Search results

  1. Michael evarist

    Msaada juu yahili

    Kwa yeyote ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie 1: veta Chang'ombe 2: Veta pwani 3: Veta manyara 4: veta mtwara Maana sijajibiwa kwa njia ya email na simu zao hazipokelewi.
  2. Michael evarist

    Ufafanuzi juu ya Laboratory Assistant

    Habari naomba kufahamishwa juu ya course ya Laboratory assistant inayotolewa na vyuo vya ufundi (VETA) ni mahala gani watu wanaosoma hi kozi hii Wanahitajika. Pia sifa za watu wanaosoma kozi hii.
Top Bottom