabia hii haraka sana

  Habari wapendwa. Kuna hii tabia hawa wahubirio kanisani kudhani kuwa kila muumini pale anajua kiingereza. Nashauri mkihubiri mtumie lugha inayoeleweka kwa kila aliyepo pale, zaidi ya hapo hakika ni kelele tu. MFUNDISHE MTU AELEWE, NA SIYO KUJIFANYA UNAJUA LUGHA NYINGI. Tumieni lugha rahisi. JUZI...
 19. Njemba Soro.

  Mwanaume kama una tabia hii acha mara moja

  Habari.... Hivi mwanaume unanunua ice cream au lambalamba unakula barabarani kama mwanamke au mtoto mdogo unamaanisha nini?? Kwa nini mnatudhalilisha sisi wanaume?? ACHENI TABIA ZA KIJINGA, nunua karanga, korosho na vitu vingine vya kiume. Huo ujinga wa kike acheni haraka sana. HASA WATU WA DAR.
 20. Njemba Soro.

  Kama una tabia hii acha mara moja.

  Aisee habari. Nasema hivi; Kama unajiona wewe ni bora kuliko binadamu wenzako acha haraka sana. Sisi wote tunaishi ili Tufe na usithubutu kumtamkia mwenza" eti utakufa" acheni uzembe.
Top Bottom