Search results

 1. Lasthope

  Dilema ingine hii hapa

  Jamani wanajanvi, nimepata hii email asubuhi hii kutoka kwa shost wangu, and belive me ijaweza kumshauri chochote maana sijapata muda wa kufikiria na it seems she is really disturbed and need urgent advice, naomba tuchangie kwa upana ili nijue ntamshauri nini. Jamani msiniulize maswali mengine...
 2. Lasthope

  shule zipi nzuri za private boarding?

  Wajameni naombeni msaada kwenye tuta, najua humu wapo watu wa aina zote which means kila swali au tatizo laweza kutatuliwa. Mimi naomba mnisaidie kujua shule za secondary za private boarding, girls only would be better au hata mchanganyiko as last choice. ningependa kujua ada ni ngapi according...
 3. Lasthope

  Frem ya biashara inahitajika dar

  Nataka nijiunge na jukwaa la wajasiriamali jamani ili nijikwamue na ugumu wa maisha bongo maana kila kitu kimepanda bei ila mishahara iko palepale. Jamani anayejua napoweza kupata frem sehemu yenye watu wengi anitonye hapa ili niifukuzie. Thanks
 4. Lasthope

  Ujue ufisadi huu POLISI

  Members hili limenisikitisha sana na sina pa kulisemea zaidi ya hapa. Nilipoteza wallet yangu tarehe 21 ikiwa na id's zangu pamoja na ATM card yangu, sasa nikaenda bank niblock account yangu. Nikaambiwa haiwezekani hadi niende polisi nipewe lost report. Hapo bank wakanipa form ya...
Top Bottom